FURAHA ya kweli inaweza tu kutoka kwa MUNGU!
-
0:00 - 0:04Hatupaswi kupenda chochote juu ya Mungu.
-
0:04 - 0:11Kwa sababu chochote unachopenda zaidi ya Mungu kitakuwa chanzo cha kuvuruga furaha yako.
-
0:11 - 0:16Furaha ya kweli, furaha ya kweli inaweza tu kutoka kwa Mungu.
-
0:16 - 0:21Hakuna chanzo kingine cha furaha au amani ya kweli katika ulimwengu huu nje ya Mungu.
- Title:
- FURAHA ya kweli inaweza tu kutoka kwa MUNGU!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:21
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Real JOY can only come from GOD! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Real JOY can only come from GOD! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Real JOY can only come from GOD! |