MAOMBI YENYE UPAKO ili KUFUNGUA MALANGO YA MAFURIKO YA MBINGUNI KATIKA MAISHA YAKO!
-
0:00 - 0:13Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi!
-
0:13 - 0:25Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, woga, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo!
-
0:27 - 0:41Watu wa Mungu, ni hali ipi inayowazunguka leo?
-
0:41 - 0:49Moyo wako umeumizwa au umevunjika
-
0:49 - 1:00kwa sababu ya maswala ambayo maisha yamekukabili au yaliyosababishwa na chaguzi zisizo sahihi?
-
1:00 - 1:05Niko hapa leo kukuambia ukweli huu.
-
1:05 - 1:16Kuna uponyaji na utimilifu unaopatikana kwa ajili yako katika Yesu Kristo.
-
1:16 - 1:26Labda sijui ni nini kinasumbua roho yako kwa wakati huu
-
1:26 - 1:31unapoungana na na huduma hii, lakini jambo moja najua -
-
1:31 - 1:39kuna pumziko katika Kristo Yesu kwa ajili yako.
-
1:39 - 1:44Lakini zingatia hili.
-
1:44 - 1:50Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayeweza kutatua masuala ya nafsi yako.
-
1:50 - 1:59Ni Muumba wa moyo wako pekee ndiye anayeweza kurekebisha masuala ya moyo wako.
-
1:59 - 2:12Kutafuta misaada katika mwili, kwa juu tu katika uso, kutasababisha tu shida zaidi.
-
2:12 - 2:16Kutakuacha ukiwa na sonona zaidi.
-
2:16 - 2:23Ni Mmiliki wa nafsi yako pekee ndiye anayewez akutatua masuala ya nafsi yako.
-
2:23 - 2:27Na ndio maana nakuambia leo hongera
-
2:27 - 2:30kwa sababu umefanya chaguo sahihi.
-
2:30 - 2:36Umechagua kutafuta uhusikaji wa Mungu.
-
2:36 - 2:42Ndiyo maana uko hapa kwa wakati huu, umeunganishwa kwenye huduma hii.
-
2:42 - 2:47Kwa hivyo swali sasa hivi ni hili.
-
2:47 - 2:56Je, hali ya moyo wako ikoje tunapokaribia kuomba pamoja?
-
2:56 - 3:01Je, moyo wako uko wazi kwa ajili ya Roho Mtakatifu?
-
3:01 - 3:05Je, roho yako iko huru?
-
3:05 - 3:10Au roho yako bado imefungwa?
-
3:10 - 3:21Umefungwa kwa maumivu ya siku za nyuma, uchungu, kutosamehe au chuki?
-
3:21 - 3:30Kwa sababu kinachofunga roho yako kinaweza kuwa kinazuia baraka zako.
-
3:30 - 3:40Ni wakati sasa wa wewe kuachana na maumivu yote ya zamani.
-
3:40 - 3:43Achana na huko kutosamehe.
-
3:43 - 3:53Acha uchungu huo na umkaribishe Roho Mtakatifu aingie moyoni mwako sasa hivi.
-
3:53 - 3:57Mkaribishe Roho Mtakatifu ndani ya moyo wako.
-
3:57 - 4:01Mkaribishe Roho Mtakatifu katikati yako.
-
4:01 - 4:04Mkaribishe Roho Mtakatifu nyumbani kwako.
-
4:04 - 4:07Mkaribishe sasa hivi.
-
4:07 - 4:19Ee Roho Mtakatifu, tunaomba utufungulie malango ya Mbinguni leo.
-
4:19 - 4:28Tunapofungua mioyo yetu Kwako, fungua milango ya mafuriko kwetu katika jina la Yesu Kristo.
-
4:52 - 5:02Hivi sasa, mbegu yoyote ya uchungu ambayo imetia mizizi moyoni mwako -
-
5:02 - 5:08Nasema, ng'olewa kwa jina kuu la Yesu Kristo!
-
5:24 - 5:34Unapoachilia msamaha, pokea msamaha!
-
5:34 - 5:40Unapoachilia msamaha, wekwa kando ka ajili ya uangalifu wa Mungu!
-
5:40 - 5:47UtengwE kwa ajili ya huruma ya Mungu! Wekwa kando kando kwa upendeleo wa Mungu leo!
-
6:06 - 6:12Kila doa la dhambi - lioshwe!
-
6:12 - 6:18Uoshwe kwa Damu ya Yesu Kristo!
-
6:32 - 6:40Roho Mtakatifu, ruhusu malango yako ya ukombozi yafunguke sasa hivi.
-
6:40 - 6:50Acha nguvu Yako ya ukombozi ishuke sasa hivi!
-
6:50 - 6:55Pokea ukombozi wako!
-
6:55 - 6:58Pokea, katika jina la Yesu Kristo!
-
7:21 - 7:28Kila silaha ya giza inayosababisha dhiki katika nafsi yako,
-
7:28 - 7:33Ninasema hivi sasa - toweshwa!
-
7:33 - 7:37Utoweshwe, katika jina la Yesu Kristo!
-
7:37 - 7:41Uvunjwe sasa hivi!
-
8:00 - 8:13Ninazungumza na hiyo nguvu ya kipepo inayosumbua hisia zako. Toka nje sasa hivi!
-
8:13 - 8:26Roho hiyo nyuma ya wasiwasi, mashaka, huzuni - toka nje, kwa jina la Yesu Kristo!
-
8:55 - 9:06Wewe pepo mchafu uletaye madhara na chuki - sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi!
-
9:06 - 9:09Tupwa nje!
-
9:09 - 9:13Tupwa nje, kwa jina kuu la Yesu!
-
9:26 - 9:37Kila roho chafu iliyo nyuma ya tabia hizo mbaya, ambayo inasababisha tabia yako mbaya -
-
9:37 - 9:38inatosha!
-
9:38 - 9:45Ninakuamuru wewe pepo mchafu utoke sasa hivi!
-
9:45 - 9:54Roho hiyo iliyo nyuma ya uasherati -toka kwa jina kuu la Yesu!
-
10:22 - 10:26Watu wa Mungu, ukombozi unafanyika.
-
10:26 - 10:33Nguvu za Roho Mtakatifu zinakutenganisha na nguvu zozote za giza.
-
10:33 - 10:35Ikiwa uko pamoja na wanafamilia,
-
10:35 - 10:40Ninataka kuombea familia sasa hivi kwa ajili ya ukombozi kutoka kwenye laana za vizazi.
-
10:40 - 10:45Shikilia wanafamilia yako sasa hivi. Tuombe pamoja.
-
10:45 - 10:55Kila roho ya umaskini inayoshikilia familia yako mateka - inatosha!
-
10:55 - 10:58Kwa mamlaka katika jina la Yesu Kristo,
-
10:58 - 11:03Ninakuamuru utoke katika gereza hilo la umaskini!
-
11:03 - 11:06Toka katika gereza hilo la umaskini!
-
11:06 - 11:10Toka katika gereza hilo katika familia yako!
-
11:39 - 11:44Sasa hivi, toka kwenye ngome hiyo katika familia yako!
-
11:44 - 11:52Ngome hiyo ya kizuizi, vilio, kurudi nyuma - ufukuwe kutoka kwenye ngome hiyo!
-
11:52 - 11:57Ukombolewe kutoka kwenye ngome hiyo!
-
12:18 - 12:22Ikiwa wanafamilia wako hawako nawe kimwili lakini una picha yao,
-
12:22 - 12:23unaweza kuishikilia kwa imani.
-
12:23 - 12:25Unaweza kuzishikilia picha zao kwa imani.
-
12:25 - 12:27Roho wa Mungu anatenda kazi.
-
12:27 - 12:32Sasa hivi, vunja laana hiyo katika familia yako!
-
12:32 - 12:35Jiepushe na laana hiyo!
-
13:05 - 13:17Laana hiyo ya kizazi cha ugumu katika familia yako - ivunjwe sasa hivi!
-
13:17 - 13:24Laana hiyo ya kizazi ya magonjwa, maradhi, maumivu katika familia yako -
-
13:24 - 13:30vunjwa, katika jina la Yesu Kristo!
-
14:00 - 14:06Katika mazingira haya ya imani, weka mkono wako popote pale unapopata maumivu.
-
14:06 - 14:12Roho Mtakatifu sasa hivi anaachilia nguvu zake za uponyaji.
-
14:12 - 14:14Weka mkono wako hapo sasa hivi.
-
14:14 - 14:22Malango ya Mbinguni yanafunguka na kuachilia uponyaji katika maisha yako leo.
-
14:22 - 14:35Ninazungumza moja kwa moja na huyo pepo mchafu anayekuletea maumivu, magonjwa, maradhi.
-
14:35 - 14:41Sikia Neno la Mungu. Toka nje sasa hivi!
-
14:41 - 14:46Uponywe, katika jina la Yesu!
-
14:46 - 14:51Uponywe, katikajina kuu la Yesu Kristo!
-
15:20 - 15:29Kila chanzo cha ugonjwa katika mfumo wako - ufurumishwe leo!
-
15:29 - 15:32Ufurumishwe sasa hivi!
-
15:32 - 15:35Kitapike sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo!
-
15:35 - 15:39Popote ambapo ugonjwa huo umejificha,p opote ugonjwa huo unanyemelea -
-
15:39 - 15:44toka kwenye mfumo wako!Kutoka kwa viungo vyako!
-
15:44 - 15:46Kutolewa sasa hivi!
-
16:13 - 16:22Kila kitu kigeni katika mwili wako -uoshwe nje sasa hivi!
-
16:22 - 16:26Usafishwe kwa Damu ya Yesu Kristo!
-
16:40 - 16:47Ninazungumza na ugonjwa huo wa ajabu katika damu yako, katika misuli yako, katika mifupa yako.
-
16:47 - 16:52Maambukizi hayo, sasa hivi -toka kwenye mfumo wao!
-
16:52 - 16:55Usafishwe kwa jina la Yesu!
-
16:55 - 16:58Katika damu yako - takaswa sasa hivi!
-
16:58 - 17:02Katika mifupa yako - takaswa hivi sasa!
-
17:02 - 17:06Katika uwezo wako -takaswa!
-
17:31 - 17:42Kizuizi hicho kinachoathiri kupumua kwako, kinachoathiri moyo wako, kinachoathiri mapafu yako,
-
17:42 - 17:52Ninakiambia kizuizi hicho -kiondolewe sasa hivi!
-
17:52 - 18:04Pokea maisha mapya katika mapafu yako, moyo, uwezo, damu, mifupa!
-
18:04 - 18:06Pokea kwa jina la Yesu!
-
18:43 - 18:47Roho hiyo ya ajabu inasumbua usingizi wako,
-
18:47 - 18:53kusababisha kukosa utulivu usiku, kuathiri uwezo wako wa kulala,
-
18:53 - 18:58Ninaiambia roho hiyo - toka leo!
-
18:58 - 19:02Ondoka, kwa jina la Yesu Kristo!
-
19:02 - 19:09Pokea hilo pumziko katika roho,nafsi na mwili wako sasa hivi!
-
19:32 - 19:39Jeraha hilo la ndani - liponywe sasa hivi!
-
19:39 - 19:46Jeraha hilo la ndani - upone sasa hivi!
-
19:46 - 19:50Uwe mzima, katika jina la Yesu Kristo.
-
20:08 - 20:14Hivi sasa, chochote ambacho shetani amekiingilia katika kazi yako
-
20:14 - 20:23ambacho imesababisha kuchelewa, kizuizi, vilio - leo ni siku yako ya urejesho.
-
20:23 - 20:26Urejeshwe sasa hivi!
-
20:26 - 20:29Urejeshwe katika kazi yako!
-
20:29 - 20:31Urejeshwe katika fedha zako!
-
20:31 - 20:34Urejeshwe katika biashara yako!
-
20:34 - 20:37Urejeshwe!
-
21:05 - 21:14Ni kipi kinachosababisha 'uchhovu kupindukia' katika kazi yako?
-
21:14 - 21:25Je, unateseka chini ya uzito wa shinikizo na mvutano mahali pa kazi yako?
-
21:25 - 21:30Ni wakati wa kuchukua tena udhibiti wa moyo wako
-
21:30 - 21:36na kuteka tena eneo lililochukuliwa na adui, lililoibiwa na adui.
-
21:36 - 21:41Uchukue tena sasa hivi na upokee nguvu!
-
21:41 - 21:48Pokea nguvu ya kuendelea kujitahidi -kupambana kufanya vizuri,
-
21:48 - 21:54kupambania ukuu, kupambania mafanikio. Pokea nguvu hizo!
-
22:29 - 22:34Pokea nguvu hizo katikati ya mapambano yako!
-
22:34 - 22:39Ninakuambia kwa imani - mapambano yakoyatakufanya uwe na nguvu zaidi!
-
22:39 - 22:42Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu!
-
22:42 - 22:45Mapambano yako yatafanya biashara yako kuwa imara.
-
22:45 - 22:48Mapambano yako yataimarisha ndoa yako.
-
22:48 - 22:51Mapambano yako yatafanya fedha zako kuwa na nguvu zaidi.
-
22:51 - 22:56Mapambano yako yatakufanya uwe na nguvu zaidi. Pokea leo!
-
23:31 - 23:38Shida tuliyonayo wengi siku hizi tunajikuta tunachanganyikiwa kirahisi,
-
23:38 - 23:43na kuchanganyikiwa kumetushawishi kuchukua maamuzi ya kizembe
-
23:43 - 23:46ambayo hufanya hali zetu kuwa mbaya zaidi.
-
23:46 - 23:54Ninaamuru roho hiyo ya kuchanganyikiwa ikuache leo!
-
23:54 - 23:56Iachie biashara yako leo!
-
23:56 - 23:58Iachie fedha zako leo!
-
23:58 - 24:04Iachie familia yako leo ,katika jina la Yesu Kristo!
-
24:46 - 24:49Najua kuna wengi wetu tunaungana sasa hivi
-
24:49 - 24:56ambao wanatafuta kazi, wanatafuta kazi.
-
24:56 - 25:03Nakuambia, leo ni siku yako!
-
25:03 - 25:07Kwa mamlaka katika jina kuu la Yesu Kristo,
-
25:07 - 25:15acha maombi yako ya kazi yapate kibali cha Mungu!
-
25:15 - 25:24Acha CV yako ivutie kibali cha kimungu, katika jina la Yesu Kristo!
-
25:46 - 25:49Baada ya Ibada hii Shirikishi ya Maombi,
-
25:49 - 25:59tuma ombi lako la kazi n aupokee kazi uliyokusudiwa!
-
25:59 - 26:04Pokea kupandishwa cheo kwako, kwa jina la Yesu Kristo!
-
26:27 - 26:30Watu wa Mungu, nataka mzingatie jambo fulani.
-
26:30 - 26:40Sio kila kushindwa, kukokufanikiwa katika biashara yako, fedha ni kutokana na mashambulizi ya kiroho.
-
26:40 - 26:47Hapana! Mara nyingi, sisi ndio wabunifu wa anguko letu wenyewe
-
26:47 - 26:53kwa sababu ya jinsi tunavyotumia vibaya rasilimali zetu.
-
26:53 - 26:55Leo, nakuombea.
-
26:55 - 27:00Pokea hekima yausimamizi wa fedha.
-
27:00 - 27:04Pokea hekima yausimamizi wa biashara.
-
27:04 - 27:11Pokea hekima ya usimamizi wa watu, katika jina la Yesu Kristo!
-
27:38 - 27:45Sasa hivi, watu wa Mungu, nataka muombee mataifa ya ulimwengu.
-
27:45 - 27:51Ikiwa una bendera ya taifa lako, ishikilie kama mahali pa kuwasiliana.
-
27:51 - 27:56Tumeunganishwa kwa huduma hii kutoka kote ulimwenguni hivi sasa.
-
27:56 - 27:58Sisi hatuko hapa kwa ajili yetu wenyewe tu.
-
27:58 - 28:02Tuko hapa kusimama kwenye pengo kwa ajili ya mataifa.
-
28:02 - 28:06Kumbuka sasa hivi mataifa hayoyanayoshughulika
-
28:06 - 28:11na athari za majanga ya asili.
-
28:11 - 28:19Kumbuka mataifa hayo na uombe Mungu aingilie kati sasa hivi.
-
28:19 - 28:22Omba uingiliaji kati wa Mungu.
-
28:45 - 28:53Kumbuka mataifa ambayo yanashughulika na migogoro na machafuko inayoendelea.
-
28:53 - 28:55Kumbuka mataifa hayo.
-
28:55 - 29:00Omba uingiliaji kati wa Mungu.
-
29:00 - 29:03Omba Mungu aingilie kati leo.
-
29:24 - 29:28Kumbuka taifa lako mwenyewe katika maombi sasa hivi.
-
29:28 - 29:30Taja jina la taifa lako.
-
29:30 - 29:36Likabidhi taifa lako, wakabidhi viongozi wako mikononi mwa Mungu
-
29:36 - 29:45na uombe uingiliaji wa kimungu katika mambo ya taifa lako.
-
30:09 - 30:14Kila pazia linalotia giza moyo wako,
-
30:14 - 30:20ukizuia moyo wako kupokea ufunuo kutoka juu,
-
30:20 - 30:27Ninasema kwa pazia hilo - vunjwa leo!
-
30:27 - 30:36Macho ya imani yako na yafumbuke, kwa jina kuu la Yesu.
-
31:15 - 31:23Macho ya imani yako - yafumbuliwe sasa hivi, katika jina la Yesu Kristo!
-
31:23 - 31:26Anza kuona maisha dhahiri.
-
31:26 - 31:28Jionee dhahiri.
-
31:28 - 31:30Tazama wengine kwa uwazi.
-
31:30 - 31:34Jitambue.
-
31:34 - 31:41Pata maoni ya Mungu juu yako mwenyewe na wengine, katika jina la Yesu Kristo!
-
32:11 - 32:17Katika jina kuu la Yesu Kristo tunaomba.
-
32:25 - 32:33Watu wa Mungu, Maandiko yanasema katika kitabu cha Zaburi 142:7
-
32:33 - 32:43ili Mungu azifungue roho zetu kutoka gerezani ili tulisifu jina lake takatifu.
-
32:43 - 32:51Ninasema sasa hivi, leo, kwa mamlakakatika jina la Yesu Kristo,
-
32:51 - 32:56nafsi yako imefunguliwa kutoka katika gereza hilo la utumwa.
-
32:56 - 33:01Familia yako imeachiliwa kutoka katika gereza la laana za vizazi.
-
33:01 - 33:06Biashara yako imeachiliwa kutoka kwenye gereza la vilio.
-
33:06 - 33:11Afya yako imetolewa kutoka katika gereza la mateso.
-
33:11 - 33:14Maisha yako yametolewa leo.
-
33:14 - 33:18Furahia kutolewa kwako!
-
33:18 - 33:24Ndiyo, furahia kuachiliwa kwako na ulisifujina lake kwa uponyaji wako.
-
33:24 - 33:27Lisifuni jina lake kwa ukombozi wako.
-
33:27 - 33:29Lisifuni jina lake kwa uhuru wako.
-
33:29 - 33:32Lisifuni jina lake kwa kazi hiyo mpya.
-
33:32 - 33:34Lisifiwe jina lake kwa upandishaji huo.
-
33:34 - 33:37Lisifuni jina lake kwa kuzaa huko.
-
33:37 - 33:40Lisifuni jina lake kwa upatanisho huo.
-
33:40 - 33:43Lisifuni jina lake!
-
33:43 - 33:50Kila mwenye pumzina amsifu Bwana!
-
33:50 - 34:01Na zingatia haya - unapomtafuta Mungu katikati ya hali yako.
-
34:01 - 34:07utamwona Mungu katikatiya hali yako.
-
34:07 - 34:13Lakini hamu yako ya kupokeakutoka kwa Yesu Kristo
-
34:13 - 34:23lazima iambatane na kujitolea kumfuata Yesu Kristo.
-
34:23 - 34:31Je, kuna eneo lolote la maisha yako,maisha yako ya kila siku,
-
34:31 - 34:40kwamba unajua unahitaji kurekebisha ili kudumisha uhusiano wako pamoja na Mungu?
-
34:40 - 34:47Ukweli wa utayari wakowa kumfuata Yesu
-
34:47 - 34:54inaonyeshwa na uzito ambaounajibu swali hili -
-
34:54 - 35:01si kwa midomo tu bali kwa maisha yako.
-
35:01 - 35:03Kumbuka, watu wa Mungu.
-
35:03 - 35:07Bila shaka, kila mtu hufanya makosa.
-
35:07 - 35:12Na ndio, sote tunashindanana udhaifu wetu.
-
35:12 - 35:23Lakini la msingi ni wewekumkimbilia Mungu kwa toba.
-
35:23 - 35:30Unapomkimbilia Mungu kwa toba,utapata nguvu ya kushinda
-
35:30 - 35:34na neema ya kuendelea.
- Title:
- MAOMBI YENYE UPAKO ili KUFUNGUA MALANGO YA MAFURIKO YA MBINGUNI KATIKA MAISHA YAKO!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 36:24
Show all