< Return to Video

POKEA KAZI ULIYOKUSUDIWA KWA JINA LA YESU!!!

 • 0:00 - 0:05
  Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa -
 • 0:05 - 0:07
  Iondolewe!
 • 0:07 - 0:10
  Iondolewe kwa jina la Yesu!
 • 0:10 - 0:15
  Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo -
 • 0:15 - 0:18
  Iondolewe!
 • 0:18 - 0:20
  Iondolewe sasa hivi!
 • 0:20 - 0:25
  Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi!
 • 0:25 - 0:29
  Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi!
 • 0:29 - 0:35
  Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi!
 • 0:35 - 0:43
  Ninatangaza katika maisha yako - mafanikio!
 • 0:43 - 0:48
  Ninasema kwa imani - pokea aina ya mafanikio
 • 0:48 - 0:52
  ambao itakufanya usahau uchungu wa zamani!
 • 0:52 - 0:53
  Pokea hii leo!
Title:
POKEA KAZI ULIYOKUSUDIWA KWA JINA LA YESU!!!
Description:

"Chochote kitakachosimama kati yako na kazi uliyokusudiwa - Iondolewe! Iondolewekwa jina la Yesu! Chochote kinachosimama kati yako na upandishaji cheo wako uliokusudiwa - kiondolewe! Iondolewe sasa hivi! Kazi yako iliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! Mafanikio yako yaliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! Upandaji cheo wako uliokusudiwa - upokee sasa hivi! Natangaza katika maisha yako - mafanikio! Nasema kwa imani - pokea aina ya mafanikio ambayo itakusahaulisha uchungu wa zamani! Upokee leo!"

Unaweza kutazama muda wote wa maombi hapa - https://www.youtube.com/watch?v=RLvxjwER2Fw

more » « less
Video Language:
English
Team:
God's Heart TV
Duration:
0:54

Swahili subtitles

Revisions Compare revisions