Kuna UWEZO WA ENZI KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO!!!
-
0:00 - 0:05Kuna mamlaka ya enzi
-
0:05 - 0:08katika jina kuu la yesu
-
0:08 - 0:12ambao ni kubwa kuliko nguvu zozote za giza.
-
0:12 - 0:21Ufunuo 3:7 inasema, ‘Lolote afungualo Mungu, hakuna awezaye kulifunga’ -
-
0:21 - 0:24hakuna nguvu ya kuzimu au duniani inayoweza kulifunga.
-
0:24 - 0:30Hivi sasa, popote ambapo nguvu za giza
-
0:30 - 0:33zinafanya kazi maishani mwako,
-
0:33 - 0:37Ninatangaza ukombozi kwa jina la Yesu!
-
0:37 - 0:40Ukombozi kwa jina la Yesu!
-
0:40 - 0:44Ukombozi kwa jina la Yesu Kristo!
- Title:
- Kuna UWEZO WA ENZI KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO!!!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:44
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for There Is SOVEREIGN POWER In The MIGHTY NAME Of JESUS CHRIST!!! | |

Josephinechepkorir edited Swahili subtitles for There Is SOVEREIGN POWER In The MIGHTY NAME Of JESUS CHRIST!!! |