-
Habari za asubuhi, watoto. Leo tutajifunza
kuhusu afya na chakula cha binadamu
-
Sisi sote hula chakula kila siku, sivyo?
-
Lakini umewahi kuwazia, ni kwa nini
chakula kinahitajika na mwili wetu?
-
Chakua kinahitajika, kwa sababu kinatupa
thamani bora zifuatazo.
-
Kinatupa nguvu ya kufanya kazi na kucheza. Kinatupa
mifupa na meno iliyo na nguvu,
-
na, misuli yenye nguvu, kuona vyema,
hutulinda dhidi ya magonjwa.
-
Ndivyo hivyo, kinatusaidia kuwa na
afya na nguvu.
-
Safi! Chakula hutupa manufaa mengi zaidi.
-
Basi ni kwa nini ninamsumbua
mama yangu kuhusu chakula?
-
Sawa, tupange aina tofauti za chakula,
kulingana na chanzo chake.
-
Mboga, matunda, jamii ya kunde,
nafaka na kadhalika hutoka kwa mimea.
-
Na mayai, nyama, samaki, maziwa
na kadhalika hutoka kwa wanyama.