Return to Video

Jinsi ya kuhakiki kama muandishi WA habari na Lura Garcia

  • 0:00 - 0:01
    Habari, Mimi ni hari screenvasan.
  • 0:01 - 0:03
    Karibu kwenye sehemu nyingine ya tahadhali ya feki
  • 0:03 - 0:06
    Ambapo tunajaribu kukufunulia baadhi ya mambo uliyokwisha kuona
  • 0:06 - 0:08
    Au hata kuweka kwenye mtandao
  • 0:08 - 0:14
    Je umeona video za mgonjwa WA korona alie toroka hospitali kule italia
  • 0:14 - 0:16
    Ilikua kama maigizo
  • 0:16 - 0:18
    Mwanaume akikimbizwa na watu wamevaa suti
  • 0:18 - 0:21
    Huku akipiga kelele za msaada kwa wapita njia
  • 0:21 - 0:23
    Sasa kwanini hii imekua maarufu?
  • 0:23 - 0:28
    Na jinsi gani wewe kama mtazamaji unaweza kuona kama ni kweli au uongo?
  • 0:28 - 0:30
    Kwahayo tuna mgeukia Laura Garcia
  • 0:30 - 0:31
    Anafanya kazi na fisr draft
  • 0:31 - 0:34
    Na anafanya kazi na Wana habari duniani kote
  • 0:34 - 0:36
    Kuwasaidia kuhakiki kile wanachoona mtandaoni
  • 0:36 - 0:39
    Kitu kimoja wapo kinacholeta taarifa za uongo mtandaoni
  • 0:39 - 0:43
    Ni picha na video ambazo ni za ukweli
  • 0:43 - 0:45
    Hazija editiwa kwa namba yeyote ile
  • 0:45 - 0:48
    Ni za zamani au zimechukuliwa tu
  • 0:48 - 0:50
    Na najua haya kutokana na kufanya kazi first draft
  • 0:50 - 0:52
    Sasa wazi langu lilikua
  • 0:52 - 0:53
    Tunaweza kutafuta video ile
  • 0:53 - 0:56
    Na kuona kama ilishawahi kuwepo mtandaoni hapo kabla?
  • 0:56 - 0:57
    Kama utaweza kunitenbeza kupitia hii
  • 0:57 - 1:00
    Acha niangalie unachoangalia na ulichokifanya
  • 1:00 - 1:02
    Hii ni tweet halisi tunaiongelea
  • 1:03 - 1:05
    Na viatu vichache kuhakiki
  • 1:05 - 1:08
    Maandishi ya kiarabu yanaelezea hivyo hivyo
  • 1:08 - 1:11
    Mgonjwa WA korona kutoka Italia akimbia hospitalini
  • 1:11 - 1:13
    Sababu Nina rafiki anae ongea kiarabu
  • 1:13 - 1:15
    Na nikamuomba anifafanulie haraka
  • 1:15 - 1:18
    Na mtu alie sambaza
  • 1:18 - 1:20
    Tukiangalia akaunt yake binafsi
  • 1:20 - 1:22
    Ana watu wengi
  • 1:22 - 1:25
    Nilizingatia kwakua mtu huyu alie sambaza
  • 1:25 - 1:26
    Ana wafatiliaji wengi
  • 1:26 - 1:28
    Watu wengi wangesambaza
  • 1:28 - 1:31
    Nikachomeka InVID.
  • 1:31 - 1:35
    Hii ni njia nzuri ya plug
  • 1:35 - 1:37
    Na inavifaa vingi kwa mwana habari kutumia
  • 1:37 - 1:39
    Chocolate kutoka YouTube thumbnails
  • 1:39 - 1:41
    Au kutafuta kwenye twitter
  • 1:41 - 1:44
    Na nilichokua natafuta no analisisi
  • 1:44 - 1:49
    Sababu naweza kunukuu link kutoka twitter au YouTube
  • 1:49 - 1:52
    Na inafanya kazi
  • 1:52 - 1:53
    Kwa mfano
  • 1:53 - 1:55
    Inanipa habari kuhusu account
  • 1:56 - 1:58
    Muda iliyo postiwa
  • 1:58 - 2:00
    Na taarifa nyingi
  • 2:00 - 2:03
    Ambazo ninaweza kujua kama account ni salama
  • 2:03 - 2:06
    Na chini yake ni nzuri
  • 2:06 - 2:10
    Unachukua thumbnail na kutafuta picha
  • 2:10 - 2:13
    Na kwenye hiyo picha unauliza mtandaoni
  • 2:13 - 2:16
    Kama ni Google au injini nyingine
  • 2:16 - 2:18
    Kama kitu hicho kimeshawahi kuwekwa kwenye mtandao hapo kabla
  • 2:18 - 2:20
    Ukiwa na thumbnail kama hii
  • 2:20 - 2:21
    Unaweza kuona hii mtandaoni?
  • 2:22 - 2:26
    Nikaanza kutafuta na mahala kwingine
  • 2:26 - 2:28
    Kumbe ilishakuepo twitter
  • 2:28 - 2:30
    Nikaikuta tiktok
  • 2:30 - 2:34
    Nikaikuta 9GAG, mahali ambapo watu wanasambaza meme na vitu vya kuchekesha
  • 2:34 - 2:37
    Nikaanza kuwaza labda sio kweli
  • 2:37 - 2:38
    Na Jambo la muhimu ni kua
  • 2:38 - 2:42
    Niliona video kama hiyo 2015
  • 2:43 - 2:45
    Hatukuwa na kirusi cha korona 2015
  • 2:45 - 2:47
    Hii ni uthibitisho
  • 2:47 - 2:48
    Hatukuwa na kirusi cha korona
  • 2:48 - 2:51
    Nikajua hii haihusiani na kirusi cha korona
  • 2:51 - 2:53
    Haikua ya 2020
  • 2:53 - 2:55
    Labda tungeacha hapo
  • 2:55 - 2:57
    Lakini nikaanza kuchimba zaidi, sababu naweza si ndio?
  • 2:57 - 3:01
    Nikaona picha kama Ile Snapchat
  • 3:01 - 3:04
    Sababu ina mustari katikati
  • 3:04 - 3:05
    Ndio
  • 3:05 - 3:07
    Umuhimu WA maono haya
  • 3:07 - 3:09
    Ni kutafuta suluhisho
  • 3:09 - 3:11
    Na kumaanisha
  • 3:12 - 3:16
    Naweza kusoma alama za mtaa na kutafuta uthibitisho
  • 3:17 - 3:19
    Tunaweza kutafuta basi imetoka wapi?
  • 3:19 - 3:22
    Na kutafuta nini kilisababisha
  • 3:22 - 3:26
    Nikaanza kuangalia Bana yake kwa nyuma
  • 3:26 - 3:27
    Sijui kama unaweza kuona
  • 3:27 - 3:30
    Lakini inasema "25c" kama muandiko WA kimarekani
  • 3:30 - 3:32
    Niliishi marekani kwa muda
  • 3:32 - 3:33
    Niliona itakua uthibitisho
  • 3:33 - 3:36
    Unaweza kuona wanakimbia kwenye paki ya magari
  • 3:37 - 3:39
    Wanapiga kwenye jengo zuri
  • 3:39 - 3:42
    Ambalo niliwaza ingekua raising kulipata
  • 3:42 - 3:45
    Unaweza kuona Aina ya magari barabarani
  • 3:45 - 3:49
    Magari ya kimarekani
  • 3:49 - 3:52
    Nikaanza kufanya utafiti
  • 3:52 - 3:55
    Sio uingereza ambao wanaendesha upande mwingine
  • 3:55 - 3:58
    Sio Italia maana magari ya Italia ni madogo sana
  • 3:58 - 4:00
    Mitaa hii ni mikubwa Sana kwa italia
  • 4:01 - 4:02
    Sio hiyo
  • 4:02 - 4:03
    Unaweza kuona jina la biashara
  • 4:04 - 4:09
    Inasoma D-M kitu kama U-N-I kitu kama unisex
  • 4:09 - 4:11
    Kama saluni
  • 4:12 - 4:13
    Lakini ni hivi
  • 4:13 - 4:20
    Unaweza kuona Kean
  • 4:21 - 4:22
    Sasa nikafanyaje
  • 4:22 - 4:25
    Nikaenda kwenye mtandao
  • 4:26 - 4:29
    Unaweza kuona ni union new Jersey
  • 4:29 - 4:31
    Na hiyo ni logo tinayoiona
  • 4:31 - 4:36
    Ukiweka union new Jersey kwenye Google map
  • 4:40 - 4:44
    Sio mji mkubwa marekani
  • 4:44 - 4:46
    Una machaguo kadhaa kutoka hapo
  • 4:46 - 4:49
    Nikaenda Google biashara
  • 4:49 - 4:52
    Biashara zinazosajiliwa kwenye mtandao
  • 4:52 - 4:54
    Sababu wanataka watu wawaone
  • 4:54 - 4:57
    Nikaenda mtandaoni
  • 4:57 - 4:58
    Na kuandika
  • 5:00 - 5:04
    DM sababu
  • 5:04 - 5:07
    DM unisex New Jersey
  • 5:10 - 5:12
    Ukiangalia matokeo
  • 5:12 - 5:19
    Utaona account ya Facebook
  • 5:19 - 5:22
    D Mauro unisex saluni
  • 5:22 - 5:25
    Sasa unaweza kuona kupitia mtaa
  • 5:25 - 5:27
    Saloon ipo pale
  • 5:27 - 5:29
    Hari : wow
    Laura : na kwanini sio
  • 5:29 - 5:30
    Jengo zuri kwenye kona
  • 5:30 - 5:33
    Sasa tunajua video imetoka wapi
  • 5:33 - 5:35
    Tunajua sio ya 2020
  • 5:35 - 5:37
    Tunajua sio italia
  • 5:37 - 5:39
    Na haihusiani na kirusi cha korona
  • 5:40 - 5:44
    Sasa video inahusu nini?
  • 5:44 - 5:47
    Sababu imedukuliwa kutoka marekani
  • 5:47 - 5:51
    Imesambazwa kwenye mtandao mbali mbali
  • 5:51 - 5:54
    Nawaza kuna mtoto WA chuo alifikiri
  • 5:54 - 5:58
    Itakua inafurahisha
  • 5:58 - 6:02
    Vitu kama hivi kina muda Una nini tu
  • 6:03 - 6:05
    Hasa kama unajua sio kweli
  • 6:05 - 6:07
    Itakupa makini unayotafuta
  • 6:08 - 6:10
    Katika nyakati hizi za taarifa zisizo sahivi
  • 6:10 - 6:12
    Ni nzuri kua na Laura Garcia huko
  • 6:12 - 6:16
    Anaeweza kutambua na kuchambua
  • 6:16 - 6:19
    Na kuhakiki katika kazi zao
  • 6:19 - 6:22
    Na tunaona taarifa zisizo za ukweli
  • 6:22 - 6:25
    Zinakuja kwenye mtandao kila siku
  • 6:25 - 6:26
    Unajuaje
  • 6:26 - 6:30
    Hayo yote yamewekwa kwenye mfumo
  • 6:31 - 6:32
    Nini suluhisho?
  • 6:32 - 6:34
    Jiangalizie mwenyewe
  • 6:34 - 6:37
    Kama kitu kimewekwa na huamini
  • 6:37 - 6:39
    Inaonesha kama muvi ya Hollywood
  • 6:39 - 6:40
    Angalia
  • 6:40 - 6:43
    Kama kitu hakieleweki
  • 6:43 - 6:47
    Na angalia vitu ambavyo Laura ametuonesha Leo
  • 6:51 - 6:54
    Hadi wakati mwingine Mimi ni hari screenvasan usisambaze habari za uongo, kua mkweli
  • 6:54 - 6:56
    Asante kwa kuangalia kipindi cha chukua tahadhali
  • 6:56 - 6:58
    Ukitaka kuona vitu ambavyo Laura amesha Leo vipo hapo chini
  • 6:58 - 7:01
    Tunaomba Maoni yako
  • 7:01 - 7:04
    Utaona kipindi kijacho cha chukua tahadhali
Title:
Jinsi ya kuhakiki kama muandishi WA habari na Lura Garcia
Description:

Kuhakiki sio Tu kwaajili ya Wana habari pekee, kwa taarifa zisizo za ukweli kuhusu uviko - 19, unawezaje kuangalia na kuhakiki mwenyewe? Mwana habari Laura Garcia kutoka first draft anatupeleka kuona jinsi mgonjwa aliepona uviko - 19 kwa kutumia vifaa vya bure kutoka mtandaoni.

more » « less
Video Language:
English
Team:
Amplifying Voices
Project:
Misinformation and Disinformation
Duration:
07:06

Swahili subtitles

Revisions