< Return to Video

vimeo.com/.../47301864

  • 1:45 - 1:55
    mwanzo tulikuwa tuna tumia chemli taa ya mafuta ya taa na zile zinazo tumia betri
  • 2:16 - 2:20
    nina watoto wa tano na wote ninao kwenye nyumba hii
  • 2:42 - 2:43
    wote wana soma
  • 2:45 - 2:51
    ndio walikuwa wanatumia chemli za mafuta ya taa na tochi
  • 3:19 - 3:29
    sasa hivi wanatumia umeme wa sola nikiangalia naona hivi vizuri zaidi kuliko ilivyo kuwa mwanzo
  • 3:30 - 3:37
    pia huduma hii nimeifurahi kwa sababu ni nzuri pia ina gharama nafuu
  • 3:56 - 3:57
    ni rahisi sana
  • 4:09 - 4:11
    ndio siku mbili
  • 4:18 - 4:23
    mia tano na themanini na tatu
  • 4:51 - 5:03
    hamna naona anawasha kila mtu mihuwa nikija nkitoka kazini nakuta taa ina waka kwahiyo hapo sija jua
  • 5:06 - 5:13
    na usiku tumejiekea sistimu saa tano tuna zima kwahiyo mtu wa mwisho kuingia anazima
  • 5:15 - 5:18
    au kama kabla ya saa tano kama wote msha ingia mnazima
  • 5:49 - 5:52
    kwa sasahivi tuna tumia taa tu
  • 5:54 - 6:00
    kwani huu umeme unaweza kutumia vitu vingine kama tv friza
  • 6:01 - 6:03
    kuna vitu unatakiwa uongeze ununue vitu vingine
  • 6:03 - 6:06
    lakini kama ndio ukinunua vina uwezo huo
  • 6:06 - 6:12
    eeh kuna vitu ukiongezea unaweza hapo sasahivi simu ina chaji
  • 6:13 - 6:15
    chaji ndio elfu kumi?
  • 6:15 - 6:16
    ndio
  • 6:23 - 6:26
    taa ndio hizi mbili tu
  • 6:50 - 7:00
    maombi yangu ndio hivyo kama nilivyo kuliza inawezekana kutumia vitu kama hivyo friza tv
  • 7:02 - 7:07
    na umesha nijibu kama inawezekana lakini mpaka uongeze vitu
  • 7:07 - 7:10
    kwahiyo sina mengine ila tu nashukuru
  • 7:18 - 7:22
    haya akhsante
  • 7:28 - 7:31
    haya tuna shukuru na wewe kwa huduma yako
Title:
Video Language:
Swahili
devergy-omary edited Swahili subtitles for vimeo.com/.../47301864
devergy-omary added a translation

Swahili subtitles

Revisions