Swahili subtitles

← "Awoo"

Kundi la wanamuziki wawili wa Electro-pop linalofahamika kama Sofi Tukker likicheza na umati wa TED katika nyimbo yao ya mdundo wa haraka ya "Awoo", wakimshirikisha Betta Lemme.

Get Embed Code
42 Languages

Showing Revision 4 created 06/28/2017 by Joachim Mangilima.

 1. (Muziki)
 2. Sophie Hawley-Weld: Sawa huhitaji kusimama

 3. lakini...
 4. tunaweza kuwaona vizuri kabisa --
 5. (Kicheko)

 6. Kwa hiyo mcheze nasi.

 7. Na tuna hii, kama,
 8. Uchezaji maalum tunaokwenda kuufanya
 9. Betta Lemme: Rahisi sana.

 10. SHW: Na tutapunga viganja vyetu namna hii,

 11. na mtafanya pamoja nasi.
 12. Na pia mnaweza kusimama.
 13. (Muziki)

 14. (Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja

 15. (Wote wanaimba) Najua sikuikamata

 16. Ilikuja, ilikuja

 17. Ikaenda, ikaenda
 18. Iliteka haraka

 19. Nilikuwa pale na kisha nikaacha

 20. Awoo!

 21. Najua sikunyanyua kiganja

 22. Najua sikuikamata

 23. Ilikuja, ilikuja,

 24. Ikaenda, ikaenda
 25. Iliteka haraka

 26. Nilikuwa pale na kisha nikaacha

 27. Awoo!

 28. BL: (Anaongea) Hapo unaona!

 29. (Muziki)

 30. SHW: Tunayo nyingine inakuja.

 31. Ni uchezaji wa kuelekeza kidole
 32. (Muziki)

 33. Watu waliokaa chini,

 34. Nataka kuona mkielekeza vidole vyenu.
 35. Ndiyo!
 36. (Anaimba) Najua sikunyanyua kiganja

 37. (Wote wanaimba) Najua sikuikamata

 38. Ilikuja, ilikuja.
 39. Ikaenda, ikaenda
 40. Iliteka haraka

 41. Nilikuwa pale kisha nikaacha

 42. Aaaa ...

 43. (Makofi)

 44. Awoo!

 45. (Muziki)

 46. (Makofi yanapigwa kuendana na mdundo)

 47. (Muziki)

 48. Aaaa...

 49. SHW: (Anaongea) Sawa, chezesha mkono.

 50. (Wote wanaimba) Najua sikunyanyua kiganja

 51. Najua sikuikamata

 52. Ilikuja, ilikuja,

 53. Ikaenda, ikaenda
 54. Iliteka haraka

 55. Nilikuwa pale kisha nikaacha

 56. Najua sikunyanyua kiganja

 57. Najua sikuikamata

 58. Ilikuja, ilikuja,

 59. ikaenda, ikaenda
 60. Iliteka haraka

 61. Nilikuwa pale kisha nikaacha
 62. (Muziki)

 63. Tucker Halpern: Nyie majamaa mnafurahisha
  sana kuliko nilivyodhani mtakuwa.

 64. (Kicheko)

 65. (Muziki)

 66. Awoo!

 67. (Makofi)

 68. SHW: Asanteni sana.

 69. (Makofi)