< Return to Video

KILIO Kwa Ajili ya Kizazi Changu! | Shairi la Kikristo | Ndugu Chris

  • 0:00 - 0:09
    Nalilia kizazi changu. Kimefungwa katika minyororo wanayoiita uhuru.
  • 0:09 - 0:14
    Kimefungwa kwenye kigingi wanachokiita akili.
  • 0:14 - 0:20
    Kimefungwa na uchu wa mali; wamepotea katika tamaa.
  • 0:20 - 0:24
    Hasara katika kutafuta utimilifu.
  • 0:24 - 0:27
    Kitupu katika kutafuta ukamilifu.
  • 0:27 - 0:31
    Nalilia kizazi changu.
  • 0:31 - 0:37
    Ahadi kubwa sana; hatima ilivyo ya kimungu.
  • 0:37 - 0:41
    Kimetolewa dhabihu kwenye madhabahu ya kufaana.
  • 0:41 - 0:46
    Haki za kuzaliwa ziliuzwa kwa sahani ya chakula.
  • 0:46 - 0:50
    Baraka zinazofifia kwa nafsi zilizodhoofika.
  • 0:50 - 0:53
    Kinapanda juu kwa kitambo kidogo kwa viwango vya chini vya maadili.
  • 0:53 - 0:59
    Kuishiwa na ndoto na kupungua kwa nguvu.
  • 0:59 - 1:02
    Nalilia kizazi changu.
  • 1:02 - 1:09
    Kuingizwa katika hisia ya potofu ya usalama kwa udanganyifu wa ovyo wa furaha kamili.
  • 1:09 - 1:16
    Kuruka pembezoni mwa namna ya walivyokusudiwa kuwa.
  • 1:16 - 1:21
    Kutafuta kile ambacho hata hakijapotea.
  • 1:21 - 1:28
    Kutafuta kilicho ndani.
  • 1:28 - 1:31
    Naombea kizazi changu.
  • 1:31 - 1:38
    Kwa maana hakuna kitu katika ulimwengu huu kinachoweza kutosheleza.
  • 1:38 - 1:43
    Ni Yesu pekee anayeshikilia jibu la kilio hiki.
  • 1:43 - 1:49
    Yesu pekee ndiye mwenye jibu la kilio hiki.
Title:
KILIO Kwa Ajili ya Kizazi Changu! | Shairi la Kikristo | Ndugu Chris
Description:

"Nalilia kizazi changu. Kimefungwa katika minyororo wanayoita uhuru. Kimefungwa kwenye kigingi wanachoita akili. Kimefungwa na kupenda mali; kilimepotea katika tamaa. Tupu katika kutafuta utimilifu. Hasara katika kutafuta utimilifu. Ninalilia kizazi changu. Ahadi kubwa sana; majaliwa ya kimungu. Kimetolewa dhabihu kwenye madhabahu ya kufaana. Haki za kuzaliwa ziliuzwa kwa sahani ya chakula.Baraka zinazofifia kwa nafsi zilizodhoofika. Kinapanda juu kwa kitambo kidogo kwa viwango vya chini vya maadili. Kuishiwa na ndoto na kupungua kwa nguvu. Nalilia kizazi changu. Kuingizwa katika hisia ya potofu ya usalama kwa udanganyifu wa ovyo wa furaha kamili. Kuruka pembezoni mwa namna ya walivyokusudiwa kuwa. Kutafuta kile ambacho hata hakijapotea. Kutafuta kile ambacho hata hakijapotea. Kutafuta kile ambacho hata hakijapotea. Kwa maana hakuna kitu katika ulimwengu huu kinachoweza kutosheleza. Ni Yesu pekee anayeshikilia jibu la kilio hiki. Yesu pekee ndiye mwenye jibu la kilio hiki."

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
01:49

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions