-
Najua Naipenda, Napenda, natamani tungerudi kwa, wakati huo wakati hakuna
-
kitu kilipangwa kwa sababu nafikiri vitu, ungewacha vitu vijitokeze.
-
Hatuwachi vitu vijitokeze tena, ni ratiba tu na, nafikiri kujitokeza huko, unajua
-
kuchoshwa ni ajabu kwa ubunifu.
-
Nafikiri kuwa watu wazima, walio na wakati mdogo, huwa tunaratibu kila kitu, na
-
kwa hivyo kuna kidogo cha, uh, mshangao ambacho kinakosekana.
-
Natamani tungekuwa tu pamoja na, na kutokuwa na mpango. Hakuna kitu kama hicho.
-
Nafikiri huo ndiyo wakati wa kukumbukwa.