-
Kuna vitu chungu nzima vizuri vya kusema kuhusu Firefox Marketplace.
-
kwanza kabisa ni mahali pa kwenda pa kupata Programu bora kabisa za Firefox OS.
-
Wateja wako watapata Programu za kimataifa mashuhuri
-
na pia zilizotengenezwa na waundaji wa eneo lao.
-
Tukizungumzia programu za jamii, Firefox Market place,
-
imeundwa sanasana na watu wa eneo lako.
-
Hii inamaanisha kuwa kama mtumiaji wa Firefox OS, wateja wako watapata manufaa ya
-
kuwa na programu husika zilizochaguliwa za eneo lao.
-
Wanaweza vinjari mkusanyiko wa programu au vikundi vya programu
-
michezo hadi huduma tofauti, muziki, usafiri, michezo na mengine mengi.
-
ili kupakua programu hii,
-
wanachohitaji kufanya ni kubonyeza kidude , alafu waguze kitufe cha buluu
-
kisha itaanza kupakua kwa simu zao.