< Return to Video

Kuna UWEZO WA ENZI KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO!!!

  • 0:00 - 0:05
    Kuna nguvu ya enzi
  • 0:05 - 0:08
    katika jina kuu la yesu
  • 0:08 - 0:12
    ambayo ni kubwa kuliko nguvu zozote za giza.
  • 0:12 - 0:21
    Ufunuo 3:7 inasema, ‘Lolote afungualo Mungu, hakuna awezaye kulifunga’ -
  • 0:21 - 0:24
    hakuna nguvu ya kuzimu au duniani inayoweza kulifunga.
  • 0:24 - 0:30
    Hivi sasa, popote ambapo nguvu za giza
  • 0:30 - 0:33
    zinafanya kazi maishani mwako,
  • 0:33 - 0:37
    Ninatangaza ukombozi kwa jina la Yesu!
  • 0:37 - 0:40
    Ukombozi kwa jina la Yesu!
  • 0:40 - 0:44
    Ukombozi kwa jina la Yesu Kristo!
Title:
Kuna UWEZO WA ENZI KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO!!!
Description:

"Kuna nguvu ya enzi katika jina kuu la Yesu Kristo ambayo ni kuu kuliko nguvu zozote za giza. Ufunuo 3:7 inasema, 'Lolote afungualo Mungu, hakuna awezaye kulifunga' - hakuna nguvu ya kuzimu au duniani inayoweza kulifunga. Sasa hivi; popote pale ambapo nguvu za giza zinafanya kazi katika maisha yako, natangaza ukombozi kwa jina la Yesu! Ukombozi kwa jina la Yesu! Ukombozi kwa jina la Yesu Kristo!"

Asante, Yesu! Ili kupokea maombi bila malipo wakati wa Huduma ya Maombi Shirikishi na Ndugu Chris kupitia Zoom, tafadhali wasilisha ombi lako la maombi katika fomu hii kwenye tovuti ya TV Ya Moyo Wa Mungu - https://godsheart.tv/zoom

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:44

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions