-
Ninakuona ukitoka kwenye ngome hiyo.
-
Toka nje ya ngome sasa hivi!
-
Kutoka kwenye kizimba cha laana za vizazi!
-
Toka kwenye kizimba cha mateso!
-
Toka kwenye kizimba cha kulevya!
-
Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi!
-
Sijui uchungu
unaopitia
-
ambao umekusukuma kuungana
na huduma hii leo.
-
Lakini jambo moja najua -
-
hata haujawazuia
ninyi kumtafuta Mungu,
-
ni kwa ajili ya ukombozi wenu,
si uharibifu wenu.
-
Kwa hivyo usizingatie maumivu yako;
kazia kusudi la Mungu.
-
Usizingatie maisha yako ya zamani; zingatia kile ambacho Mungu anakisema juu ya sasa yako -
-
hapa, sasa hivi.
-
Unakotoka
sio suala.
-
Suala ni moyo wako sasa -
uamuzi wa moyo wako sasa,
-
hapa, katika wakati huu.
-
Fungua moyo wako kwa Mungu.
-
Fungua moyo wako Kwake na
uruhusu nguvu za Roho Wake
-
zioshe kila maumivu ya zamani - aibu yote, majuto na ugonjwa wa zamani.
-
Katika mazingira haya ya imani,
watu wa Mungu, inukeni!
-
Ni wakati wa maombi sasa hivi.
-
Uongo wowote ambao shetani ametumia
kukumbusha maisha yako ya nyuma -
-
nyamazishwe, katika
jina kuu la Yesu Kristo.
-
Mnyororo huo wa maumivu ya zamani - nasema, uvunjwe
katika jina la Yesu Kristo!
-
Kumbuka, kile unachoshikilia dhidi ya mtu mwingine ndicho hasa kinachokurudisha nyuma!
-
Roho hiyo ya kutokusamehe inakuzuia kusonga mbele -
-
Ninasema, ondolewa!
-
Uondolewe sasa hivi!
-
Roho hiyo ya kutosamehe,
roho ya uchungu,
-
roho hiyo ya chuki -
-
uondolewa, kwa jina la Yesu Kristo!
-
Sasa hivi watu wa Mungu sijui shetani amewaweka ndani ya ngome gani
-
au njia ambayo ametumia
kukuweka kwenye ngome hiyo,
-
lakini nawaambia leo kwa imani -
-
leo ni siku yako ya kufunguliwa kutoka utumwani!
-
Funguliwa kutoka kwa ngome hiyo!
-
Funguliwa, katika jina la Yesu Kristo!
-
Ufunguliwe sasa hivi kutoka kwenye
hicho kizimba ya ugonjwa.
-
Atolewe sasa hivi kutoka kwa
kesi hicho kizimba cha jinamizi.
-
Ufunguliwe, katika jina la Yesu Kristo, kutoka katika kizimba hicho cha utumwa.
-
Ninasema, utolewe kwenye kizimba hicho!
-
Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi!
-
Ninakuona ukitoka kwenye kizimba hicho.
-
Toka nje ya kizimba sasa hivi!
-
Toka kwenye kizimba cha laana za vizazi!
-
Toka kwenye kizimba cha mateso!
-
Kutoka kwenye kizimba cha uraibu!
-
Toka kwenye kizimba hicho sasa hivi!
-
Nguvu yoyote ya giza
inyoafanya kazi katika maisha yako -
-
Natangaza ukombozi sasa hivi!
-
Ukombolewe kutoka gizani!
-
Ukombolewe kutoka katika ugonjwa!
-
Ukombolewe kutoka katika nguvu za adui!
-
Kombolewa sasa hivi,
katika jina la Yesu Kristo.
-
Ndiyo, watu wa Mungu, ukombozi
unafanyika sasa hivi.
-
Roho Mtakatifu anawasiliana na roho zenu.
-
Na kuwe na nuru!
-
Roho huyo wa kishetani anayehusika na
hali yako, nyuma ya hali yako,
-
Ninasema sasa hivi - toka nje,
katika jina la Yesu Kristo!
-
Roho hiyo ya uchungu - toka sasa hivi!
-
Roho hiyo ya mateso - toka sasa hivi!
-
Roho hiyo ya uraibu - toka nje!
-
Ninakuambia - kila neno hasi linalotamkwa juu ya maisha yako,
-
kwa imani katika jina la Yesu Kristo -
futwa! Futwa sasa hivi!
-
Futa hayo maneno mabaya
yaliyotangazwa juu ya maisha yako.
-
Yafute kwa jina la Yesu Kristo.
-
Wengi wetu tumekuwa tukipata ishara mbaya katika ndoto zetu -
-
jinamizi la ajabu.
-
Ninasema hivi sasa kwa kila mtu aliye chini ya
ushawishi wa programu hii
-
kuteswa na ndoto mbaya -
-
jinamizi hilo, lisitishwe!
-
Futwa sasa hivi!
-
Sasa hivi, nataka wewe kwa
imani uweke mkono wako -
-
ikiwa kuna sehemu yoyote ya mwili wako
ambapo unapata maumivu,
-
weka mkono wako hapo kama mahali pa kuwasiliana.
-
Ikiwa una picha hapo ya mtu
ambaye anateseka,
-
Shikilia picha hiyo kwa imani.
-
Roho wa Mungu anatenda kazi sasa hivi.
-
Chochote ulichokula katika meza ya adui
-
ambacho ni kinasababisha hayo magonjwa, mateso, maumivu - nasema, tupiliwa nje sasa hivi!
-
Kitapike, katika jina la Yesu Kristo!
-
Kitoke kwenye mfumo wako! Kitoke kwenye viungo vyako!
Kitoke kwenye uwezo wako!
-
Ninazungumza na mifupa yako iliyo chini ya ushawishi wa magonjwa - kuwa mzima!
-
Uwe mzima, katika
jina la Yesu Kristo!
-
Ninazungumza na damu yako iliyo chini ya ushawishi wa mateso - takaswa!
-
Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo!
-
Ninazungumza na ogani hiyo iliyoharibiwa kwenye mfumo wako - anza kufanya kazi!
-
Fanya kazi, katika jina la Yesu Kristo!
-
Popote pale ugonjwa huo ulipo,
ndani au nje,
-
kwa mamlaka katika
jina la Yesu Kristo -
-
Ninatangaza uponyaji sasa hivi!
-
Uponywe, katika jina la Yesu!
-
Uponywe, katika jina la Yesu Kristo!
-
Sehemu yoyote ya maisha yako inayotishwa na ugonjwa, mateso au ugonjwa -
-
leo, natangaza urejesho! Urejeshwe!
-
Urejeshwe kwa nguvu za ufufuo!
-
Wewe shetani unayehusika na ugonjwa huo,
unayehusika na maumivu hayo,
-
unayehusika kwa ile laana ya kizazi
ya ugonjwa,
-
Nakuambia, shetani
lazima uondoke sasa hivi!
-
Ninasema, ondoka kwa jina la Yesu!
-
Ondoka na maumivu yako ya mgongo!
Ondoka na maumivu ya moyo wako!
-
Ondoka na maumivu ya goti!
Ondoka na maumivu ya kichwa!
-
Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo!
-
Kuna wengi wetu ambao wanaonekana wameingia kwenye mzunguko huu wa dhuluma
-
kutoka kizazi hadi kizazi -
-
ukandamizaji unajidhihirisha kwa namna ya magonjwa, maradhi, shida, umaskini.
-
Sasa hivi, nakuambia -
achana na mzunguko huo!
-
Furahia! Achana nae sasa hivi!
-
Jikomboe na mzunguko huo wa magonjwa!
Ondoka kutoka kwenye mzunguko huo wa umaskini!
-
Jikomboe na mzunguko huo wa vilio!
-
Jiweke huru! Achana navyo sasa hivi!
-
Najua kuna wengi wetu ambao wameshikwa sawa katika mzunguko wa kufadhaika -
-
kuchanganyikiwa katika sehemu zetu za kazi,
fedha, biashara.
-
Inatosha!
-
Hivi sasa, kila mzunguko wa kufadhaika -
Nasema, uvunjwe!
-
Kuvunjika sasa hivi!
-
Vunja mlolongo huo wa kufadhaika!
-
Vunja kwa jina la Yesu Kristo.
-
Kuchanganyikiwa huko katika kazi yako, fedha, biashara, kutafuta kazi, masomo -
-
Ninasema, uvunjwe, katika
jina la Yesu Kristo!
-
Vunja roho hiyo ya kufadhaika
na upokee hekima ya Mungu.
-
Pokea hekima ya Mungu sasa hivi!
-
Hekima ya kusimamia fedha zako.
-
Hekima ya kusimamia biashara yako.
-
Hekima ya kusimamia familia yako.
-
Hekima ya kusimamia uchaguzi wako wa kazi.
-
Pokea hekima kutoka kwa Mungu!
-
Kila roho ya ngeni ya ubinafsi
na kujijali peke yetu tu -
-
sio sehemu yako!
-
Ninasema, toka sasa hivi!
-
Toka, katika jina la Yesu Kristo!
-
Toka, katika jina kuu la Yesu Kristo!
-
Hivi sasa, ninataka kutoa
maombi kwa wanandoa
-
ambao wamejiunnga kwa wakati huu.
-
Ikiwa uko hapa na mumeo au mke wako, shikaneni sasa hivi.
-
Tuombe kwa ajili ya ndoa.
-
Kila roho inayoshambulia
huba katika ndoa yako -
-
Ninasema, toka sasa hivi!
-
Toka, katika jina la Yesu Kristo!
-
Fungua midomo yako kwa imani moyoni mwako na anza kuomba katika jina la Yesu Kristo
-
dhidi ya roho hiyo inayoshambulia
huba katika ndoa yako.
-
Toka nje sasa hivi!
-
Chochote ambacho shetani anakitumia
kuiba furaha katika ndoa yako,
-
kuiba amani katika ndoa yako,
kuiba umoja katika ndoa yako -
-
Ninasema, uondolewe sasa hivi.
-
Ondoka, kwa jina kuu la Yesu!
-
Sikiliza. Chochote kinachosumbua moyo wako sasa hivi - nasema, uimarishwe katika imani!
-
Uimarishwe na
Roho wa Mungu sasa hivi!
-
Chochote kinachoweza kuwa kinasumbua moyo wako -
pokea amani, kwa jina la Yesu.
-
Amani ipitayo akili zote.
-
Amani katika ndoa yako!
Amani nyumbani kwako!
-
Amani katika familia yako! Amani katika
fedha zako! Pokea amani!
-
Unapomwomba Mungu amani,
-
ikiwa una bendera ya nchi yako,
iinue kama mahali pa kuwasiliana -
-
tuombe kwa ajili ya dunia!
-
Kuna nguvu katika maombezi.
-
Omba amani ya Mungu itawale ndani ya mioyo
ya viongozi wa taifa lako.
-
Omba sasa hivi. Simama katika pengo
kwa niaba ya viongozi wako.
-
Omba amani sasa hivi
itawale mioyoni mwao -
-
amani ya Kristo itawale mioyoni mwao na kuathiri kufanya maamuzi yao.
-
Muombe sasa hivi!
-
Muombe hekima ya Mungu -
-
Hekima ya Mungu kusema kwa ajili ya
viongozi wa taifa lako,
-
Hekima ya Mungu kuabiri
mivutano ya sasa
-
na hali zinazoendelea
ulimwenguni kote.
-
Omba hekima ya Mungu sasa hivi!
-
Mbinu zozote ambazo shetani amezipanga
ili kukutenganisha na Mungu -
-
Nasema, pokea nguvu ya kuzipinga!
-
Pokea nguvu hizo za kupinga majaribu!
-
Pokea nguvu hizo za kupinga jaribu la maafikiano.
-
Pokea nguvu hizo za kupinga jaribu la kuwa vuguvugu kiroho.
-
Pokea nguvu hizo kutoka
juu, katika jina la Yesu.
-
Najua kuna sauti nyingi za kukata tamaa, zinazokuambia ukate tamaa, uache -
-
kwamba hakuna njia ya kutoka au hakuna njia ya mbele.
-
Ninakuambia leo - pokea
ujasiri wa kuendelea kushinikiza.
-
Pokea ujasiri wa kuendelea kushinikiza.
-
Pokea imani ya kuendelea kushinikiza - usikate tamaa kamwe!
-
Kuna wengi wetu chini ya
mtego wa kutojithamini
-
kwa sababu hatujakubali
utambulisho wetu katika Kristo.
-
Uongo wowote kutoka kwa shetani kushambulia hakikisho la wewe ni nani katika Kristo -
-
Ninasema sasa hivi, uondolewe,
katika jina la Yesu Kristo!
-
Wewe ni yule ambaye Mungu anasema uko!
-
Una kile Mungu anasema unacho!
-
Unaweza kufanya kile ambacho Mungu anasema unaweza kufanya!
-
Katika jina tukufu la
Yesu Kristo tunaomba!
-
Watu wa Mungu, kwa imani, naweza kusikia sauti ya furaha nyumbani kwako.
-
Ninaweza kusikia kelele za
sherehe nyumbani kwako.
-
Ninaweza kusikia kelele za ushuhuda
nyumbani kwako!
-
Furahia sasa hivi!
-
Kwa nini kuna sherehe?
-
Kwa sababu zamani yako imekwisha!
-
Maisha yako ya zamani ya ugonjwa yamekwisha!
-
Maisha yako ya zamani ya unyogovu yamekwisha!
-
Maisha yako ya zamani ya utumwa yamekwisha!
-
Maisha yako ya zamani ya ndoto mbaya yamekwisha!
-
Maisha yako ya zamani ya ugonjwa yamekwisha!
-
Maisha yako ya zamani ya mateso yamekwisha!
-
Imekwisha!
-
Kwa kuwa Mungu ametangaza
yako ya nyuma yamekwisha, jukumu lako ni nini?
-
Ni lazima ukubaliane na ukweli huo
na kutembea kulingana na ukweli huo.
-
Anza kutembea kulingana
na ukweli huo sasa hivi.
-
Sherehekea kwa mwanga wa uhuru wako.
-
Furahi katika mwanga wa uhuru wako.
-
Shuhudia kwa mwanga wa uhuru wako.
-
Wale waliokuwa na maradhi miongoni mwenu,
-
Ninataka ujichunguze,
uangalie mwili wako sasa hivi
-
kwa sababu nguvu za Roho Mtakatifu zimekugusa - roho, nafsi na mwili.
-
Jiangalie na ufurahi!
-
Unapofurahi,
kusherehekea na kushuhudia,
-
niwakumbushe, watu wa Mungu;
-
Kwa kuwa maisha yako ya nyuma yamepita, hupaswi kurudi kwenye tabia zako za zamani
-
ambayo unajua haikumtukuza Mungu.
-
Ndiyo, umechukua hatua hiyo ya imani;
sasa lazima ubaki katika imani.
-
Kumbuka Maneno ya
Yesu tuliyosoma hapo awali -
-
'Kaeni ndani yangu nikikaa ndani yenu.'
-
Je, tunabakije ndani ya Kristo?
-
Kristo na Neno Lake ni kitu kimoja.
-
Ninakuhimiza usome
Biblia yako kila siku kwa moyo wazi.
-
Kadiri unavyosoma Neno la Mungu,
ndivyo unavyoelewa zaidi kukuhusu
-
na ndivyo unavyozidi kuelewa mpango Wake na kusudi la maisha yako.
-
Na mnapochukua hatua hiyo, watu wa Mungu, hatuwezi kusubiri kusikia shuhuda zenu
-
kwa sababu Mungu amegusa maisha yako
leo kwa namna ya pekee sana.