IMANI juu ya HOFU!
-
0:00 - 0:06Kuwa Mkristo hakuondoi tu hofu zote.
-
0:06 - 0:11Uwepo wa imani haimaanishi kutokuwepo kwa hofu.
-
0:11 - 0:17Lakini ingawa hofu yako inaonyesha kwamba kuna sababu za kuwa na wasiwasi,
-
0:17 - 0:24imani yako inashuhudia kwamba kuna sababu kubwa zaidi za kutokuwa.
- Title:
- IMANI juu ya HOFU!
- Description:
-
- Video Language:
- English
- Team:
God's Heart TV
- Duration:
- 0:24
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for FAITH over FEAR! | |
![]() |
georgejbudeba edited Swahili subtitles for FAITH over FEAR! |