-
-
Duara ni muonekano wa pekee kwenye
-
ulimwengu, hata ukiangalia muonekano wa mzunguko wa
-
sayari, hata kama utaangalia magurudumu, au kwenye
-
vitu vya aina ya kiwango cha masi.
-
Duara litaendelea kujidhihirisha tena na
-
tena na tena.
-
Hivyo ni vizuri kwa sisi kuelewa baadhi ya
-
sehemu za duara.
-
Kitu cha kwanza watu walivyogundua duara,
-
na unapaswa kuangalia kwenye mwezi kuona duara, lakini
-
mara ya kwanza walisema, zipi ni sehemu za
-
duara lolote?
-
Kitu cha kwanza walichotaka kusema ni, duara
-
ni alama zote ambazo ni zina urefu sawa kutoka
-
kwenye kitovu cha duara.
-
Na hizi alama karibia kwenye ukingo zina urefu sawa kutoka
-
hapa kwenye kitovu.
-
Kitu cha kwanza mtu anaweza kujiuliza ni
-
upi huo urefu, huo urefu sawa
-
kutoka kwenye kitovu?
-
Hapa.
-
Tunaita nusu kipenyo cha duara.
-
Ni umbali kutoka kwenye kitovu nje ya ukingo.
-
Kama nusu kipenyo ni sentimita 3, hiki nusu kipenyo
-
kitakuwa sentimita 3.
-
Na hiki kipenyo kinaenda kuwa sentimita 3.
-
Haibadiliki.
-
Kwa tafsiri, duara ni alama zote zenye urefu sawa
-
kutoka kwenye alama ya kitovu.
-
Na huo umbali ni nusu kipenyo.
-
Kitu kingine cha kuvutia kuhusu hili, watu wanaweza
-
kusema, ni unene gani wa hilo duara?
-
Ni upana upi karibia na alama ya upana?
-
Au kama unataka kukata karibia alama ya upana, ni upi
-
huo urefu hapa?
-
Na haitakiwi kuwa hapa, inaweza kuwa
-
rahisi kukata alama ya upana wake hapa.
-
Siwezi kuukata sehemu kama hivi
-
kwa sababu hiyo haitakuwa karibia na alama ya upana.
-
Kuna sehemu nyingi naweza kuukata
-
karibia na alama ya upana.
-
Vizuri, tumeona kipenyo na tumeona hiyo alama ya upana
-
inapitia kwenye kitovu na inaendelea kwenda.
-
Kimsingi ni nusu vipenyo viwili.
-
Umepata nusu kipenyo kimoja na una
-
kipenyo kingine hapa.
-
Tunaita huu umbali karibia na alama ya upana wa
-
duara, kipenyo.
-
Hiki ni kipenyo cha duara.
-
Kina uhusiano na nusu kipenyo.
-
Kipenyo ni sawa na mara mbili ya nusu kipenyo.
-
-
Sasa, kitu kingine cha kuvutia unachoweza
-
kushangaa kuhusu duara ni umbali gani uliopo kuzunguka duara?
-
Kama ukiwa na utepe wa kupimia na unataka
-
kupima kuzunguka duara kama hili, ni upi huo umbali?
-
Tunauita huo ni mzingo wa duara.
-
Tumeshaona jinsi kipenyo na nusu kipenyo zinavyofanana, lakini jinsi
-
gani mzingo unafanana na kipenyo.
-
Na kama hautumii kipenyo, ni
-
rahisi kutafuta jinsi inavyofanana na nusu kipenyo.
-
Miaka elfu iliyopita, watu walichukua utepe
-
wa kupimia na wakapima mzingo
-
na nusu kipenyo.
-
Ngoja tuseme pindi utepe wao haukupima sawa,
-
labda tuseme walipima mzingo wa duara
-
na walipata sawa, ulionekana kama unafikia 3.
-
Na pia walipima nusu kipenyo cha duara hapa
-
au kipenyo cha hilo duara, wakadai, kipenyo
-
kinafikia 1.
-
Ngoja niandike.
-
Tuna wasiwasi kuhusu uwiano-- ngoja
-
niandike kama hivi.
-
Uwiano wa mzingo kwenye kipenyo.
-
-
Tuseme mtu fulani ana duara hapa
-
tuseme wanao hili duara, mara ya kwanza pasipo
-
na utepe mzuri wa kupimia, walipima kuzunguka duara
-
na walisema, ni takribani sawa na mita 3
-
nikiwa nauzunguka.
-
Na wakati napima kipenyo cha duara,
-
Ni takribani sawa na 1.
-
Sawa, hii inavutia.
-
Labda uwiano wa mzingo wa
-
kipenyo ni 3.
-
Hivyo labda mzingo ni tatu
-
mara kipenyo.
-
Vizuri huo ulikuwa kwa hili duara, lakini ngoja tuseme
-
wanapima duara nyingine hapa.
-
Ni kama hivi- nimechora mdogo.
-
Tuseme kwenye hili duara walipima kuuzunguka na
-
walikuta huo mzingo ni sentimita 6,
-
tuna utepe mbaya tuliotumia kupima.
-
Na walikuta kwamba kipenyo ni
-
takribani sentimita 2.
-
Na mara nyingine, uwiano wa mzingo wa
-
kipenyo ni takribani 3.
-
Huu ndo uzuri wa duara.
-
Labda uwiano wa mzingo kwenye kipimo
-
sikuzote unadumu kwa duara lolote.
-
Hivyo wanasema ngoja niisome hii zaidi.
-
Wamepata utepe mzuri wa kupimia.
-
Walivyopata utepe mzuri wa kupimia, walipima,
-
mzingo wangu ni 1.
-
Wanasema mzingo wangu ni 1, lakini ikiwa
-
unapima mzingo wangu kidogo, nimegundua
-
inakaribia 3.1.
-
-
Na ni sawa kama hii hapa.
-
Wamegundua kwamba uwiano ni karibia na 3.1.
-
Na waliendelea kupima vizuri na vizuri na vizuri,
-
na pia waligundua kwamba walipata hii namba,
-
waliendelea kupima vizuri zaidi na vizuri zaidi na
-
walipata hii namba 3.14159.
-
Na waliendelea kuongeza tarakimu na
-
haikujirudia.
-
Ni namba za ajabu
-
zilizojitokeza.
-
Kumbuka hii namba ilikuwa ni ya msingi ulimwenguni kwetu,
-
kwa sababu duara lina umuhimu ulimwenguni,
-
na linajidhihirisha kwa kila duara.
-
Uwiano wa mzingo wa kipenyo ulikuwa na
-
namba za ajabu, walizipa jina.
-
Waliziita pai,
-
pai.
-
Hii inawakilisha hizi namba ambazo zinasemekana
-
ni namba zinazovutia kwenye ulimwengu wetu.
-
Kwanza zinaonyesha uwiano wa mzingo kwenye
-
kipenyo, lakini utaenda kujifunza ukiwa unajifunza
-
hesabu, kwamba inajitokeza kila sehemu.
-
Ni moja ya hiki kitu cha msingi kuhusu ulimwengu
-
kinachokufanya ufikiri kwamba kuna mpangilio fulani.
-
Lakini hata hivyo, jinsi gani tunaweza kutumia hii
-
kwenye msingi wa hisabati?
-
Tunajua, au nakuambia, kwamba uwiano wa
-
mzingo kwenye kipenyo -- nikisema uwiano,
-
kimsingi namaanisha kama ukigawanya mzingo kwa
-
kipenyo, utapata pai.
-
Pai ni hii namba.
-
Ninaweza kuandika 3.14156 na tukaendelea zaidi na zaidi,
-
lakini tutapoteza nafasi na inaweza kuwa ngumu
-
kufanya, hivyo watu wanaandika
-
herufi pai hapa.
-
Hivyo, tunawezaje kuhusianisha hii?
-
Tunazidisha pande zote kwa kipenyo na
-
tunaweza kusema mzingo ni sawa na pai
-
mara kipenyo.
-
Au kumbuka mzingo ni sawa na 2 mara nusu kipenyo, tunaweza
-
kusema kwamba mzingo ni sawa na pai mara 2
-
mara nusu kipenyo.
-
Au hapo unaweza kuona,
-
ni sawa na 2 pai k.
-
Ngoja tuone kama tunaweza kutumia hii kwenye baadhi ya maswali.
-
Ngoja tuseme nina duara kama hili, na nimekwambia
-
lina nusu kipenyo--kiko hapa ni 3.
-
Hivyo 3--ngoja niandike hapa--nusu kipenyo ni sawa na 3.
-
Labda ni mita 3--weka hatua pale.
-
Ni upi mzingo wa duara?
-
Mzingo ni sawa na 2 mara 5 mara nusu kipenyo.
-
Itakuwa sawa na 2 mara pai mara nusu kipenyo,
-
mara mita 3, ambayo ni sawa na mita 6 mara
-
pai au mita 6 pai.
-
Mita 6 pai.
-
Naweza kuzidisha hii.
-
Kumbuka pai ni kama namba.
-
Pai ni 3.14159 inaendelea ivyo.
-
Kama nikizidisha 6 mara hiyo nitapata alama 18
-
na pointi kadhaa.
-
Kama una kikokotoo unaweza kufanya, lakini
-
kwa baadhi ya watu wanaacha namba
-
kwa mfumo wa pai.
-
Sijui hii ni nini kama nikizidisha 6 mara
-
3.14159, sijui kama nitapata kinachokaribia na 19 au
-
18, labda ni kadirio la 18 na pointi
-
kadhaa.
-
Sina kikokotoo hapa.
-
Lakini badala ya kuandika hii namba, una
-
andika pai 6 hapa.
-
Nafikiri haitavuka
-
19.
-
Tujiulize swali lingine.
-
Kipi ni kipenyo cha duara?
-
-
Kama nusu kipenyo ni 3, kipenyo ni mara mbili yake.
-
Itakuwa 3 mara 2 au 3 jumlisha 3, ambayo
-
ni sawa na mita 6.
-
Hivyo mzingo ni mita 6 pai, kipenyo ni mita
-
6, nusu kipenyo ni mita 3.
-
Ngoja tufanye njia nyingine.
-
Ngoja tuseme tuna duara lingine.
-
Tuseme nina duara hapa.
-
Na nakwambia kwamba mzingo ni sawa na
-
mita 10- huo ni mzingo wa duara.
-
Kama utatumia utepe wa kupimia kuzunguka duara na
-
mtu akakuuliza kipi ni kipenyo cha duara?
-
Tunajua kwamba kipenyo mara pai, tunajua kwamba pai mara
-
kipenyo ni sawa na mzingo; ni
-
sawa na mita 10.
-
Kujibu hili utagawanya pande zote
-
za huu mlinganyo kwa pai.
-
Kipenyo kitakuwa sawa na mita 10 juu ya pai au
-
10 juu ya pai mita.
-
Na hii ni kama namba.
-
Kama una kikokotoo, unaweza kugawanya 10
-
gawanya kwa 3.14159, utapata mita 3 pointi
-
kadhaa.
-
Siwezi kufanya kwa kichwa.
-
Lakini hii ni kama namba.
-
Lakini kiurahisi tuniacha kama ilivyo.
-
Sasa kipenyo ni nini?
-
Vizuri, nusu kipenyo ni sawa na 1/2 ya kipenyo.
-
Hivyo huu urefu wake hapa ni 10 juu ya mita pai.
-
Kama tuna 1/2 ya hiyo, kama tunataka nusu kipenyo,
-
tunazidisha mara 1/2.
-
Hivyo una 1/2 mara 10 juu ya pai, ambayo ni sawa na 1/2 mara
-
10, au unagawanya kiasi na
-
asili kwa 2.
-
Unapata 5 hapa, unapata 5 juu ya pai.
-
Hivyo nusu kipenyo hapa ni 5 juu ya pai.
-
Hakuna kitu kipya hapa.
-
Nafikiri kitu kinachochanganya watu sana ni
-
kuelewa kwamba pai ni namba.
-
Pai ni 3.14159 na inaendelea ivyo.
-
Kuna vitabu vingi vimeandika kuhusu pai, hivyo
-
si kama--sijui kama kuna maelfu, nina
-
kuza tu, lakini unaweza kuandika kitabu kuhusu hii namba.
-
Lakini ni kama namba
-
Ni namba maalum, na kama unataka kuandika kwa
-
namna unayotumia kuandika namba, kimsingi
-
utazidisha hii.
-
Lakini muda mwingi watu wamegundua wanaacha
-
vitu kwa mfumo wa pai.
-
Naachia apa.
-
Kwenye video nyingine tutatafuta eneo la duara.