Ukristo Sio MAPENDELEO; Ni MTINDO WA MAISHA!
-
0:00 - 0:09Mimi siko hapa kujaribu kutafuta maana ya maneno yaliyoko kwenye bibilia kulingana na maoni yangu binafsi ama kulingana na yale nimeyapitia,
-
0:09 - 0:15ila mimi natumia bibilia kuelewa kwa nini nilipitia yale niliyoyapitia.
-
0:17 - 0:25Ningetaka kwanza kwa kuwapa hadithi kidogo tu kunihusu
-
0:25 - 0:36hadithi ya miaka hamsini iliyopita. Hadithi ya Mwaka wa 1973
-
0:36 - 0:471973 ndio mwaka ambao mimi na Fiona tulipata kumjua Yesu.
-
0:47 - 0:51tulikuwa tukiishi jimbo tofauti
-
0:51 - 0:55na tulifaa tuje kupatana tena baada ya muda wa miaka tano.
-
1:02 - 1:09Mnamo Mwezi Mei, Mwaka wa 1973,
-
1:09 - 1:15tuliweza kupatana na Yesu Christo
-
1:15 - 1:25na ninakosa jina kamili la kuelezea vile kupatana na yesu ilibadlisha maisha yangu!
-
1:25 - 1:30Kwangu mimi, sikujua lolote kuhusu ukristo-
-
1:30 - 1:40Sikuwahi kwenda kanisani maishani yangu, na nikiwa miaka 15
-
1:40 - 1:45nilidhani mimi ni mkanamungu.
-
1:45 - 1:52Hakika, nilikuwa tu kijana mdogo
-
1:52 - 1:55mwenye alikuwa amechanganyikiwa sana, mwenyealihitaji mungu.
-
2:01 - 2:16Nilijipata nikienda mafundisho ya Bibilia kila wiki shuleni.
-
2:16 - 2:27Sasa, wakati ule nilikuwa mtoto mwasi.
-
2:27 - 2:32Na kama vijana wengi wa nyakati zile, nilikuwa na najaribu kuona
-
2:32 - 2:37kama naweza asi ama naweza kukataana na kila jambo mbele
-
2:37 - 2:39ya wazazi wangu, kila jambo-
-
2:39 - 2:44ama kama naweza kuendana na mambo yaliyokuwa ya kawaida.
-
2:55 - 3:00lakini, kulikuwa na jambo lisilo la kawaida kwa Wachristo!
-
3:00 - 3:07kwa sababu, nikiwatazama walikuwa wanakaa watu 'wazuri' sana
-
3:07 - 3:12hawakuwa waasi
-
3:18 - 3:22lakini walikuw na tofauti|
-
3:22 - 3:27na nikagundua kwamba kuwa watu wae waliendana na na umati
-
3:27 - 3:31walikuwa watu wale waasi!
-
3:37 - 3:46tofauti ya wale waasi na waKristo ni kwamba wakristo walikuwa na furaha, walikuwa watu wenye furaha!
-
3:46 - 3:54kwa hivyo,nikaanza safari ya kuuliza maswali mengi mno.
-
3:54 - 3:58walinipatia Bibilia ya Agano Mpya- sikuijua,
-
3:58 - 4:02wala sikuwahi iona; nikaanza kuisoma.
-
4:05 - 4:14hawangeweza kujibu maswali mengi yale niliwauliza.
-
4:14 - 4:19lakini usiku moja-naikumbuka hadi waleo-
-
4:19 - 4:26zaidi ya miaka 50 iliyopita, rafiki yangummoja akaniambia
-
4:26 - 4:34'unafaa uambie Yesu, akuonyeshe kwamba yeye ni wa kweli'.
-
4:42 - 4:49na kwa hivyo usiku huo, nikiwa kwenye basi nikielekea nyumbani,
-
4:49 - 4:55nikaamua nitaomba
-
4:55 - 5:00kwa mara ya kwanza kabisa maishani mwangu!
-
5:00 - 5:10nikasema, 'yesu, kama wewe ni wa ukweli, jionyeshane kwangu
-
5:10 - 5:17na nitakupatia maisha yangu!'
-
5:17 - 5:21Sasa, Kuna jambo lilifanyika!
-
5:21 - 5:30siwezi kueleza
-
5:30 - 5:34lakini akati niliomba ile maombi,
-
5:34 - 5:45mwanga wa kiroho ulinikujia
-
5:45 - 5:49na Mungu akabadilisha roho yangu!
-
5:49 - 5:54na kile nilishuhudia- na nakumbuka bado nilikuwa kwenye lile basi
-
5:54 - 5:56kabla ya kufika nyumbani-
-
6:01 - 6:09niliamua kwamba sasa ninaamini Bibilia.
-
6:09 - 6:16kwa hivo, sikuwa najaribu kuona kama bibilia ni ya kweli au la.
-
6:16 - 6:21nikaamua na nikaamini kwamba ni ya kweli, ikawa jambo la imani
-
6:21 - 6:23kwa sababu niliamini kuwa Yesu ameshanio-
-
6:23 - 6:29nyesha kuwa ni wa kweli na nikaamini.
-
6:37 - 6:48sasa, wakati huo, sikujua mengi kuhusu
-
6:48 - 6:56Ukristo, maisha yangu ilikuwa imejaa mambo
-
6:56 - 7:05mabaya, lakini nikiangalia nyuma sasa
-
7:05 - 7:14hilo ndilo jambo la muhimu sana nilifanya
-
7:14 - 7:22kwa maisha yangu. Naamini nilitenda mabaya na bado natenda mambo mabaya
-
7:22 - 7:33but kuna jambo tu unapoamua.
-
7:33 - 7:36kuna kitu mahala ambapo kuna ukweli
-
7:36 - 7:37tunaongelea Ukweli
-
7:43 - 7:47na hilo ni jambo la nafsi.
-
7:47 - 8:01na hili ni jambo fiche, lakini unapoamua, Mungu anaingilia kati.
-
8:01 - 8:05wazazi wangu hawakujua kilichetendeka
-
8:05 - 8:10walidhani ni jambo la mchezo tu
-
8:17 - 8:22kwa sababu nilikuwa na mambo mengi ya kunifurahsha kulinga na umri wangu
-
8:22 - 8:28kama kupanga picha, ama kutazama kadada
-
8:28 - 8:29ama hudhuria muziki wa Rock-
-
8:29 - 8:32nilikuwa na mambo mengi ya kunifurahisha
-
8:32 - 8:36na wazazi walidhani kusoma bibilia ni mchezo
-
8:50 - 8:55kichwa cha mahubiri ya siku ya leo ni
-
8:55 - 9:03'UKRISTO SIO JAMBO LA UTAMANIO'
-
9:03 - 9:20ambia jirani yako Ukristo sio jambo la utamanio
-
9:20 - 9:26jambo la utamanio ni kwamba
-
9:26 - 9:32unaweza kuwa na shauku kuhusu matamanio
-
9:32 - 9:55lakini ukupanga mambo kulingana na umuhimu, utamanio
sio jambo la muhimu sana -
9:55 - 10:00kwa hivyo ukibadilisha maoneleo ama mapendeleo yako
-
10:00 - 10:02unaweza badilisha matamanio yako.
-
10:09 - 10:15Ukristo sio ya kiwango hiki
-
10:15 - 10:22ni ya kiwango hiki
-
10:22 - 10:30iko juu ya maoneleo namapendeleo yangu.
-
10:30 - 10:43unaweza kusoma bibilia, ukitafuta jambo la
kuhalalisha maoneleo yako. -
10:43 - 10:51lakini unafaa usome bibilia, uruhusu
Mungu aongee na wewe. -
10:51 - 10:54Prophet T.B Joshua alisema jambo moja
ninalopenda sana, akasema -
10:54 - 11:01"Bibilia inafaa kuwa hifadhidata ya maone-
leo yetu binafsi" -
11:12 - 11:22kwa hivyo, sitajaribu kupatia bibilia maana,
kulingana na maoneleo yangu. -
11:22 - 11:29nitaangalia maisha yangu, na nitafute maana ya maisha yangu kupitia bibilia.
-
11:40 - 11:51neno la mungu ni mwelekezo wa maisha, sio ushauri tu.
-
11:51 - 11:57kwa hivyo, tuwe na unyenyekevu
-
11:57 - 12:08unyenyekevu wa kweli ni tkutumainia Mungu
kwa kila jambo. -
12:08 - 12:15Jambo lingine la utamanio ni
-
12:15 - 12:24utamanio unaweza kaishi kwa pamoja na
vipaombele vinginezo. -
12:24 - 12:33utamanio unaweza kuwa mojawapo ya
vitu ya maslahi -
12:33 - 12:39Ukristo sio jambo la Maslahi
-
12:39 - 12:45Ukristo ni Jambo nzima
-
12:45 - 12:48je, inamaanisha sina maslahi?
-
12:48 - 12:51kwamba niongee tu lugha ya dini? la!
-
12:59 - 13:04lakini naelewa kila jambo-
uhusiano wangu, kazi yangu, -
13:04 - 13:07hisia zangu binafsi,
hisia zangu kwa watu wengine, -
13:07 - 13:08kutakavyokuwa nikifa-
-
13:08 - 13:16kila jambo linalonihusu, naelewa
kupitia kwa Mungu Muumba wangu. -
13:16 - 13:30somo la kwanza, nitasoma Mathayo 6:24
-
13:30 - 13:37"Hakuna mtu awazaye kutumikia mabwana wawili.
-
13:37 - 13:44ama atachukia mmoja, apende mwingine,
-
13:44 - 13:51ama atatumikia mmoja, amdharau mwingine.
-
13:51 - 13:59huwezi tumikia Mungu na binadamu."
-
13:59 - 14:08sio pesa tu, nafikiri inawakilisha kila ki
tu ambacho kinanunuliwa na pesa- -
14:08 - 14:19katika hii dunia tulioko
-
14:19 - 14:33miungu za dunia hii na Mungu Munba wetu-
huwezi tumikia wote wawili -
14:33 - 14:43mwelekeo wa maisha yako unaamulia na vitu
za kiungu na neno la Mungu, -
14:43 - 14:48ama unaamuliwa na mambo ya kimwili?
-
14:57 - 15:01na kama wewe ni mtumishi wa Mungu, wewe si
mtumishi wa vitu/mambo ya dunia -
15:01 - 15:04na kama wewe nimtumishi wa mambo ya dunia
wewe si mtumishi wa mungu. -
15:13 - 15:15ukifanya kama mimi
-
15:15 - 15:20uamue kutumikia Yesu,
-
15:20 - 15:22utamfuata!
-
15:27 - 15:35lakini kuna maamuzi ya kila siku, kama
utatumikia Mungu ama binadamu -
15:35 - 15:44wasio mwamini mungu watadhani wewe ni wazimu
-
15:44 - 15:55sababu yake ni ati msingi ya maamuzi yako
ni msingi isiyoonekana kwa macho. -
15:55 - 16:03hapo chini Yesu anasema-
nitasoma kifungu cha 33 -
16:03 - 16:09"Tafuteni kwanza ufalme wa mungu na haki
yake, -
16:09 - 16:15na hayo mengine yote mtaongezewa"
-
16:15 - 16:20ni kwa sababu Mungu ni wa Ukweli.
-
16:20 - 16:25Mungu haonekan, lakini tukimwamini
-
16:25 - 16:29tutaendana pamoja na muumbaji wa ulimwengu huu.
-
16:34 - 16:43hana shida ya kukupa unachohitaji
-
16:43 - 16:54ukipeana maisha yako kwa kutafuta mahitaji,
hautapata. -
16:54 - 17:04unawezapata unachohitaji, lakini
hautapata amani. -
17:04 - 17:13kwa sababu amani inaletwa na uhusiano
na yule aliye tuumba. -
17:13 - 17:23Ningetaka tusome kitabu ya Joshua katika
Agano la Kale -
17:23 - 17:29huu ni mfano moja kati ya mingi
katika Agano ya Kale -
17:29 - 17:43nyakati hizo watu walidhani watatumikia miungu
zao na pia watumikie Mungu wa kweli -
17:43 - 17:57walijua kuna faida kutumikia Mungu
lakini pia walitumikia miungu zao -
17:57 - 18:02hii ni majaribu kwa kila mtu
-
18:02 - 18:08wakati mwingine, badala ya shetani kujarubi
kutufanya tukane mungu -
18:08 - 18:14hujaribu kufanya tuangalie kwengine
-
18:22 - 18:25kama kuna kitu moja nimetazama
-
18:25 - 18:33ninapotangamana na watu wengi
kwenye miaka 50 yangu kama mtu anayeamini -
18:33 - 18:38nikwamba unapoongezea mambo mengine
juu ya Ukristiano wako -
18:38 - 18:47ni rahisi utaanza kutumikia "hilo jambo lingine"
na nayo mambo ya Mungu utayaweka nyuma -
18:47 - 18:49nakukanya, hili hutendeka!
-
18:49 - 18:56anaanza na 100% kwa Mungu
-
18:56 - 19:07kisha unaenda 90% na 10%
unajiwekea iwe ya starehe zako -
19:07 - 19:19baada ya miaka michache
itakuwa 90% ni ya starehe, na 10% ya Mungu -
19:19 - 19:24ni kwa sababu hakuna mtu anaweza tumikia
mabwana wawili -
19:24 - 19:32baada ya kusema hivyo, wacha tusome
Joshua 24 -
19:32 - 19:37nitasoma kuanzia kifungu cha 14
-
19:37 - 19:50"Basi sasa, mcheni Bwana na mkimhudumu kwa moyo wote na uaminifu."
-
19:50 - 19:54"Ondoeni miungu ambayo wazazi wenu walikuwa wakifuata nchi ya mbali ya mto na Misri"
-
19:54 - 19:56tumikieni mungu
-
20:03 - 20:18lakini mkiona hakuna faida kutimikia Mungu
chagueni leo -
20:18 - 20:20kama mtatumikia Miungu za baba zenu huko
mbali na mito ya Misri -
20:20 - 20:24ama mtatumikia miungu za Waamori
huku mnakoishi -
20:33 - 20:46Lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia
Mungu -
20:46 - 20:54Joshua aliwapa changamoto kama ile Yesu aliwapa
Wanafunzi wake na Mafarisayo -
20:54 - 20:57waliokuwa wanamsikiliza, tunaposoma
kitabu cha Mathayo -
21:02 - 21:04aliwaambia 'amueni'
-
21:04 - 21:08lazima muamue mtakayemtumikia-
hamuwezi tumikia mabwana wawili -
21:12 - 21:16kifungu cha 16, nao wakamjibu wakasema
-
21:16 - 21:20"Hata kidogo tusije tuyaacha Mungu na
twende kumtumikia miungu mingine. -
21:20 - 21:22Tutamtumikia Mungu." wakasema
-
21:28 - 21:32Joshua akaambia watu
Huwezi kumtumikia Bwana, maana Yeye ni -
21:32 - 21:39Mungu Mtakatifu; Yeye ni Mungu
-
21:39 - 21:45mwenye wivu.
-
21:45 - 21:46Joshua angefurahu na kusema
-
21:46 - 21:48'tuko na uamsho!
watu wanataka kutumikia Mungu -
21:48 - 21:51tuko na uamsho!
watu wanataka kutumikia Mungulakini alijua kile kilikuwa mioyoni mwao -
21:59 - 22:02kwamba kujitolea kwao kwa Mungu hakukuwa
kukamilifu -
22:02 - 22:09kwa hivyo ilikuwa ukweli aliposema 'katika
-
22:16 - 22:29hali hii ya moyo,hamwezi kutumikia Mungu'
-
22:29 - 22:45kwa hivyo,unaweza kuwa umeshawishika kwamba
Yesu ni Bwana -
22:45 - 22:55unaweza kuwa umeshawishika kwamba
Yesu ni Bwana lakini uwe hujabalilika -
22:55 - 23:12Yesu ni Bwana lakini uwe hujabalilika
neno la Mungu litadumu ndani yako -
23:12 - 23:24na lianze kubadilisha mienendo yako, matendo yako na mtazamo wako
-
23:24 - 23:40ningetaka tusome pia kitabu cha Isaya 58;2
katika Agano la Kale -
23:40 - 23:49wananitafuta kila siku, na wanafurahi
kujua njia zanguni kama watu wanaofanya mambo ya kweli -
23:49 - 23:56kama watu wenye haki
-
23:56 - 24:03ni kama watu wenye haki,kama watu hawakuasi Mungu
-
24:03 - 24:09fungu la 3 linasema
-
24:09 - 24:13hao wanafunga kula lakini bado wanafanya kile nachotaka
-
24:24 - 24:28kuna jambo la mvuto hapa, ukitazama
-
24:28 - 24:32walikaa kama watu wanaomtafuta Mungu
ama vitu zinazoitanishwa na Mungu -
24:32 - 24:39walikuwa wakitafuta Mungu
-
24:39 - 24:43lakini Nabii Isayaanawaambia kuwa wao si
halisi -
24:56 - 24:58Jambo lingine la utamanio ni kwamba
unaweza kuwa na shauku, lakini uwe hauna
uhalisi . wewe ni bandia -
24:58 - 25:05unaweza kuwa bandia wa imani
-
25:17 - 25:24unaweza jidai kwamba wewe ni mzuri
-
25:24 - 25:32unaweza jifundisha lugha ya 'uzuri'
-
25:32 - 25:38unaweza kujifundisha namna ya
kuabudu -
25:38 - 25:55lakini imani inatoka kwa roho kulingana
na neno la Mungu ilioko kwa roho yako -
25:55 - 26:08sasa, Mungu hufanya tujitazame tuone
kama tuko na imani au la -
26:08 - 26:20kwa sababu na kuhakikishia ya kwamba
imani lazima ijaribiwe -
26:20 - 26:28imani sio imani kama haijajaribiwa
-
26:28 - 26:31vile Mungu anaweka majaribio ya imani sio
kawaida, ati tutajua siku na wakati -
26:31 - 26:35ndio tujitayarishe, kisha tupite huo mtihani
vile Mungu anaweka majaribio ya imani sio
kawaida, -
26:35 - 26:41ati tutajua siku na wakati ni wakati unafanya
jambo tofauti, -
26:41 - 26:47na bila kujua, mtihani unaletwa
-
27:01 - 27:11lakini mtihani ukiletwa, ndipo tutajua
tuko na upungufu -
27:11 - 27:15Nabii Prophet T.B Joshua alitupatia changa
moto hii "Unawezajua kama uko na imani kupitia
maisha yako ya kila siku" -
27:15 - 27:27"Unawezajua kama uko na imani kupitia
maisha yako ya kila siku" -
27:27 - 27:34lakini hilo si jambo mbaya, ni jambo nzuri !
-
27:34 - 27:40inamaanisha tuko na nafasi ya kujirekebisha
-
27:40 - 27:48sitaki kufika mwisho waa maisha yangu
nigundue kwamba imani yangu ilikuwa bandia -
27:48 - 27:59nashukuru mungu kwa mitihani ya wakati huu
ndio nielewa kwa wakati huu -
27:59 - 28:05na ninaweza kuja kwake, anirekebishe.
-
28:05 - 28:20kwa sabbau Mungu analeta mambo kwa maisha
ndio tujipime nguvu za kiroho -
28:20 - 28:28kwa njia ingine, huwezi jikomboa!
-
28:28 - 28:42anakubali tupate tamaa zinazozidi uwezo wetu
-
28:42 - 28:45je, tutashinda?
-
28:45 - 28:56ndio, kupitia kwa Mungu aliye hai.
-
28:56 - 29:01kwa hivyo, ukiwa na changamoto-
usiwe bandia -
29:01 - 29:03usijifanye kila kitu iko sawa
-
29:11 - 29:18wacha nisome Luka 9:23
-
29:18 - 29:22Yesu akawaambia
-
29:22 - 29:28Mtu yeyote akataka kunifuata,
-
29:28 - 29:35awe lazima
atengewe nafasi, na abebe msalaba wake kila siku, na anifuate". -
29:35 - 29:42Kwa yeyote anayetaka
kuipenyeza nafsi yake, ataiharibu. -
29:42 - 29:55"Lakini yeyote yule ambaye atapoteza maisha
yake kwa ajili Yangu, atayachukua". -
29:55 - 30:05ni jambo la kufa kupona- na ndio sababu
Ukristo sio jambo la utamanio. -
30:05 - 30:14kwa ajiri hii tunapeana maisha yetu
-
30:14 - 30:20wajua inawezekana-tukijipeana sehemu tu,
tutakuwa wakristo wenye huzuni, -
30:20 - 30:34hatutapata
furaha.tutajawa na huzuni kila wakati -
30:34 - 30:43hauwezi tenganisha maisha ya milele na
Ukristo. -
30:43 - 30:53Mungu aliyetuumba, na ambaye atatuhukumu
-
30:53 - 31:00ametengeneza njia ya upatanisho
-
31:00 - 31:07tupate maisha yanayoridhidha na huru.
-
31:07 - 31:10hakusema itakuwa rahisi, lakini itakuwa ya
kuridhisha na huru.Na kwenye maisha ya milele, -
31:10 - 31:16atatwambia
"Ume fanya vizuri sana, mtumwa mwema na mwaminifu." -
31:27 - 31:33Nitasoma somo lingine moja
-
31:33 - 31:43katika kitabu cha Historia 16:9
-
31:44 - 31:51"Macho ya bwana yanaenda huko na huko juu
ya dunia yote -
31:51 - 31:58ndio azipe nguvu
nyoyo wale wanajitolea kwake -
32:09 - 32:15hii inaongea juu ya Mungu-
Mungu aliye hai. -
32:15 - 32:19ako hapa!
-
32:19 - 32:23anaangalia nyoyo zetu!
-
32:23 - 32:28anataka kutuonyesha nguvu zake!
-
32:28 - 32:39lakini atafanya hivyo kwa wale watu wanaji
tolea kwake. -
32:39 - 32:49kwa hivyo, wacha tusimame na tuombe pamoja.
-
32:49 - 33:01Bwana Yesu, nijipeana kwenye mapenzi yako.
-
33:01 - 33:07Bwana Yesu, niko tayari!niko tayari
-
33:07 - 33:16ukinituma nitaenda
-
33:16 - 33:24tayari kusema lile unataka niseme
-
33:24 - 33:34niko tayari kuwa vile unataka niwe
-
33:34 - 33:39muda ni mfupi
-
33:39 - 33:45yesu anarudi hivi karibuni
-
33:45 - 33:52sitaki kupoteza muda wangu
-
33:52 - 33:58niambie na nitakalofanya
-
33:58 - 34:04nipe amri
-
34:04 - 34:18kuahidi nitajiwasilisha kwenye mapenzi
yako kwangu -
34:18 - 34:31na nitakubali lile utakubalisha
-
34:31 - 34:42nataka nijue mapenzi yako
-
34:42 - 34:52katika jina la yesu, Amina!
- Title:
- Ukristo Sio MAPENDELEO; Ni MTINDO WA MAISHA!
- Description:
-
more » « less
Gundua siri ya UKRISTO WENYE MATENDO katika mahubiri haya, yanayotokana na maisha binafsi ya Bwana Gary - safari yake ya imani, kama ilivyoelezewa katika Kongamano la Vijana lililafanyika huko Cuba Mwezi wa Julai Mwaka wa 2023.
" Mimi siko hapa kujaribu kutafuta maana ya maneno yaliyoko kwenye bibilia kulingana na maoni yangu binafsi ama kulingana na yale nimeyapitia, ila mimi natumia bibilia kuelewa kwa nini nilipitia yale niliyoyapitia!"- Gary
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 35:30
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! | ||
| georgejbudeba edited Swahili subtitles for Christianity Is Not A HOBBY; It's A LIFESTYLE! |