Uamuzi baina ya ununuzi wa dawa ama kulipa bili haufai
-
0:01 - 0:03Kila uchao hapa nchini,
-
0:03 - 0:06familia wanalazimika kufanya
maamuzi magumu sana -
0:06 - 0:08yanayohusu huduma yao ya afya
-
0:08 - 0:10Kama Kimberly, aliyesema,
-
0:11 - 0:16"Kuna wakati nafanya maamuzi
kati ya chakula changu na vidonge" -
0:16 - 0:19Haikuwa raha
sababu kipato changu ni duni. -
0:19 - 0:22Mfano,"Naweza nunua shampu ama kiyoyozi ?"
-
0:23 - 0:24Vitu tunachukulia kua ya kawaida"
-
0:24 - 0:27Na Debbie,aliyesema,
-
0:27 - 0:30"Unaweka dawa kwa mkono mmoja,
-
0:30 - 0:32na mahitaji ya maisha kwa mwingine.
-
0:33 - 0:35Sawa, ntafanya nini ?
-
0:35 - 0:37Nitanunua dawa
-
0:37 - 0:39ama kulipa bili zangu?
-
0:39 - 0:42Na siwezi ishi bila dawa zangu,
-
0:42 - 0:45na sitaishi bila kulipa bili zangu."
-
0:45 - 0:49Watu elfu kumi wanafariki
kila mwezi hapa nchini, -
0:49 - 0:52kwa sababu hawatumii
dawa inavyostahili, -
0:53 - 0:56Watu wengi hufa
kwa kutomeza dawa -
0:56 - 1:01kuzidi utumizi wa afyuni kupita kiwango
na ajali za barabara zikijumuishwa -
1:01 - 1:05Lakini huwezi meza tembe
kama hutamudu gharama yake. -
1:05 - 1:10Leo hii,familia ya kawaida
inatumia dola 3000 kila mwaka -
1:10 - 1:12kwa matibabu.
-
1:12 - 1:15Takriban thuluthi moja ya wasio na bima
-
1:15 - 1:19walisema waliacha
kutumia dawa walivyoagizwa -
1:19 - 1:20kwa ajili ya gharama ya juu
-
1:20 - 1:23Hata wenye bima,
-
1:23 - 1:26na kipato chini ya dola 35,000 kwa mwaka
-
1:26 - 1:29nusu yao walisema
walirukisha kumeza dawa -
1:30 - 1:31kama bima haitagharamia
-
1:32 - 1:37Kunao watu wazima milioni kuni
kama Kimberly na Debbie -
1:37 - 1:41amabao wanalazimika
kufanya maamuzi magumu kilasiku, -
1:42 - 1:46Sote tunafahamu madawa
ya kuagizwa ni bei ghali mno. -
1:46 - 1:48Na mfumo wetu wa huduma za afya,
-
1:48 - 1:52inayobagua wengine kutopata bima
na wengineo kupata bima ya chini, -
1:52 - 1:57haipi kipaombele
watu wanaohitaji usaidizi kwa sasa -
1:57 - 1:59na matibabu sasa.
-
2:00 - 2:02Milioni kumi---- hiyo ni idadi kubwa,
-
2:02 - 2:04lakini ni nambari lina suluhu,
-
2:04 - 2:08kwa sababu pia kuna dola bilioni 10
-
2:08 - 2:11ya madawa mazuri haijatumika
-
2:11 - 2:13yanayoharibika.
-
2:13 - 2:15Hii ni udhalimu kwa pande mbili:
-
2:15 - 2:20watu kutopata madawa
wanayohitaji kua hai na kustawi, -
2:20 - 2:26na ni dawa hivi
vinatumwa kasha moto la madawa -
2:26 - 2:27kuharibiwa.
-
2:27 - 2:32Huu uharibifu unapumbaza,
lakini pia unatoa fursa. -
2:32 - 2:34Nilianzisha SIRUM,
-
2:34 - 2:39Kiwanda cha teknolojia isio ya faida,
na wanzilishi wenza Adam na George, -
2:39 - 2:43kuibadili madawa yanayotupwa
kua na manufaa -
2:43 - 2:46kama vile madawa
yaliyo kwa hili ghala -
2:47 - 2:48Labda hatutaweza rekebisha
-
2:48 - 2:52yote yanayotufeli
katika mfumu wetu ya huduma za afya -
2:52 - 2:54lakini hili tunaweza tengeneza.
-
2:55 - 3:00Madawa hutoka viwandani
na wauzi jumla wanao hifadhi salama -
3:00 - 3:02na wakati wa kuraribika ikiwadia
wanatofua -
3:02 - 3:04Wakati mwingine, hutoka vituo vya afya
-
3:04 - 3:08kama hospitali, famasia,na
uguzia -
3:08 - 3:11wanaobaki na ziada,
zisizomezwa -
3:11 - 3:13au wakati wagonjwa wanapofariki.
-
3:13 - 3:17Tweza nufuika na haya
madawa ziada -
3:17 - 3:22kusambazia watu milioni kumi
wanaohitaji haya madawa. -
3:22 - 3:24Na tunaweza fanya hivyo leo.
-
3:25 - 3:27SIRUM inapata madawa ziada
-
3:27 - 3:31kwa kuweka chombo cha matumizi tena
kwa haya majumba -
3:31 - 3:33yenye ziada
-
3:33 - 3:36Chombo
linapojaa -
3:36 - 3:40SIRUM inatuma gari
kuchukua hayo madawa, -
3:40 - 3:46tunashughulikia usafirishaji,ufuatiliaji,
dhihirisho, na risiti ya kodi. -
3:46 - 3:51Wafadhili wa madawa wanataka kutoa
kwa sababu ni nafuu na rahisi -
3:51 - 3:55kuliko kutofoa madawa
yenye kanuni mingi -
3:55 - 3:59Na pia kunayo motisha kikodi
kutoa -
3:59 - 4:04Baadaye tunafikisha haya madawa
kwa watu wazozihitaji. -
4:04 - 4:06Pendekezo mpya inapokuja,
-
4:06 - 4:11jukwaa letu inaambatanisha matakwa
ya mgonjwa na dawa ilioko -
4:11 - 4:14Jukwaa letu basi inatoa
orodha ya kuchukua dawa bohari -
4:14 - 4:17madawa yanachukuliwa
na mapendekezo kuandikwa -
4:17 - 4:22Tunajega duka ya kisasa
wenye uzoefu ya karne 21 -
4:22 - 4:25Wanayostahili familia wenye mapato madogo
-
4:25 - 4:28Wagonjwa wanaweza jiandikisha
chini ya dakika tano -
4:28 - 4:32na kufikia
zaidi ya madawa 500, -
4:32 - 4:37yenye orodha toka
afkani -
4:37 - 4:39mpaka kichaa
-
4:39 - 4:45Kiukweli imewakilisha asilimia 75
ya madawa yanayoagizwa -
4:45 - 4:47Amerika leo.
-
4:47 - 4:52Pia tunashirikiana na mtandao wa madaktari
wauguzi na wasimamizi wa kesi -
4:53 - 4:55katika hospitali
na kliniki huru -
4:55 - 4:57wanaopendekeza wagonjwa kwetu
-
4:57 - 5:00Tunarahisishia wadumu wa afya
kazi -
5:00 - 5:04kwa kutoa madawa
yaliyoagizwa -
5:04 - 5:08kwa vile kuituma kwa famasia ya mtaa
-
5:08 - 5:13Na wagojwa kuchukulia
kwa moja wa washirika wetu -
5:13 - 5:16ama kupelekewa madawa
nyumbani -
5:16 - 5:20Kwa kutofualitia
njia ya kawaida -
5:20 - 5:24tunaweza dai bei sawa na
ilio wazi - -
5:24 - 5:28kama dola mbili kila mwezi
kununua takriban madawa zote -
5:29 - 5:33Hii inadhihirisha bei
inayotabirika na nafuu -
5:33 - 5:36ambayo watu wanaweza bajetia.
-
5:36 - 5:41Tumegawa dawa za kutosha
kwa takriban watu 150,000 -
5:42 - 5:44Lakini tunaweza fanya zaidi.
-
5:44 - 5:47Lengo letu ni kufikia watu milioni
-
5:47 - 5:51na madawa ya
dola takriban bilioni -
5:51 - 5:52kwa miaka tano ijayo,
-
5:52 - 5:55kupanua miradi yetu hadi majimbo 12
-
5:55 - 6:00Kwa kiwango hii,kufikia
jamii ambao ni -
6:00 - 6:04asilimia 40 kwa hao milioni 10
-
6:04 - 6:08waliokosa ufikavu thabiti na nafuu
-
6:08 - 6:11Huduma yetu moja kwa moja kwa watu milioni
-
6:11 - 6:15itashusha bei chini
kwa watu wengi -
6:15 - 6:19Ni Walmart pekee wamezindua
bei ya dawa -
6:19 - 6:21mnamo mwaka 2016,
-
6:21 - 6:23kwa kutoa orodha finyu wa madawa
-
6:23 - 6:25kwa bei iliyosimama ya dola nne
-
6:25 - 6:27Huu ulizindua mabadiliko makubwa,
-
6:28 - 6:31Kupelekea washindani wake
kutoa orodha zao -
6:31 - 6:34na bei wangeshusha,
-
6:34 - 6:38Kwa malengo ya madawa
yenye uwazi na nafuu -
6:38 - 6:40kwenye majimbo haya mapya,
-
6:40 - 6:43tunaweza shawishi
bei kwenye maeneo haya -
6:43 - 6:49kushuka kwa jamii
wenye mapato ya chini -
6:49 - 6:52Mfumo wetu wa hali ya afya ni changamani
-
6:52 - 6:54Inachosha,
-
6:54 - 6:57Ni kama hayamkini kupiga hatua.
-
6:57 - 7:02Tweza badili
kufikia dawa. -
7:03 - 7:08Kwa kutunia madawa ya ziada
kama kigezo cha kushinikiza mabadiliko -
7:08 - 7:12katika hii sekta wenye bilioni kadha
-
7:12 - 7:16tunaweza pindua ufikaji
kwa madwa -
7:16 - 7:18kwa kuegemea msingi thabiti
-
7:18 - 7:23kwamba watu waoishi moja ya
nchi tajiri duniani -
7:23 - 7:27wanaweza na wanafaa wafikie
kila aina ya dawa wanahitaji -
7:27 - 7:30kuishi wa kunawiri
-
7:31 - 7:34Sitadanganya nina suluhu zote
-
7:34 - 7:38kurekebisha shida ilioko
katika mfumo wetu wa afya -
7:38 - 7:42Lakini kufikishia mamilioni
ya watu dawa -
7:42 - 7:44wanayohitaji kuishi kwa afya,
-
7:44 - 7:48kuokoa madawa ili kuokoa maisha -
-
7:48 - 7:52hio tunaweza fanya leo.
-
7:53 - 7:54Ahsanteni
- Title:
- Uamuzi baina ya ununuzi wa dawa ama kulipa bili haufai
- Speaker:
- Kiah Williams
- Description:
-
Wakati bei ya madawa aagizo yanapanda Americani,maelfu ya watu wanalazimika kuacha madawa yanayookoa maisha -wakati huo viwanda na vituo vya huduma za afya wanatofoa madawa ya ziada hayajaharibika.Kiah Williams anaelezea jinsi SIRUM- kampuni isiyotengeneza faida inafikia familia inayohitaji haya madawa sana kwa madawa hayajatumika -na mpango wa kushusha gharama ya dawa kwa kusindika takribani dola bilioni kwa miaka tano ijaayo.(Mpango huu kabambe ni sehemu ya Mradi Changina,pendekezo la TED kuhamasisha na kugharamia mabadiliko ulimwenguni.)
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 08:07