EAHA DM 1.1a Intro to Disaster Management Training - Captioned
-
0:05 - 0:10(Swahili/Kiswahili translation by Nixon Opiyo Omollo, translator)
Utangulizi wa mafunzo ya usimamizi wa maafa -
0:10 - 0:17Vyuo Vikuu katika Mkoa wa Afrika Mashariki wamekuja pamoja kutekeleza
-
0:17 - 0:24mpango unaoitwa Health Emergency Management Program (HEMP)
ambao utaongeza uwezo -
0:24 - 0:30wa serikali wa kupanga na kukabiliana na majanga makubwa
-
0:30 - 0:34yanayokumba afya ya umma
-
0:34 - 0:40Mkoa wa Mashariki ya Afrika hukabiliwa na majanga mengi tofauti ya asili na ya kiteknolojia.
-
0:40 - 0:41
-
0:41 - 0:47Hakuna taifa hata moja katika mkoa huo ambao haukabiliani na madhara haya makubwa
-
0:47 - 0:49ya haya majanga.
-
0:51 - 0:58Majanga haya yana umuhimu kwa afya ya umma
-
0:58 - 1:05kwa sababu huleta milipuko ya magonjwa ya kuambukiza, au moja kwa moja kama matokeo ya kuvunjika kwa miundombinu
-
1:05 - 1:08yanayohusiana na majanga haya.
-
1:08 - 1:15Madhumuni ya mpango huu, kwa hivyo, ni kuongeza uwezo wa wilaya tofauti kupanga
-
1:15 - 1:22jinsi ya kukabiliana na maafa, ili kupunguza kuumia kwa binadamu,
-
1:22 - 1:29magonjwa na vifo ambavyo mara nyingi hutokana na matukio kama hayo
-
1:29 - 1:34Nini lengo la mafunzo haya? Lengo la mafunzo haya ni kuimarisha uwezo
-
1:34 - 1:41wa afya ya umma kupanga dhidhi ya maafa na usimamizi katika ngazi ya wilaya.
-
1:41 - 1:48malengo mahususi ya mafunzo haya ni: Ili kujulisha watu kuhusu dharura za afya ya umma,
-
1:48 - 1:53kuendeleza mipango dhidhi ya dharura za kawaida na maafa kutokana na majanga.
-
1:53 - 1:59katika ngazi ya wilaya, na kuimarisha uwezo kwa maafisa wa wilaya ya kuwafunza walio ngazi za chini
-
1:59 - 2:04katika usimamizi wa majanga na jinsi ya kukabiliana nayo
-
2:04 - 2:06Nini ni pato letu muhimu?
-
2:06 - 2:12Kuanzisha mpango wa kukabiliana na majanga katika ngazi ya wilaya
-
2:12 - 2:14Tutatekelezaje mpango huu?
-
2:14 - 2:20Siku ya kwanza: Tutafika makubaliano kuhusu dhana ya majanga na namna majanga
-
2:20 - 2:22huathiri wilaya
-
2:22 - 2:28Siku ya pili: Tutajadiliana kuhusu athari baadhi ya kawaida katika mkoa wetu na wilaya
-
2:28 - 2:34Siku ya tatu: Tutaangalia sera na viwango vya baadhi vya usimamizi wa majanga
-
2:34 - 2:39Siku nne na tano: Tutafanya kazi katika makundi ili kutunga mpango wa kukabiliana na maafa katika wilaya.
-
2:39 - 2:46Siku ya sita: Uwasilishaji wa mipango ya kukabiliana na maafa katika wilaya
-
2:47 - 2:48Ahsanteni!
- Title:
- EAHA DM 1.1a Intro to Disaster Management Training - Captioned
- Description:
-
This is a remix of the 1.1a: Introduction to the Disaster Management Training by Roy William Mayega from Makerere University. This version includes English captions, transcribed by Trisha Paul from University of Michigan. The original video (without captions) can be found at http://www.youtube.com/watch?v=wT2cPup-VOc. This video is part of a learning module from the East Africa HEALTH Alliance called Public Health Emergency Planning and Management for Districts. The full module and the video transcript can be accessed at http://openmi.ch/disaster-mgmt. Copyright 2009-2019 Roy Mayega (Makerere University). The video, transcript, and module are all shared under a Creative Commons Attribution (CC BY) 3.0 License: http://creativecommons.org/licenses/by/3.0/
- Video Language:
- English
- Duration:
- 02:51
kludewig edited Swahili subtitles for EAHA DM 1.1a Intro to Disaster Management Training - Captioned |