FURAHA ya kweli inaweza tu kutoka kwa MUNGU!
-
0:00 - 0:04Hatupaswi kupenda chochote zaidi ya Mungu.
-
0:04 - 0:11Kwa sababu chochote unachopenda zaidi ya Mungu kitakuwa chanzo cha kuvuruga furaha yako.
-
0:11 - 0:16Furaha ya kweli, shangwe ya kweli inaweza tu kutoka kwa Mungu.
-
0:16 - 0:21Hakuna chanzo kingine cha furaha au amani ya kweli katika ulimwengu huu nje ya Mungu.
- Title:
- FURAHA ya kweli inaweza tu kutoka kwa MUNGU!
- Description:
-
"Hatupaswi kupenda chochote zaidi ya Mungu. Kwa sababu chochote unachopenda zaidi ya Mungu kitakuwa chanzo cha kuvuruga furaha yako. Furaha ya kweli, shangwe ya kweli inaweza tu kutoka kwa Mungu. Hakuna chanzo kingine cha furaha au amani ya kweli katika ulimwengu huu nje ya Mungu."
Unaweza kutazama ujumbe kamili kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=1YqM_C2gEzU
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:21
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Real JOY can only come from GOD! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Real JOY can only come from GOD! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for Real JOY can only come from GOD! |