-
Hebu tukokotoa maswali ya milinganyo,
-
na tutaandaa baadhi ya milinganyo
-
ambayo ni rahisi kuliko kawaida,
-
itakuwa na desimali na sehemu.
-
Tuseme nina mlinganyo, 1.2 mara c
-
ni sawa na 0.6.
-
Hivyo nizidishe ngapi
-
mara 1.2 nipate 0.6?
-
Natumai hutoisahau haraka ,
-
hivyo tunaweza kufikiria
-
njia ya kufanya swali hili.
-
Hivyo nachohitaji kufanya kwenye hili swali,
-
nina c upande wa kushoto,
-
naizidisha kwa 1.2,
-
itapendeza kama hii tutaiita c.
-
Kama hii utaiita c badala ya 1.2c.
-
Hivyo nifanye nini hapa?
-
Vizuri nitagawanya kwa 1.2
-
kama tulivyoona,
-
hatuwezi kufanya upande wa kushoto,
-
hivyo itabadilisha, hatuwezi kusema
-
kwamba hii ni sawa na hii, kama ukifanya upande mmoja.
-
Hivyo tunazidisha kwa 1.2 pande zote.
-
Upande wa kushoto, 1.2c gawanya kwa 1.2,
-
vizuri, hii itakuwa c.
-
Utabakiwa na c,
-
utakuwa na c ni sawa na 0.6 juu ya 1.2.
-
Hivyo, hii ni sawa na ngapi?
-
Kuna njia nyingi unazoweza kutumia hapa.
-
Njia ninayopenda kutumia ni,
-
kwanza tuondoe desimali.
-
Hivyo tuzidishe kiasi na asili
-
kwa namba kubwa ili kuondoa desimali.
-
Hivyo nini kitatokea kama tukizidisha
-
kiasi na asili kwa....
-
Hebu tuone tukizidisha kwa 10,
-
utakuwa na 6 kwenye kiasi
-
na 12 kwenye asili, hebu tuifanye.
-
Tuzidishe kiasi na asili kwa 10.
-
Hii ni sawa na kuzidisha kwa
-
10 juu ya 10, haitabadili thamani ya sehemu.
-
Hivyo 0.6 mara 10 ni 6, na 1.2 mara 10 ni 12.
-
Hivyo ni sawa na sita ya kumi na mbili, na kama tunataka
-
tunaweza kuiandika kwa njia rahisi.
-
Tunaweza kuiandika hii kama, kuzidisha kiasi
-
na asili kwa 6, utapata 1 juu ya 2,
-
hii ni sawa na nusu.
-
Na kama ukiangalia swali letu la awali,
-
1.2 mara nusu, unaweza kuiona hii kama makumi kumi na mbili.
-
Makumi kumi na mbili mara nusu
-
ni sawa na makumi sita,
-
hivyo tutajisikia vizuri
-
kwamba c ni sawa na nusu.
-
Tufanye mfano mwingine.
-
Tuchukulie tuna 1 juu ya 4
-
ni sawa na y juu ya 12.
-
Hivyo tunapataje thamani ya y hapa?
-
Tuna y upande wa kulia,
-
na imegawanywa kwa 12.
-
Njia nzuri ninayoweza kufikiri
-
ya kuondoa hii 12 na kubakiwa na y
-
upande wa kulia ni kuzidisha pande zote kwa 12.
-
Tufanye hii kwa rangi ya njano.
-
Hivyo kama nikizidisha uande wa kulia kwa 12,
-
nitazidishe pia upande wa kushoto kwa 12.
-
Kwa mara nyingine, kwa nini nimechagua 12?
-
Ninataka kuzidisha kwa baadhi ya namba,
-
ambazo wakati nazidisha kwa y juu ya 12
-
nibakiwe na y.
-
Na hivyo y mara 12 gawanyaa kwa 12,
-
ni sawa na 1.
-
Na pia upande wa kushoto utabakiwa na
-
12 mara moja ya nne, ambayo ni kumi na mbili ya nne.
-
Hivyo utapata 12 juu ya 4, ni sawa na y.
-
Au unaweza kusema y ni sawa na 12 juu ya 4, y ni sawa na,
-
ngoja nifanye hii ili uone ninachofanywa,
-
nabadilisha upande, haitabadilisha kilichosemwa,
-
y ni sawa na 12 juu ya 4.
-
Hivyo kumi na mbili ya nne ni nini?
-
Unaweza kuiona kama 12 gawanya kwa 4,
-
ambayo ni 3, au unaweza kuiona kama kumi na mbili ya nne
-
ambayo kimsingi itakuwa, 3 nzima.
-
Unaweza kusema hii ni sawa na 3.
-
Y ni sawa na 3, na unaweza kuiangalia.
-
Moja ya nne ni sawa na 3 juu ya 12,
-
zote zimefanya kazi.
-
Kitu kizuri kuhusu milinganyo ni kuwa,
-
unaweza kuangalia kuona kama umepata jibu sahihi.
-
Ngoja tufanye nyingine.
-
4.5 ni sawa na 0.5n
-
Kama kawaida, nina n tayari upande wa kulia.
-
lakini imezidishwa kwa 0.5,
-
itakuwa vizuri kama utasema n.
-
Hivyo kipi nifanye?
-
Nitazidisha pande zote, nitazidisha pande zote
-
kwa 0.5, mara nyingine, kama nikifanya upande wa kulia
-
nitafanya hivyo upande wa kushoto.
-
Na kwa nini nagawanya kwa 0.5?
-
Hivyo nimebakiwa na upande wa kulia.
-
Hii itakuwa sawa na, kwa hiyo upande wa kushoto,
-
nina 4.5 juu ya 0.5, ngoja,
-
sitaki kuruka hatua nyingi.
-
4.5 juu ya 0.5, ni sawa na n,
-
kwa sababu una 0.5 gawanya kwa 0.5,
-
Umebakiwa na n hapa.
-
Hivyo hiyo ni sawa na ngapi?
-
4.5 gawanya kwa 0.5,
-
kuna njia nyingi unaweza kuitazama hii.
-
Unaweza kuitazama hii kama makumi arubaini-tano
-
gawanya kwa makumi tano, ambayo
-
hii itakuwa sawa na 9.
-
Au kama hiyo inachanganya kidogo
-
au una wasiwasi kidogo, unaweza kufanya tulichofanya juu hapa.
-
Unaweza kuzidisha kiasi na asili
-
na namba sawa, ili kuondoa desimali.
-
Na kwa hili swali, kama utazidisha kwa 10
-
utaondoa desimali moja kulia.
-
Mara nyingine, tutazidisha
-
kiasi na asili kwa kitu sawa.
-
Tunazidisha kwa 10 juu ya 10, ambayo ni sawa na 1,
-
ambayo inatuambia hatubadili
-
thamani ya hii sehemu.
-
Hivyo ngoja tuone, hii itakuwa 45
-
juu ya 5, ni sawa na n.
-
Na unaweza kusema subiri subiri,
-
subiri kidogo, umetuambia tutakachofanya
-
upande mmoja wa mlinganyo, tunatakiwa kufanya upande mwingine
-
wa mlinganyo na hapa,
-
unazidisha upande wa kushoto wa huu mlinganyo
-
kwa 10 juu ya 10.
-
Kumbuka, ni ngapi 10 juu ya 10?
-
10 juu ya 10 ni 1.
-
Kama nataka kufanya, niweza kuzidisha upande wa kushoto
-
kwa 10 juu ya 10, na nitazidisha upande wa kushoto
-
kwa 10 juu ya 10, lakini hii haitobadili thamani ya
-
upande wa kulia.
-
Siwezi kubadili thamani ya pande mbili.
-
Najaribu kuandika upande wa kushoto
-
kwa kuzidisha kwa 1 kwa njia ya ubunifu.
-
Lakini kumbuka, n mara 10 juu ya 10, hii itaendelea
-
kuwa n.
-
Hivyo sikiuki hii kanuni
-
ya kila ninachofanya upande wa kushoto
-
nitakifanya upande wa kulia.
-
Unaweza kuzidisha upande mmoja kwa 1
-
na unaweza kufanya mara nyingi utakavyo.
-
Kwa njia hiyo hiyo unaweza kuongeza 0
-
au kutoa 0 upande mmoja,
-
pasipo kuonyesha
-
unafanya hivyo upande mwingine,
-
kwa sababu haibadilishi thamani.
-
Lakini kivyovyote, una n sawa na 45 juu ya 5,
-
ngapi ni 45 juu ya 5?
-
Hii itakuwa 9.
-
Hivyo tuna 9 sawa na , kwa nini nimegeuza kuwa kijani?
-
Tuna 9 ni sawa na n, au tunaweza kusema n ni sawa na 9.
-
Na unaweza kuhakikisha hilo:
-
4.5 ni sawa na 0.5 mara 9, nusu ya 9 ni 4.5
-
Ngoja tufanye zaidi.
-
Sawa sawa, ngoja nipate nafasi apa,
-
hivyo tunaweza kuweka swali tofauti na tulio nalo.
-
Hivyo tuchukulie nina mtajo tofauti.
-
Tuchukulie tuna g juu ya 4 ni sawa na 3.2.
-
Ninataka kuiondoa hii kwa kuzidisha kwa 4,
-
hivyo njia rahisi ninayofikiri ya kufanya hii
-
ni kuzidisha pande zote kwa 4.
-
Hivyo ninazidisha pande zote kwa 4,
-
na 4 gawanya kwa 4 ni 1,
-
kwa hiyo nina g sawa na, 3.2 mara 4 tunapata ngapi?
-
Hebu tuone 3 mara 4 ni 12, na sehemu za makumi mbili mara 4
-
ni sehemu za makumi nane, hivyo itakuwa 12 na sehemu za makumi nane.
-
G itakuwa 12.8, na unaweza kuhakikisha hii kama ni sahihi.
-
12.8 gawanya kwa 4 ni 3.2.