Return to Video

Kipi cha kufanya wakati ambapo kila jambo linaharibika

  • 0:01 - 0:03
    "Nina watu ndani yangu"
  • 0:03 - 0:06
    Aliimba marehemu Abbey Lincoln.
  • 0:06 - 0:09
    Nachukulia maandiko hayo kama mwito
  • 0:09 - 0:11
    "Nina watu ndani yangu"
  • 0:12 - 0:18
    Jomama Jones ndiye aliye ndani yangu namtazama kama mwongozo.
  • 0:18 - 0:20
    Ndiye nafsi mbadala wangu.
  • 0:20 - 0:24
    Nimemjumuisha
    kwa uigizaji tangu mwaka 1995,
  • 0:24 - 0:30
    na huja pale ambapo ana dondoo za kuwapa majamaa.
  • 0:30 - 0:32
    Wakati huu wa mabadiliko makuu,
  • 0:32 - 0:36
    Nafurahia kuwa chombo
    cha ujumbe wake kwenu.
  • 0:42 - 0:43
    Jomama Jones: Ni vipi nikikwambia
  • 0:43 - 0:46
    itakua sawa........
  • 0:46 - 0:48
    lakini itakuaje nkikwambia bado?
  • 0:49 - 0:51
    Je, nikikwambia kuna majaribu mbeleni
  • 0:51 - 0:54
    kuzidi hofu yako ya kina ?
  • 0:54 - 0:57
    Je, nikikwambia utaanguka .....
  • 0:57 - 0:59
    chini chini chini ?
  • 1:00 - 1:06
    Lakini nikkiwambia
    utajishangaza?
  • 1:06 - 1:10
    Je, nikikwambia utakua jasiri kutosha ?
  • 1:11 - 1:13
    Je, nikikwambia
  • 1:13 - 1:15
    si sote tutafaulu?
  • 1:16 - 1:19
    Lakini itakuaje nikikwambia
  • 1:19 - 1:22
    ipo inavyobidi iwe?
  • 1:22 - 1:26
    Je nikikwambia nayaona yajayo?
  • 1:29 - 1:31
    Unapenda mikono yangu?
  • 1:31 - 1:34
    Inajieleza, ndiyo?
  • 1:34 - 1:36
    Sasa tazama mikono yako -- tazama.
  • 1:36 - 1:39
    Kuna historia kubwa iliyorekodiwa
    kupitia miguso yake.
  • 1:39 - 1:43
    na alama za siku za baadaye
    kuchorwa katika viganja.
  • 1:43 - 1:45
    Kuna wakati mikono hushikilia kwa nguvu,
  • 1:45 - 1:48
    wakati mwingine kuachilia.
  • 1:49 - 1:52
    Je nikikwambia,
  • 1:52 - 1:54
    yote itasambaratika ?
  • 1:55 - 1:56
    Mmm
  • 1:56 - 1:58
    Mabibi na mabwana
  • 1:58 - 2:01
    na wengineo,
  • 2:01 - 2:04
    Mimi ni Jomama Jones
  • 2:04 - 2:07
    Kwa wengine mimi nyota wa soniki
  • 2:07 - 2:09
    na nakubaliana,
  • 2:09 - 2:12
    japokua hata mwanzoni,
    ilitokana na yale yajayo.
  • 2:12 - 2:14
    Kidogo nikupeleke utotoni,
  • 2:14 - 2:16
    Wazia hili:
  • 2:16 - 2:18
    ni siku ya kupanda,
  • 2:18 - 2:20
    ambayo ni likizo nimebuni
  • 2:20 - 2:22
    kwa vijana weusi
    kikundi cha jamii nilichoanzisha
  • 2:22 - 2:26
    Nilikimbia nyumbani kuvalia
    mavazi ya bustani
  • 2:26 - 2:30
    nikamfumania mjomba wangu aitwaye Freeman
  • 2:30 - 2:35
    Kasimama mbele ya kibubu akiwa amenyanyua nyundo hewani.
  • 2:35 - 2:37
    Alikuwa anajiandaa kuiba pesa zangu
  • 2:38 - 2:39
    Unajua,
  • 2:39 - 2:41
    mjomba wangu Freeman alikuwa mtu anayefahamu fani nyingi.
  • 2:42 - 2:43
    Angerekebisha kitu yoyote-
  • 2:43 - 2:45
    kiti kilichovinjika, chungu imepasuka-
  • 2:45 - 2:48
    hata kurudisha uhai
    kwa mimea za nyanya
  • 2:48 - 2:52
    Alikua na sihiri
    na vitu vilivyovunjika
  • 2:52 - 2:54
    na watu wenye kasoro
  • 2:54 - 2:56
    Angenichukua akienda kazini
  • 2:56 - 2:58
    na kusema, "Kuja Jo,
  • 2:58 - 3:01
    tukafanye kitu
    kuibadili huu ulimwengu kua bora."
  • 3:01 - 3:03
    Mikono yake mipana na migumu,
  • 3:03 - 3:09
    kila wakati zikinikumbusha
    mizizi iliohamishwa
  • 3:09 - 3:12
    Tukifanya kazi angeongea na watu
  • 3:12 - 3:16
    kuhusu mabadiliko aliyoamini
    yangetokea karibuni.
  • 3:16 - 3:20
    Nilitazama akiunda tena matumaini yaliyovunjika
  • 3:20 - 3:23
    na kuacha watu wamefurahi.
  • 3:23 - 3:26
    Mikono yake iliwasha miale ya jua
  • 3:27 - 3:31
    Na hapa alikuwa akikaribia
    kuvunja kibubu mbele yangu.
  • 3:31 - 3:34
    Nikasema"Piga hatua nyuma,
    na unionyeshe mikono yako."
  • 3:34 - 3:37
    Unajua cha ajabu kilichotokea kilikuwa
  • 3:37 - 3:42
    alikua akinipatia sarafu kuu kuu zote
    alizopata kwenye sakafu wakati akiwa anafanya kazi.
  • 3:42 - 3:44
    Nami niliziweka katika kibubu
  • 3:44 - 3:48
    pamoja na mapato yangu
    kutokana na vibarua
  • 3:49 - 3:52
    Lakini kufika msimu wa masika 1970,
  • 3:52 - 3:55
    mjomba Freeman aliacha ufanisi wake ...
  • 3:55 - 3:58
    na kupoteza kazi zake nyingi.
  • 3:58 - 4:02
    Alitabiria mbeleni
  • 4:02 - 4:08
    wenye dhuluma na uwezeshaji kwa raia weusi
    kiganjani mwake.
  • 4:08 - 4:11
    Pigo la mwisho
    lilikuja majira ya baridi iliyopita
  • 4:11 - 4:14
    wakati walipomuua Fred Hampton.
  • 4:15 - 4:18
    Alipozidiwa na hofu
  • 4:18 - 4:20
    na ghadhabu
  • 4:20 - 4:22
    na majonzi,
  • 4:22 - 4:25
    Mjomba Freeman alijaribu kupambana na yaliyo mbeleni.
  • 4:25 - 4:27
    Akashikilia kwa mkazo,
  • 4:27 - 4:29
    na kuanza kucheza na nambari.
  • 4:29 - 4:32
    "Sikia, moja ya hizi nambari zitashinda, binti.
  • 4:32 - 4:34
    Una robo kwa ajili ya uncle wako Free --"
  • 4:34 - 4:37
    Wengine wenu mnaye ndugu kama huyu.
  • 4:37 - 4:40
    Lakini nilijua papo hapo
    lazima ningechukua hatua.
  • 4:40 - 4:42
    Nikaruka na kunyaka nyundo
  • 4:42 - 4:44
    na nikaileta chini kuvunja kibubu.
  • 4:44 - 4:48
    Mjomba akaanza kulia
    huku mimi nikiokota sarafu.
  • 4:48 - 4:51
    "Hatununui tikiti za bahati nasibu
    mjomba,
  • 4:51 - 4:52
    C'mon."
  • 4:53 - 4:59
    Tulitumia hadi centi ya mwisho
    kwenye duka la mbegu
  • 5:00 - 5:02
    Unakumbuka wale watoto wakulima ?
  • 5:02 - 5:04
    Hawakushtuka
    nilipomlazimisha mjomba Freeman
  • 5:04 - 5:07
    kufanya kazi bustanini tena
  • 5:07 - 5:10
    na kutayarisha
    udongo kwa ajili ya mbegu
  • 5:10 - 5:14
    Na rafiki yangu mdogo akaja
    na kuanza kumpiga kofi mgongoni
  • 5:14 - 5:15
    akisema,"Lia mjomba Freeman,
  • 5:15 - 5:17
    Lia
  • 5:18 - 5:20
    "Siwezi rekebisha",alisema
  • 5:23 - 5:26
    Ni yakini ya kale-mbeleni.
  • 5:27 - 5:31
    Hakua wa kwanza kuionelea hivyo
    na hatakua wa mwisho
  • 5:32 - 5:38
    Kwa sasa, ineonekana
    kila kitu kinavuja kuzidi marekebisho
  • 5:39 - 5:40
    Ni kweli
  • 5:41 - 5:46
    Lakini kuvunja kwa kutenganisha kunaweza kuwa kuvunja kwa kuacha wazi,
  • 5:46 - 5:48
    hata iwe dhalimu na isiyofahamika
  • 5:48 - 5:50
    na kuogofya inaonyesha
  • 5:51 - 5:53
    Jambo kuu ni ...
  • 5:53 - 5:55
    hatuwezi sisi wenyewe.
  • 5:57 - 6:03
    Mjomba Freeman alilia sana hiyo siku
    wakati wa upandaji mbegu zetu,
  • 6:03 - 6:06
    akawa mfumo wa kunyunyiza maji
  • 6:08 - 6:10
    "Sijui mimi ni nani tena, msichana mdogo",
  • 6:10 - 6:13
    aliniambia wakati wa machweo.
  • 6:14 - 6:17
    "Vyema, mjomba Freeman
  • 6:17 - 6:18
    Vyema.
  • 6:19 - 6:22
    Umekua mpya tena,
  • 6:22 - 6:25
    ni hivyo ndivyo tunakuhitaji uwe."
Title:
Kipi cha kufanya wakati ambapo kila jambo linaharibika
Speaker:
Daniel Alexander Jones
Description:

"Wengine wananiita nyota wa soniki," asema Jomama Jones, nafsi badala wa mwenza wa TED na mwigizaji Daniel Alexander Jones. Kwa huu uigizaji na mazungumuzo wa kusisimua, Jomama Jones anatualika kutafakari jinsi kutojitayarisha kunaweza kuwa hatua ya kwanza kuelekea mabadiliko. Ni hadithi kuu ya jamii, ustawi na ufufuo -na vile kusambaratika inaweza saidia.

more » « less
Video Language:
English
Team:
closed TED
Project:
TEDTalks
Duration:
06:49

Swahili subtitles

Revisions