Wewe Ni wa YESU!
-
0:00 - 0:10Unaweza kuwa unakabiliwa na wakati wa giza, lakini wewe si wa giza.
-
0:10 - 0:17Unaweza kuwa na maumivu wakati huu, lakini wewe si fungu la maumivu.
-
0:17 - 0:23Kunaweza kuwa na hali, shida inayokuzunguka,
-
0:23 - 0:31ambayo inaonekana kuwa haiwezi kushindwa, lakini wana wa Mungu, ninyi si fungu la shida hiyo.
-
0:31 - 0:35Wewe ni wa Mungu Aliye Juu Sana, Aliyekusanifu na kukuumba.
-
0:35 - 0:40Yule anayekujua zaidi ya unavyojijua.
-
0:40 - 0:40Yule anayekujua zaidi ya unavyojijua.
-
0:40 - 0:51Usisikilize uwongo kwamba mtu yeyote au kitu chochote kinamiliki maisha yako,
-
0:51 - 0:54au ana ufunguo wa moyo wako.
-
0:54 - 0:56Wewe ni wa Yesu.
- Title:
- Wewe Ni wa YESU!
- Description:
-
"Unaweza kuwa unakabiliwa na wakati wa giza, lakini wewe si wa giza. Unaweza kuwa na uchungu wakati huu, lakini wewe si fungu la maumivu. Kunaweza kuwa na hali, shida inayokuzunguka, ambayo inaonekana kuwa haiwezi kushindwa, lakini watoto wa Mungu, wewe si fungu la shida hiyo. Wewe ni wa Mungu Aliye Juu, Aliyekusanifu na kukuumba. Yule anayekujua zaidi ya unavyojijua. Usisikilize uwongo kwamba mtu mwingine au kitu kingine chochote kinamiliki maisha yako, au kina ufunguo wa moyo wako. Wewe ni wa Yesu.”
Unaweza kutazama muda wote wa maombi baada ya ujumbe huu kutoka kwa Ndugu Chris hapa - https://www.youtube.com/watch?v=LbHZ7X8SkS0
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:57
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for You Belong To JESUS! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for You Belong To JESUS! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for You Belong To JESUS! |