Swahili subtitles

← Uamuzi baina ya ununuzi wa dawa ama kulipa bili haufai

Get Embed Code
32 Languages

Showing Revision 10 created 10/01/2020 by Nelson Simfukwe.

 1. Kila uchao hapa nchini,
 2. familia wanalazimika kufanya
  maamuzi magumu sana
 3. yanayohusu huduma yao ya afya
 4. Kama Kimberly, aliyesema,
 5. "Kuna wakati nafanya maamuzi
  kati ya chakula changu na vidonge"
 6. Haikuwa raha
  sababu kipato changu ni duni.
 7. Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?"
 8. Vitu tunachukulia kua ya kawaida"
 9. Na Debbie,aliyesema,
 10. "Unaweka dawa kwa mkono mmoja,
 11. na mahitaji ya maisha kwa mwingine.
 12. Sawa, ntafanya nini ?
 13. Nitanunua dawa
 14. ama kulipa bili zangu?
 15. Na siwezi ishi bila dawa zangu,
 16. na sitaishi bila kulipa bili zangu."
 17. Watu elfu kumi wanafariki
  kila mwezi hapa nchini,

 18. kwa sababu hawatumii
  dawa inavyostahili,
 19. Watu wengi hufa
  kwa kutomeza dawa
 20. kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango
  na ajali za barabara zikijumuishwa
 21. Lakini huwezi meza tembe
  kama hutamudu gharama yake.
 22. Leo hii,familia ya kawaida
  inatumia dola 3000 kila mwaka

 23. kwa matibabu.
 24. Takriban thuluthi moja ya wasio na bima
 25. walisema waliacha
  kutumia dawa walivyoagizwa
 26. kwa ajili ya gharama ya juu
 27. Hata wenye bima,
 28. na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka
 29. nusu yao walisema
  walirukisha kumeza dawa
 30. kama bima haitagharamia
 31. Kunao watu wazima milioni kuni
  kama Kimberly na Debbie
 32. amabao wanalazimika
  kufanya maamuzi magumu kilasiku,
 33. Sote tunafahamu madawa
  ya kuagizwa ni bei ghali mno.

 34. Na mfumo wetu wa huduma za afya,
 35. inayobagua wengine kutopata bima
  na wengineo kupata bima ya chini,
 36. haipi kipaombele
  watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa
 37. na matibabu sasa.
 38. Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa,

 39. lakini ni nambari lina suluhu,
 40. kwa sababu pia kuna dola bilioni 10
 41. ya madawa mazuri haijatumika
 42. yanayoharibika.
 43. Hii ni udhalimu kwa pande mbili:
 44. watu kutopata madawa
  wanayohitaji kua hai na kustawi,
 45. na ni dawa hivi
  vinatumwa kasha moto la madawa
 46. kuharibiwa.
 47. Huu uharibifu unapumbaza,
  lakini pia unatoa fursa.
 48. Nilianzisha SIRUM,

 49. Kiwanda cha teknolojia isio ya faida,
  na wanzilishi wenza Adam na George,
 50. kuibadili madawa yanayotupwa
  kua na manufaa
 51. kama vile madawa
  yaliyo kwa hili ghala
 52. Labda hatutaweza rekebisha
 53. yote yanayotufeli
  katika mfumu wetu ya huduma za afya
 54. lakini hili tunaweza tengeneza.
 55. Madawa hutoka viwandani
  na wauzi jumla wanao hifadhi salama

 56. na wakati wa kuraribika ikiwadia
  wanatofua
 57. Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya
 58. kama hospitali, famasia,na
  uguzia
 59. wanaobaki na ziada,
  zisizomezwa
 60. au wakati wagonjwa wanapofariki.
 61. Tweza nufuika na haya
  madawa ziada
 62. kusambazia watu milioni kumi
  wanaohitaji haya madawa.
 63. Na tunaweza fanya hivyo leo.
 64. SIRUM inapata madawa ziada

 65. kwa kuweka chombo cha matumizi tena
  kwa haya majumba
 66. yenye ziada
 67. Chombo
  linapojaa
 68. SIRUM inatuma gari
  kuchukua hayo madawa,
 69. tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji,
  dhihirisho, na risiti ya kodi.
 70. Wafadhili wa madawa wanataka kutoa
  kwa sababu ni nafuu na rahisi

 71. kuliko kutofoa madawa
  yenye kanuni mingi
 72. Na pia kunayo motisha kikodi
  kutoa
 73. Baadaye tunafikisha haya madawa
  kwa watu wazozihitaji.
 74. Pendekezo mpya inapokuja,
 75. jukwaa letu inaambatanisha matakwa
  ya mgonjwa na dawa ilioko
 76. Jukwaa letu basi inatoa
  orodha ya kuchukua dawa bohari
 77. madawa yanachukuliwa
  na mapendekezo kuandikwa
 78. Tunajega duka ya kisasa
  wenye uzoefu ya karne 21
 79. Wanayostahili familia wenye mapato madogo
 80. Wagonjwa wanaweza jiandikisha
  chini ya dakika tano
 81. na kufikia
  zaidi ya madawa 500,
 82. yenye orodha toka
  afkani
 83. mpaka kichaa
 84. Kiukweli imewakilisha asilimia 75
  ya madawa yanayoagizwa
 85. Amerika leo.
 86. Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari
  wauguzi na wasimamizi wa kesi

 87. katika hospitali
  na kliniki huru
 88. wanaopendekeza wagonjwa kwetu
 89. Tunarahisishia wadumu wa afya
  kazi
 90. kwa kutoa madawa
  yaliyoagizwa
 91. kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa
 92. Na wagojwa kuchukulia
  kwa moja wa washirika wetu
 93. ama kupelekewa madawa
  nyumbani
 94. Kwa kutofualitia
  njia ya kawaida
 95. tunaweza dai bei sawa na
  ilio wazi -
 96. kama dola mbili kila mwezi
  kununua takriban madawa zote
 97. Hii inadhihirisha bei
  inayotabirika na nafuu
 98. ambayo watu wanaweza bajetia.
 99. Tumegawa dawa za kutosha
  kwa takriban watu 150,000

 100. Lakini tunaweza fanya zaidi.
 101. Lengo letu ni kufikia watu milioni
 102. na madawa ya
  dola takriban bilioni
 103. kwa miaka tano ijayo,
 104. kupanua miradi yetu hadi majimbo 12
 105. Kwa kiwango hii,kufikia
  jamii ambao ni
 106. asilimia 40 kwa hao milioni 10
 107. waliokosa ufikavu thabiti na nafuu
 108. Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni
 109. itashusha bei chini
  kwa watu wengi
 110. Ni Walmart pekee wamezindua
  bei ya dawa

 111. mnamo mwaka 2016,
 112. kwa kutoa orodha finyu wa madawa
 113. kwa bei iliyosimama ya dola nne
 114. Huu ulizindua mabadiliko makubwa,
 115. Kupelekea washindani wake
  kutoa orodha zao
 116. na bei wangeshusha,
 117. Kwa malengo ya madawa
  yenye uwazi na nafuu
 118. kwenye majimbo haya mapya,
 119. tunaweza shawishi
  bei kwenye maeneo haya
 120. kushuka kwa jamii
  wenye mapato ya chini
 121. Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani

 122. Inachosha,
 123. Ni kama hayamkini kupiga hatua.
 124. Tweza badili
  kufikia dawa.
 125. Kwa kutunia madawa ya ziada
  kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko
 126. katika hii sekta wenye bilioni kadha
 127. tunaweza pindua ufikaji
  kwa madwa
 128. kwa kuegemea msingi thabiti
 129. kwamba watu waoishi moja ya
  nchi tajiri duniani
 130. wanaweza na wanafaa wafikie
  kila aina ya dawa wanahitaji
 131. kuishi wa kunawiri
 132. Sitadanganya nina suluhu zote

 133. kurekebisha shida ilioko
  katika mfumo wetu wa afya
 134. Lakini kufikishia mamilioni
  ya watu dawa
 135. wanayohitaji kuishi kwa afya,
 136. kuokoa madawa ili kuokoa maisha -
 137. hio tunaweza fanya leo.
 138. Ahsanteni