Kwa Nini tunapaswa kuacha kucheza kwa sauti ya ukandamizaji wetu wenyewe
-
0:02 - 0:03Mara nyinyi
-
0:03 - 0:05Huwa nachukua darasa la mazoezi
-
0:05 - 0:08Au naenda kwenye ukumbi wa muziki
-
0:08 - 0:11Au, kwa kweli, popote panapochezwa muziki kwa nyuma
-
0:11 - 0:14na najipata nayapenda mahadhi
-
0:14 - 0:17na wimbo na midundo
-
0:17 - 0:20alafu nachukua Sekunde kuyasikiza maneno ya muziki
-
0:20 - 0:22maneno ambayo, kwa mfano
-
0:22 - 0:23Yanatuweka katika nafasi ya utiifu
-
0:24 - 0:27ambayo hatungevumilia katika mukhtadha wowote mwingine
-
0:27 - 0:29Na nashangaa kiwango ambacho
-
0:29 - 0:30tunafanya taasubi kuwa kawaida katika utamaduni wetu
-
0:31 - 0:34Nasikiliza wimbo huu na kufikiri
-
0:34 - 0:37Sitaki kulazimika kuibuka kwa sauti ya huzuni yangu mwenyewe
-
0:37 - 0:43Unajua, muziki Ni moja ya mbinu za kuwasiliana ambayo Ina nguvu zaidi
-
0:43 - 0:47Kwa sababu Ina uwezo wa kuinua au kuhuzunisha
-
0:48 - 0:51Muziki inahudumia hisia. Muziki inahudumia roho
-
0:51 - 0:53Muziki yafungua roho zetu
-
0:53 - 0:55Yafungua njia zetu kupokea habari
-
0:55 - 0:57Kuhusu maisha ya mtu mwengine
-
0:57 - 0:59Kujuza majukumu yetu wenyewe
-
0:59 - 1:03Na ingawa Sina shida na ndoto zao wanaume
-
1:03 - 1:05Kile ambacho Nina shida nacho Ni,
-
1:06 - 1:10Kulingana na matokeo ya utafiti hivi majuzi,
-
1:10 - 1:112.6 pekee ya waimbji Ni wanawake. Hii inamaanisha kuwa
-
1:13 - 1:17hata asilimia ndogo zaidi Ni wa jinsia nyingine
-
1:18 - 1:19Kwa Nini Jambo hili Lina uzito
-
1:20 - 1:23Kwa sababu Kama hatumiliki na kudhibiti hadithi yetu
-
1:23 - 1:26Mtu mwengine atatusemea hadithi zetu
-
1:26 - 1:28Na itakuwa na makosa
-
1:28 - 1:31Na kuendeleza hadithi zenyewe za uongo zinazoturudisha nyuma
-
1:32 - 1:35Na sijakuja hapa kuwaambia wengine jinsi ya kutengeneza nyimbo zao
-
1:36 - 1:40Lakini Niko hapa kutoa mbadala wake
-
1:40 - 1:43Mkakati mmoja ninaouchukua katika muziki wangu
-
1:43 - 1:48Ni kutengeneza midundo yenye kupa nguvu na kuinua
-
1:48 - 1:50Na kueka maneno ninayosema juu yao
-
1:50 - 1:54Inayoeleza kwa halisi matukio ya maisha yangu
-
1:54 - 1:57Bila kuchangia kuteseka kwa mwengine
-
1:57 - 1:59Ni ya kuchekesha kwani Ni sababu hii hii
-
1:59 - 2:03Inayotufanya tupuuze maneno mengi yanayoleta shida
-
2:03 - 2:06Ni kwa sababu tunapenda hisia zinazoletwa na midundo
-
2:07 - 2:11Mfano wa nyimbo hizi Ni wimbo wangu: "Top knot turn up"
-
2:14 - 2:16(Muziki: "Top knot turn up)
-
2:31 - 2:35(aimba) Nilizima arifa za simu yangu ili niwe na wakati
-
2:35 - 2:39Hakuna Cha kusumbua utulivu wangu
-
2:39 - 2:41Kitu kimoja kijulikane sijakuja hapa kufurahisha
-
2:41 - 2:43Nywele inapofungwa, naifanya vizuri
-
2:43 - 2:44Wakati wangu si mali yako
-
2:44 - 2:47Nikiwa na nguvu za uzalishaji Kama ovari zangu
-
2:47 - 2:50Mpe msichana mzima nafasi ya kupumua haki za kimsingi na Uhuru wake
-
2:50 - 2:54Bila ukosefu wa usalama ambayo dunia inanisababishia
-
2:54 - 2:56Tafadhali usinisumbue nikiwa makini
-
2:56 - 2:58Siku zijazo wanawake watawala, tayari unajua hili
-
2:58 - 3:00Napiga ufisadi katika SCOTUS
-
3:00 - 3:03Ilitokea katika fundo langu la juu tangu Mara ya kwanza nilipoandika hili
-
3:04 - 3:07Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo, Ni tokeo
-
3:07 - 3:11Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo Ni tokeo
-
3:11 - 3:15Ni tokeo la fundo la juu, Ni tokeo la fundo la juu, eyyyy
-
3:15 - 3:16Ni tokeo la fundo la juu
-
3:17 - 3:18(muziki unaisha)
-
3:18 - 3:22Nataka tuendelee kutengeneza nyimbo za kuinua jinsia zote na iliyo maridadi
-
3:22 - 3:25Kuhusu furaha na uhuru
-
3:25 - 3:26Nataka tukumbatie raha yetu
-
3:27 - 3:29Kama tunavyokumbatia uchungu wetu
-
3:29 - 3:31Nataka tusherehekee ule uhalisi
-
3:31 - 3:32Uwazi
-
3:32 - 3:36Na upana wa vipengele vya kuwepo kwetu
-
3:37 - 3:42Badala ya kuwasilisha hadithi za uongo zinazodhalilisha ujinsia
-
3:42 - 3:44Ili kuhisi umekubalika au kupendwa
-
3:44 - 3:47Na mkakati mwingine ninaochukua katika muziki wangu
-
3:47 - 3:50Ni kupinga taasubi iliyopo kwenye hewa
-
3:50 - 3:54Ni kuonyesha kwa macho dunia ambayo ningependa tuishi kwayo
-
3:54 - 3:56Katika video ya wimbo wangu "see me through"
-
3:56 - 4:01Ambao Ni wimbo wa R and B wenye mihemko na isiyo ya kawaida
-
4:01 - 4:05Naonyesha wawili wa marafiki wangu, Ania na Dejha
-
4:05 - 4:09Kufanya jukumu la wapendanao, kwa sababu wameolewa katika maisha halisi
-
4:09 - 4:12Lakini ambacho hujui na kuwa wapo pia nyuma ya kamera
-
4:12 - 4:15Wakitengeneza na kuelekeza video nzima
-
4:16 - 4:24(video) Heey ooh. Hisia zangu zilikuwa zimechoka
-
4:27 - 4:30Muziki unafaa kuwa salama na yenye kupatikana ili kila mtu ausikize
-
4:30 - 4:33Unavyoona, si kuhusu kupoteza rufaa ya ngono au madoido
-
4:33 - 4:34Iliyopo kwenye muziki
-
4:34 - 4:38Ni kuhusu kuandika ujumbe unaoleta hisia chanya
-
4:38 - 4:41Na kuifanya muziki unaotuinua na kutupa changamoto
-
4:42 - 4:45Na ingawa sisi Kama wanamuziki tuna jukumu
-
4:45 - 4:48Kutengeneza muziki ambayo haidhalalishi
-
4:48 - 4:50Wanaopokea wanaweza kuchangia katika badiliko hili
-
4:50 - 4:53Kwanza, tunaweza kuchagua nyimbo zipi hatutaki kusikiza
-
4:53 - 4:55Na nyimbo zipi tunataka kusikiza zaidi
-
4:55 - 4:56Tunaweza kusema
-
4:56 - 4:57"Heshima niliyo nayo inanitosha kusema
-
4:58 - 4:59Sitaki kusikiza hii
-
4:59 - 5:02Na sitaki isikilizwe na wengine pia
-
5:02 - 5:04Pili, tunaweza kujiuliza
-
5:04 - 5:06Muziki huu au ujumbe huu
-
5:06 - 5:08Unaweza kuleta kuteseka kwa mtu mwengine
-
5:08 - 5:10Mbona naivumilia
-
5:10 - 5:14Na mwisho, tunaweza wote kuchagua kutengeneza orodha ya nyimbo
-
5:14 - 5:17Zinazoleta hisia tunazohitaji katika wakati huo
-
5:17 - 5:19Na isiyokuwa na ujumbe wa kuleta shida
-
5:20 - 5:21Kwa Nini Jambo hili Lina uzito
-
5:21 - 5:24Kwa sababu inatoa mwelekeo kwa dunia kuhusu
-
5:24 - 5:27kile ambacho tunataka kusikiliza
-
5:28 - 5:31Na kutengeneza mabadiliko ya muda na utaratibu wa maoni
-
5:31 - 5:33Inayoathiri sekta yote ya muziki
-
5:34 - 5:36Huu si ujumbe
-
5:36 - 5:38Wa kikundi kidogo tu Cha watu
-
5:39 - 5:41Huu Ni ujumbe unaoathiri kila mmoja wetu
-
5:41 - 5:45Kwa sababu tunapoinua na kuweka huru jinsia dhaifu
-
5:45 - 5:47Tunaweka kila mtu huru
- Title:
- Kwa Nini tunapaswa kuacha kucheza kwa sauti ya ukandamizaji wetu wenyewe
- Speaker:
- Madame Gandhi
- Description:
-
Muziki maarufu kwa Mara nyingi ina maneno ambayo yanawadhalalisha wanawake...lakini kwa Nini tunaiskiza na hata kuuchezea? Akichezesha moja ya muziki wake wa asili "Top knot turn up" na kuonyesha kipande cha video kutoka muziki wake ulioelekezwa na mwanamke "see me through", mtetezi na mwimbaji Madame Gandhi anaelezea kwa Nini anatengeneza muziki unaoinua jinsia na ambayo haichangii kwa ukandamizaji wa yeyote-- anawaita wapendao muziki kusikiliza muziki unaowainua wote.
- Video Language:
- English
- Team:
- closed TED
- Project:
- TEDTalks
- Duration:
- 06:03
Nelson Simfukwe approved Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | ||
Nelson Simfukwe accepted Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | ||
Nelson Simfukwe edited Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | ||
Kara A edited Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | ||
Kara A edited Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | ||
Kara A edited Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | ||
Kara A edited Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression | ||
Kara A edited Swahili subtitles for Why we must stop dancing to the sound of our own oppression |