-
Baadhi ya nguo zetu nyingi hazita tumika tena.
-
99% zitaishia hapa, kutupwa na kuchomwa kwenye jaa.
-
Dunia yetu sasa hivi haiwezi kufyonza kiasi kikubwa cha nguo
-
zinazo tengenezwa kila mwaka
-
je, ingekuaje kama hizo nguo zilizoharibika
-
zingetengezwa na kubadilishwa kuwa vitu vingine
-
Nimekuja katika mji wa Italy unao itwa Prato
-
Mji huu umetaalimu mtindo wa kugeuza mabaki ya zamani kuwa nguo mpya
-
Hutupa ufahari
-
Kinacho tendeka hapa ni cha kipekee
-
Kuna kampuni zaidi ya mia katika mji huu mdogo
-
Na kila moja ina utaalamu wake katika sehemu moja ya utengenezaji
-
Iwe ni uzungushaji, ushoneshaji au kubuni.
-
Na leo, ajabu
-
Mji huu wasemekana kutengeza 15% ya vifaa vinavyo tumika tena duniani
-
hii ni shati yako
-
kama imezeeka sana kutumika katika duka la msaada, hutumwa kurekebishwa
-
Hapa, hutenganishwa na rangi alafu kuraruliwa , kuoshwa
-
alafu kifaa hicho kipya cha kutumika tena huchukuliwa na kubadilishwa
-
kutengeza nguo mpya na mabaki kidogo
-
Tumeharakisha sana
-
Turudie mchakato huo tena
-
unatoa nguo msaada
-
zinafika hapa kutoka nchi nyingi tofauti
-
Nguo zote zinazo weza kuuzwa mtumba
-
zinapelekwa katika kampuni hii iliokuwa karibu
-
Hapa, hazitenganishwi na rangi tu
-
pia nyenzo
-
Nadhani hizi zilikua suruali
-
Nguo kama ngapi hapa mwazitengeza upya?
-
Takriban tani 25 kila siku.
-
Hizo nguo zaekwa hapa
-
Inaitwa Carbonizing Machine
-
Hutoa uchafu wote kutoka kwa pamba
-
alafu hupitia hapa
-
Ni kama mashini kubwa ya kuosha
-
Hukatwa katwa, kusafishwa na kukaushwa
-
Hii ndio bidhaa ya mwisho.
-
Nguo zako nzee zimebadilishwa kuwa pamba nyembamba nzuri.
-
Katika mchakato wa mwisho
-
Hivi ndivyo bidhaa vya mwisho hua
-
Hubadilishwa hapa mpaka chapa ya mitindo kuvinunua
-
na kuvitumia kutengeza nguo
-
Watu wengine husema kuwa mnatumia taka taka kutengeza nguo
-
Hivi ndivo kulikua miaka ya zamani kidogo.
-
Neno "taka taka" lilikua tusi.
-
ila siku hizi, chapa ya mitindo mingi... hununua vifaa vyangu kwa sababu yake
-
Kwa sababu wanajua kurejelea matumizi ya rasilimali itaokoa sayari.
-
Matumizi ya pamba tena ni jambo zuri katika mazingira
-
uzalishaji wa c02 ni zaidi ya nusu
-
ukilinganishwa na utoleshaji wa nguo kutumia nyenzo mpya
-
Tuna athari ya haraka kwa ustawi ya wanyama
-
kwa sababu unapunguza mkazo
kwamba unapaswa kuekea wanyama
-
ili kupata pamba
-
ukaribu sawa na kuondoa rangi kabisa
-
Kwa sababu ya vile pamba hutengenezwa tena kutenganisha kwa rangi
-
Njia hii imepitishwa kutoka kwa baba mpaka kwa mwanawe
-
Mila za Prato
-
Ni mila ambazo zinahatijika katika tasnia nzima ya mitind
-
kwa sababu yategemea na ushirikani wa undani
-
lakini wana uwezo wa kuenyesha vipi
-
hivi vitu vya chukuliwa katika kiwango cha taifa au kimataifa
-
Sekta nzima inaeza kufaidika
-
Watu wa mji huu walilazimika ku tengeneza nguo zao upya
-
kwa sababu hawange weza kumudu nguo mpya
-
sasa mitindo yao, iliotumika zaidi ya miaka mia,
-
inaweza kutoa njia mbele
kwa ulimwengu wa mitindo endelevu zaidi.
-
Subtitles by Hafidha Ahmed