-
Ninafanya video kuhusu ukoministi
-
maana nilisema kuhusu ukomunisti chungu chungu
-
Videoni za historia sipa
-
ufafanuzi mzuri ni
-
ufahamu za maana.mzuri.
-
Kufahamu ukomunisti...
-
Ninasawiri mpango
-
Ninaanza kwa ukapitalisti
-
Hii ni mapitio
-
Mtu aweza kufanya PhD insha kuhusu jambo hii
-
Ukapitalisti na halafu nitasema zaidi kidogo
-
Na halafu tunaweza kufuata kwa ujamaa
-
Na halafu tunaweza kukwenda kwa ukomunisti
-
aina msasa ya ukomunisti ni
-
mwana ya akili za Karl Marx na Vladimir Lenin
-
Karl Marx alikuwa mwanafalsafa mjerumani
-
kwa karne 18 ambayo
-
(katika Ilani ya Ukomunisti na insha zyingine) aliumba
-
msingi mfalsafa ya ukomunisti
-
Na Vladimir Lenin, ambayo aliongoza thaura ya Bolshevik katika Urisi
-
na aliumba Umoja wa Kisovyeti
-
Yeye ni mtu kwanza ambayo
-
alifanya mawazo ya Karl Marx mathabiti
-
na kila dola ambayo tuona ukomunisti
-
alifuata kiolezo cha Vladimir Lenin
-
Tutazungumza kuhusu hii hivi karibuni
-
Kwanza, tunazungumza kuhusu tofauti ya ufalsafa katika jambo hii
-
na jinsi utaenda
-
Karl Marx aliona ukomunisti kama maendeleo
-
kutoka ukapitalisti mpaka ukoministi kupitia usocialisti
-
Basi jambo aliona katika ukapitalisti
-
na angalau sehemu huyo alikuwa msawa
-
Unakuwa na mali binafsi
-
Hii ni kipengele kikuu cha ukapitalisti
-
Hii ni dunia tunaoishi leo.
-
Tatizo alioona katika ukapitalisti ni,
-
alifikiri,
-
unapokuwa na mali binafsi
-
unaanza kusanya rasilmali
-
na tupozungumza kuhusu rasilmali, tunaweza kusema kuhusu ardhi,
-
tuweza kusema kuhusu viwanda,
-
tuweza kusema kuhusu maliasili yote
-
Na watu anayeanza kupata kipande kidogo cha hii
-
Anachora ramani hapa
-
Mtu moja anakuwa na rasilmali dogo
-
Na rasimali aweza kuwa kiwanda na ardhi.
-
Ninaandika rasimali. Na tuseme hii ni ardhi
-
Na mtu aanza kumiliki ardhi dogo
-
Na amiliki kushinda kila mtu mwingine
-
Na tukuwa na kikosi cha watu wingine
-
hawakuwa na ardhi lakini wahitaji hii.
-
Kwa sababu mtu huyu amiliki arthi yote
-
wao wafika kufanya kazi katika ardhi ya jamaa huyu
-
Wao walazimu kufanya kazi katika ardhi ya mtu huyu
-
Na Karl Marx alisema: Ona,
-
ikiwa vibarua chote hawanaokuwa na wasimali kubwa sana,
-
mvulana huyu anakuwa na rasimali,
-
Na basi aweza kulazimisha vibarua kufanya kazi
-
na alipa mshahara mdogo sana. Na basi dahili ya ziada
-
lilokuja kutoka agano hili
-
mwenyewe ya rasimali hii ataweza kulipata.
-
Kwa sababu ujira wa vibarua hivi hataweza kuongezwa
-
Kwa sababu vinakuwa na mashindano kubwa kupata kazi
-
shambani cha jamaa hiyo
-
haliwaza chakari kuhusu hii
-
Labda mashindano yaliweza kuja njia nyingine,
-
Labda uweza kuona ulimwengu ambapo
-
Labda unaweza kuona ulimwengu ambapo
-
ilikuwa na kikosi cha watu wanaokuwa na rasimali kubwa
-
na ilikuwa na kikosi cha vibarua
-
na kikosi cha watu watashinda kwa vibarua
-
Labda vibarua hivyo vitaweza kupata ujira ukaongezwa
-
na wataweza kusanya rasimali ya binafsi
-
na wataweza kuanza biashara ya binafsi
-
Mtu huyu hanawaza kuhusu ulimwengu uyamkini hiyo chakari
-
(Karl Marx) Aliuona na
-
kwa udhuru yake... Na sinataka kuzoea kuhami
-
kuudhuru yeye sana mno. Kwa udhuru yake
-
Hii ni jambo lililijiri kwa aheri ya dahari ya kumi na nane
-
Hasa, tunakuwa na mapinduzi ya viwandani
-
Marekani hasa ilikuwa na jinsi ya jambo hilo
-
Mark Twain aliliita "Karne mwenye dhahabu ya mchovyo"
-
watajiri ambao walisanya rasilmali kubwa
-
Walikuwa na mifedha kwelikweli
-
kupita vibarua. Na Karl Marx alisema
-
"Ona, mtu huyu akikuwa na rasimali lote na nguvu yote
-
na maongozi hayo akifanya dahili lo lote,
-
yeye ataweza kuhifadhi dahili hilo
-
kwa sababu ataweza kudumisha ujira ndogo wa vibarua
-
Na mtu huyu anaokuwa na rasimali
-
atakuwa na rasimali linazidishwa mwishoni
-
atakuwa na utajiri unazidishwa
-
na atakuwa na nguvu unazidishwa
-
Na ataweza kulipa
-
ujira wa watu hao цa chini zaidi
-
basi hataweza kuhodhi rasimali.
-
Basi kwa dhana la Karl Marx maendeleo ya kimaumbile
-
yangekuwa kuanza kujijenga
-
Labda watu hao wangekuwa kujenga mashirikisho
-
na mashirikisho hayo yataweza kusema mtu anaokuwa na ardhi au kiwanda
-
"hapana, hatutafanya kazi" au
-
"tutakuja kwa mgomo usipoongeza mashashara yetu"
-
"usiponafisisha kazi yote""
-
Basi uposema kuhusu mashirikisho
-
unaanza kuja kwa usocialisti
-
elementi nyingine la mwendo kwa usocialisti
-
ni kwamba Karl Marx halipenda ukusanyaji kubwa huo.
-
Kwa kawaida wasocialisti, labda ninasema, hawakupenda
-
ukusanyaji wa rasimali, pana dunia ambalo
-
pana na watu hao ambao waliweza kusanya
-
rasimali hilo yote na labda kwa kadiri tu
-
waliweza kulisanya kwa sababu walikuwa wawendelezi
-
au walikuwa mameneja ya mali mezuri au chochote
-
Wamaksi hawaheshimu
-
wenyewe wa rasimali.
-
Labda wanakuwa na ustadi wa kufanya
-
tadbiri kidogo.
-
Bali tatizo nyingine ni kuwa hilo anarithiwa
-
kwa wazao wao.
-
Basi miliki binafsi
-
aja kutoka baba kwa mtoto wa
kiume labda,
-
kutoka baba kwa mwana, basi jambo halitegemea
-
utambulizi aina lo lote
-
Litegemea mirathi ya rasimali
-
hapo ni tatizo ambalo
-
alisibu katika Ulaya, wakati unarejea Mapinduzi ya Ufaransa
-
unaona kizazi kwa kizazi cha masharifu
-
Haidhuru, kadiri gani kila kizazi ni kijinga
-
Walikuwa na utajiri mkubwa
-
walitawala kila kitu
-
na tuliona kundi la watu ambao hawalikuwa na utajiri
-
yawapasa wafanye kazi
-
na unapoona aina la ubanguzi wa utajiri
-
unaongoza kwa mapinduzi aina lo lote.
-
Kanuni nyingine ya mwendo kwa mapinduzi ya usocialisti
-
ni utaifishaji wa rasimali.
-
Basi anauandika hapa. Utaifishaji.
-
Utaifishaji.
-
Basi katika usocialisti uweza kumiliki mali уа mwenyewe
-
bali serikali iwa na jukumu zaidi kuliko mtu.
-
Ninaandika: serikali kubwa.
-
Na hadhi moja ya serikali ni
-
utafishaji wa utajiri na serikali
-
ianza kudhibiti vitendakazi cha uzalishaji
-
Na labda manufaa, labda makarakhana makubwa
-
ambayo kufanya mambo makubwa kwa ghafula yanaanza
-
kuhusu serikali au, kama wakomunisti wasema,
-
kuhusu watu na utaifishaji unatokea,
-
basi hukuwa na rasimali kubwa
-
linaohusu watu wachache,
-
Ikiwa uhesabu mawazo haya
-
utapata nchi nkomunisti.
-
Na nchi nkomunisti ya kimawazo ni ushirikiano haokuwa na matabaka
-
na Karl Marx alidhani kwamba,