< Return to Video

7 Herodi unaweka Petro katika gereza

  • 0:00 - 0:03
    Mfalme Herodi aliwafunga
    wachache waliokuwa wa kanisa
  • 0:03 - 0:05
    na alipanga kuwahukumu.
  • 0:05 - 0:07
    Pindi Herodi alipokishwamuua
    Yakobo kwa upnga
  • 0:07 - 0:10
    na akaona jinsi Wayahudi
    walivyoshabikia hili,
  • 0:10 - 0:12
    alimkamata Petro pia.
  • 0:14 - 0:17
    Petro alilindwa na makundi manne
  • 0:17 - 0:19
    yenye maaskari wanne wanne.
  • 0:19 - 0:21
    Tuliangahika sana na
    usalama wake,
  • 0:21 - 0:23
    na kanisa kwa ajili
    yake lilisali kwa bidii.
  • 0:26 - 0:29
    Usiku kabla Herodi
    hajamleta mbele ya hukumu,
  • 0:29 - 0:31
    Petro alikuwa amelala
    kati ya walinzi wawili,
  • 0:31 - 0:34
    amefungwa kwa minyoror, na maaskari
    walisimama katika lango.
  • 0:34 - 0:37
    Ghafla, Malaika
    wa Bwana alitokea
  • 0:37 - 0:39
    na mwanga uliangaza ndani ya chumba.
  • 0:39 - 0:41
    Malaika alimgusa Petro ubavuni
    kumuamsha,
  • 0:41 - 0:44
    na minyororo ikadondoka
    kutoka mikononi mwake.
  • 0:44 - 0:47
    Kama alivyoelekezwa,
    Petro alimfuata malaika
  • 0:47 - 0:49
    nje ya gereza,
    akawapita walinzi wote,
  • 0:49 - 0:52
    hadi kwenye lango la mji.
  • 0:54 - 0:57
    Watu wengi walikuwa wakisali
    pamoja katika nyumba ya Maria,
  • 0:57 - 0:59
    mama wa Yohana.
  • 0:59 - 1:02
    Kama mjakazi ndani ya nyumba,
    nilisika hodi ikibishwa langoni.
  • 1:08 - 1:10
    Kwa tahadhari,
    nilienda kufungua mlango,
  • 1:10 - 1:13
    na kwa mshangao,
    Petro alikuwa amesimama hapo.
  • 1:13 - 1:17
    Tulikuwa tukimuombea kwa bidii
    akiwa gerezani.
  • 1:19 - 1:22
    Kwa mara nyingine, Sala ya pamoja
    ilifanikiwa,
  • 1:22 - 1:25
    na neno la Mugnu
    liliendelea kuenea na kukua.
Title:
7 Herodi unaweka Petro katika gereza
Description:

Mfalme Herodi aliwafunga wachache waliokuwa wa kanisa na alipanga kuwahukumu.

more » « less
Video Language:
English
Team:
Team Adventist
Project:
Artv
Duration:
01:31
Cindy Hurlow approved Swahili subtitles for 7 Herod puts Peter in Prison
Cindy Hurlow edited Swahili subtitles for 7 Herod puts Peter in Prison
Cindy Hurlow accepted Swahili subtitles for 7 Herod puts Peter in Prison
Cindy Hurlow edited Swahili subtitles for 7 Herod puts Peter in Prison
Darren Bridenbeck (Amara Staff) rejected Swahili subtitles for 7 Herod puts Peter in Prison
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for 7 Herod puts Peter in Prison
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for 7 Herod puts Peter in Prison

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions