Ubabe wa ustahi
-
0:01 - 0:04Kuna swali tunafaa
kujiuliza: -
0:04 - 0:05Kipi hakikwenda sawa?
-
0:05 - 0:07Si tu kuhusiana na janga
-
0:07 - 0:09lakini na uraia wetu.
-
0:10 - 0:14Nini kilichotuletea huu mgawano
na chuki kisiasa ? -
0:15 - 0:17Kwa miongo ya karibu,
-
0:17 - 0:21utengano baina ya washindi na
walioshindwa umezidi, -
0:21 - 0:23na kutia sumu siasa yetu,
-
0:23 - 0:25kututenganisha.
-
0:25 - 0:29Mgawanyiko huu unahusu udhalimu kwa kiasi fulani.
-
0:30 - 0:34Lakini pia mtazamo
kuhusu kushinda na kushindwa -
0:34 - 0:36ambayo huja nayo.
-
0:36 - 0:38Walio kileleni
-
0:38 - 0:42wanaamini ufanisi wao
ni juhudi yao, -
0:42 - 0:44kipimo cha ustahili wao,
-
0:45 - 0:49na walioanguka
hawana wa kulaumu bali nafsi zao. -
0:50 - 0:53Mtazamo huu wa mafanikio
-
0:53 - 0:56unatokana na
kanuni inayovutia, -
0:57 - 0:59kwamba kila mtu ana nafasi sawa,
-
0:59 - 1:02na washindi wanstahili ushindi wao.
-
1:03 - 1:07Huu ndio kiini cha
wazo la ustahi. -
1:08 - 1:11Kwa vitendo,bila shaka, tuna upungufu.
-
1:13 - 1:16Si kila mtu ana nafasi sawa kuinuka.
-
1:17 - 1:22Watoto wazaliwao kwa jamii maskini
hukua kwa umaskini, -
1:23 - 1:28Wazazi tajiri wana uwezo
kupitisha manufaa kwa wototo wao. -
1:28 - 1:32Kwa mfano, katika vyuo bora zaidi,
-
1:32 - 1:35idadi wengi wametoka
familia tajiri sana -
1:35 - 1:40kushinda nusu ya chini ya nchi
ukijumuishwa. -
1:42 - 1:46Shida sio tu
kushindwa kufikia -
1:46 - 1:49mawazo ya ustahi
tunavyopiga mbiu. -
1:50 - 1:52Wazo lenyewe lina kasoro.
-
1:53 - 1:54Ina dosari.
-
1:55 - 1:59Ustahi una madhara
kwa manufaa kwa watu wote. -
2:00 - 2:02unaleta kiburi kwa washindi
-
2:04 - 2:07na kufedhehesha waliopeteza.
-
2:08 - 2:14huchochea washindi
kujiona bora zaidi -
2:14 - 2:19na kusahau nasibu na uenyemali
iliyowasaidia kupata mafanikio. -
2:19 - 2:23Na kupelekea kuonea
wasiobahatika, -
2:23 - 2:26na wasio na wasifi kama wao.
-
2:27 - 2:30Huu hujalisha kisiasa.
-
2:30 - 2:35Mojawapo ya chanzo kuu
cha upinzani maarufu -
2:35 - 2:41miongoni mwa wafanyikazi
ni dhana ya wasomi kuwadharau. -
2:42 - 2:44Ni lawama halali.
-
2:45 - 2:50Ingawaje utandawazi
umezidi kukosesha usawa -
2:50 - 2:51na mshahara usioongezeka,
-
2:53 - 2:57watetezi wake walishauri
wafanyikazi. -
2:58 - 3:02"Kama unataka kushindana na kushinada
karika uchumi wa kimataifa, -
3:02 - 3:03enda chuo"
-
3:04 - 3:07"Mapato yako yanalingana na masomo yako"
-
3:07 - 3:09"Utafaulu ukijaribu"
-
3:10 - 3:16Hawa wasomi hawazingatii tusi
fiche kwenye huu ushauri. -
3:17 - 3:19Usipoenda chuo,
-
3:19 - 3:23usiponawiri kwenye huu uchumi mpya,
-
3:23 - 3:25basi shida ni lako.
-
3:26 - 3:27Huo ndio sababu.
-
3:28 - 3:34Si ajabu wafanyikzi wengi
waligeukia ustahi wa wasomi. -
3:35 - 3:36Tunafaa tufanye nini ?
-
3:37 - 3:41Tunafaa kuwazia kipengee tatu
cha uraia wetu. -
3:41 - 3:43Nafasi ya chuo,
-
3:43 - 3:44usharifu wa kazi
-
3:44 - 3:46na maana ya ufanisi.
-
3:47 - 3:51Tunafaa kuwazia tena
nafasi ya vyuo -
3:51 - 3:54kama suluhishi la fursa.
-
3:56 - 4:00Kwa watu kama sisi
tunaotangamana na wasomi, -
4:00 - 4:04ni rahisi kusahau hakika sahili:
-
4:05 - 4:09Watu wengi hawana sahada
la miaka minee chuoni. -
4:09 - 4:13Kwa hakika, thuluthi mbili
Wamerikani hawana. -
4:14 - 4:18Kwa hivyo ni upumbavu kujenga uchumi
-
4:18 - 4:23inayoshurutisha shahada ya chuo
-
4:23 - 4:27ili kuwepo na maisha sharifu.
-
4:27 - 4:31Kuhimiza watu kwenda chuo
ni wazo mzuri. -
4:31 - 4:34Upanuzi wa ufikavu
kwa wasiojiweza -
4:34 - 4:35ni bora zaidi
-
4:36 - 4:38Lakini huu si suluhu la kutokuwa na usawe.
-
4:39 - 4:44Haina faida kuandaa watu
kupambania ustahi -
4:44 - 4:48ni kuboresha maisha
tunafaa kuzingatia -
4:48 - 4:51kwa watu hawana diploma
-
4:51 - 4:55lakini wenye mchango muhimu
katika jamii. -
4:56 - 4:58Tunafaa kufufua usharifu wa kazi.
-
4:58 - 5:01na kuiweka kati kwenye siasa zetu
-
5:01 - 5:06Tunafaa kukumbuaka kazi
sio tu kupata riziki, -
5:06 - 5:10ila pia ni kuchangia
uzuri wa pamoja -
5:10 - 5:13na kushindania utambuzi wakati huo
-
5:13 - 5:17Robert F. Kennedy alisema vyema
nusu karne iliyopita -
5:17 - 5:21Ushirika,jumuiya, uzalendo shirika
-
5:21 - 5:25Malengo haya hayaji
-
5:25 - 5:28kwa ununuzi na ulaji
wa bidhaa pamoja. -
5:29 - 5:31Zinatokana na ajira adhama,
-
5:31 - 5:33kwa mshahara lifaalo.
-
5:33 - 5:37Ni aina ya ajira
inatuwezesha kusema, -
5:37 - 5:39"Nilichangia ujuenzi wa huu nchi.
-
5:40 - 5:44Mimi ni mshiriki
wa ubia umma zake kubwa" -
5:45 - 5:48Huu hisia wa uraia
-
5:48 - 5:52Haipo pakubwa
katika maisha ya umma siku hizi -
5:53 - 5:57Mara mingi tunadhania kipato cha watu
-
5:57 - 6:00ni kipimo cha mchango wao
kwa mazuri kwa wote -
6:01 - 6:03Huu ni kosa.
-
6:03 - 6:06Martin Luther King Jr alielezea mbona.
-
6:07 - 6:11Kwa kutafakari mgomo
wa wasafishaji mazingira -
6:11 - 6:13uko Memphis, Tennessee,
-
6:13 - 6:15muda mfupi kabla hajawawa,
-
6:16 - 6:18King alisema,
-
6:18 - 6:23"Mtu anyezoa takataka,
kwa uchambuzi wa kina, -
6:23 - 6:25ana umuhimu sawa na daktari,
-
6:27 - 6:29asipofanya kazi yake,
-
6:29 - 6:31magonjwa yanakithiri.
-
6:32 - 6:35Kazi zote zina usharifu"
-
6:36 - 6:38Janga tunao leo unadhihirisha huu.
-
6:39 - 6:42Unaonyesha tunavyotegemea sana
-
6:42 - 6:45wafanykazi kunapuuza wakati mwingi.
-
6:46 - 6:47Wafanyikazi wa upelekaji,
-
6:47 - 6:49wafanyikazi wa matengenezo,
-
6:49 - 6:51karani wa duka,
-
6:51 - 6:53wafanyikazi wa bohari,
-
6:53 - 6:54madereva wa lori,
-
6:54 - 6:56wauguzi wasaidizi,
-
6:56 - 6:57watunza watoto,
-
6:57 - 6:59wahuduma wa afya nyumbani.
-
7:00 - 7:04Wafanyikazi hawa kipato
ni duni na wanapuuziliwa. -
7:05 - 7:09Lakini sasa, tunawaona muhimu.
-
7:10 - 7:14Huu ni fursa wa mjadala wa umma
-
7:14 - 7:18kuhusu kuinua mapato yao na
kuwatambua -
7:18 - 7:22kulingana na umuhimu wa
kazi wanayofanya. -
7:22 - 7:29Ni wakati wa kubadili
maadili, hata roho, -
7:29 - 7:32kuulizia kiburi cha ustahi.
-
7:34 - 7:38Kimaadili,nastahiki talanta
zinazoniwezesha kunawiri ? -
7:39 - 7:40Ni uwezo wangu
-
7:40 - 7:44kua naishi katika jamii
inayothamini talanta -
7:44 - 7:46ninazo ?
-
7:46 - 7:48Ama ni bahati ?
-
7:49 - 7:53Kusisitiza ufanisi ni haki yangu
-
7:53 - 7:57huleta ugumu kujiweka
kwa niaba ya watu wengine. -
7:58 - 8:01Kuthamini nafasi ya baraka maishani
-
8:01 - 8:03yanaweza leta unyenyekevu flani.
-
8:04 - 8:08Kama si kwa ajali ya uzazi,
ama neema ya mungu -
8:08 - 8:10ama fimbo la hatima,
-
8:10 - 8:11ningekua nani.
-
8:12 - 8:15Huu moyo wa unyenyekevu
-
8:15 - 8:17ndio fadhila ya uraia tunahitaji sasa.
-
8:18 - 8:21Ndio mwanzo wa kurudi
-
8:21 - 8:25toka maadili makali ya ufanisi
unaotutenganisha. -
8:25 - 8:30Inatuelekeza kupita ubabe wa ustahi
-
8:30 - 8:34hadi maisha ya ukarimu zaidi ya umma
- Title:
- Ubabe wa ustahi
- Speaker:
- Michael Sandel
- Description:
-
Ni nini kisababishacho utengano katika maisha ya umma, na vipi tunaweza anza rekebisha ? Mwanafalsafa wa kisiasa Michael Sandel anajibu la kushangaza: waliofanikiwa wanafaa kujitazama. Anaelezea jinsi "kiburi cha ustahi" hupelekea watu wengi kuamini mafanikio yao ni juhudi yao, na kudharau wasiofanikiwa, na kuleta chuki na kuzidisha mgawanyiko kati ya "waliofanikiwa" na "wasiofanikiwa" katika uchumi mpya. Sikiliza namna ambavyo tunafaa kuzingatia upya maana ya ufanisi na kutambua nafasi ya bahati ili kufikia maisha ya uraia karimu zaidi.
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 08:47
Nelson Simfukwe approved Swahili subtitles for The tyranny of merit | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for The tyranny of merit | ||
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for The tyranny of merit | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for The tyranny of merit | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for The tyranny of merit | ||
Hanningtone Omollo edited Swahili subtitles for The tyranny of merit | ||
Hanningtone Omollo edited Swahili subtitles for The tyranny of merit |