-
-
Silvia amepanda nyanya na anafatilia urefu
-
Hizi ni takwimu zake.
-
Aina hii ya nyanya beefsteak ina urefu wa futi 3 na 1/4,
-
Roma ina futi 2 na 7/8, cherry futi 3 na 1/2.
-
Na wametuuliza
-
tofauti ya urefu wa beefsteak,
-
ni huu hapa,
-
na urefu wa Roma?
-
Wanataka tutafute umbali kati ya huu
-
hizi.
-
Huu urefu wa nyanya ya Cherry hauna umuhimu
-
kwenye hili swali.
-
Hivyo tunatafuta tofauti
-
kati ya hivi vimo.
-
Hivyo tunatoa ndogo
-
kwenye kubwa.
-
Hivyo tunataka kujua 3 na 1/4
-
toa 2 na 7/8 ni.
-
-
Jambo la kwanza kufanya ni kubadili hizi
-
kuwa namba mchanganyiko.
-
Samahani, tayari ni namba mchanganyiko--
-
kuzibadili kuzifanya kiasi kiwe kikubwa kuliko asili.
-
Hivyo 3 na 1/4 ni sawa na 3
-
jumlisha 1/4, ambayo ni sawa na 12/4 jumlisha 1/4.
-
Hiyo ni sawa na 3 na 1/4.
-
Na kwa hiyo, tunatoa 2 na 7/8.
-
2 na 7/8 ni sawa na 2 jumlisha 7/8.
-
2 ni sawa na 16/8 jumlisha 7/8.
-
Hiki ndicho tunachojaribu kutafuta.
-
12/4 jumlisha 1/4 ni sawa na?
-
Ni 13/4, 13 juu ya 4.
-
Na kisha 16/8 jumlisha 7/8 ni?
-
Inakuwa 23/8.
-
Hii itakuwa kutoa 23 juu ya nane.
-
Sasa tunatoa sehemu moja kwa nyingine.
-
Ila tuna asili tofauti.
-
Hatuwezi kuelewa mpaka
-
tuwe na asili sawa.
-
Kipi ni Kigawe cha asili
-
4 na 8?
-
Ni namba ndogo ipi ambayo inagawanyika kwa 4 na 8?
-
8 inagawanyika kwa 8.
-
Na pia 8 inagawanyika kwa 4.
-
Hivyo kama tukiandika 13/4 kwa kuwa na 4 kama asili,
-
Basi tumesha pangilia.
-
tujaribu kufanya.
-
Tunaandika zote 8
-
ikiwa ni asili.
-
Hii tayari inayo.
-
Hivyo 13/4, ninaiandika 8 ikiwa kama asili.
-
Kutoka kwenye 4 mpaka 8, inatakiwa tuzidishe asili
-
kwa mbili.
-
Ili tusibadili thamani ya sehemu,
-
inatakiwa tuzidishe kiasi
-
kwa thamani sawa.
-
Tunazidisha kwa 2.
-
hivyo itakuwa 26/8.
-
tunatoa 23/8 kwenye 26/8.
-
Hii inakuwa juu ya 8-- 26 toa 23, ambayo
-
ni sawa na, 26 toa 23 ni 3.
-
Hivyo ni 3/8.
-
Hivyo tofauti ya kimo kati ya nyanya beefsteak
-
na Roma ni -- 3/8.
-
vyote tulivyofanya
-
ina futi 3/8.