10 Jehoshaphat
-
0:16 - 0:19Watu wengi walikuja na
kumwambia Yehoshafati -
0:19 - 0:23ya kwamba jeshi kubwa lilijongea
kufanya vita na yeye. -
0:23 - 0:27Baada ya kushtushwa na habari hizi,
Yehoshafati alitangaza -
0:27 - 0:29mafungo kwa Yuda nzima.
-
0:29 - 0:32Watu walikuja kutoka miji yote ya Yuda
-
0:32 - 0:34kufunga na kuomba kwa pamoja.
-
0:34 - 0:38Tulikuwa sehemu ya kundi
kubwa, na Yehoshafati -
0:38 - 0:41alimuomba msaada kwa unyenyekevu Mungu.
-
0:41 - 0:44Kisha Mtu aitwaye Yahazieli
alisimama na kusema -
0:44 - 0:47kwamba Yehoshafati
atakiwihi kujihusisha— -
0:47 - 0:50ya kwamba ilikuwa sii vita yake,
bali ya vita ya Mungu. -
1:00 - 1:04Ilikuwa mapema asubuhi tulipoanza
safari kwenye jangwa la Tekoa. -
1:04 - 1:07Tulikuwa na wasiwasi
kukutana na jeshi hili kubwa, -
1:07 - 1:09lakini tuliambiwa tuwe na imani.
-
1:09 - 1:12Tulikuwa tumesali.
-
1:14 - 1:16Pindi kundi la upepelezi
lilipokuja juu ya mlima, -
1:16 - 1:19tuliona tu maiti kote kote.
-
1:21 - 1:23Adui zetu waligeukana.
-
1:23 - 1:28Sala za Yehoshafati zilishinda vita
bila haja ya kupigana.
- Title:
- 10 Jehoshaphat
- Description:
-
Many people came and told Jehoshaphat that a vast army was approaching to wage war against him. www.unitedprayerworks.com
- Video Language:
- English
- Team:
- Team Adventist
- Project:
- Artv
- Duration:
- 01:31
Cindy Hurlow approved Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat | ||
Cindy Hurlow accepted Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat | ||
Cindy Hurlow edited Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat | ||
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat | ||
Fran Ontanaya edited Swahili subtitles for 10 Jehoshaphat |