< Return to Video

JINSI ULIVYOKUWA hakufafanui wewe NI NANI!

  • 0:00 - 0:04
    Vile ulivyokuwa haifafanui wewe ni nani.
  • 0:04 - 0:09
    Kwa sababu uhusiano ulikabili taabu
  • 0:09 - 0:16
    haimaanishi kuwa upo kwenye fungu la wasio na tumaini.
  • 0:16 - 0:23
    Kwa sababu biashara imefeli haimaanishi kuwa umehukumiwa kushindwa.
  • 0:23 - 0:27
    Kwa sababu umeenda mbali na Mungu
  • 0:27 - 0:31
    haimaanishi kuwa umekusudiwa kukaa mbali na Mungu.
  • 0:31 - 0:44
    Cha muhimu ni uamuzi wako wa sasa - hapa, sasa hivi, katika wakati huu.
  • 0:44 - 0:50
    Usiamini uwongo kwamba umefungwa na jinsi ulivyokuwa au kwa kile ulichokifanya.
Title:
JINSI ULIVYOKUWA hakufafanui wewe NI NANI!
Description:

"Jinsi ulivyokuwa hakufafanui wewe ni nani. Kwa sababu uhusiano ulikumbwa na taabu haimaanishi kuwa upo kwenye fungu la wasio na tumaini. Kwa sababu biashara ilifeli haimaanishi kwamba umehukumiwa kushindwa. Kwa sababu umeenda mbali na Mungu haimaanishi kwamba umekusudiwa kukaa mbali na Mungu. Jambo kuu ni uamuzi wako wa sasa - hapa, sasa hivi, katika wakati huu. Usiamini uwongo kwamba umefungwa jinsi ulivyokuwa au na ulichokifanya."

Unaweza kutazama mahubiri kamili kutoka kwa Ndugu Chris katika kipindi cha ‘Let Hearts Rise’ hapa - https://www.youtube.com/watch?v=wM-dvPVFv9w

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:51

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions