-
Maisha katika mida hii ya janga imekuwa ya ajabu sana
-
Niko mwaka wa mwisho shuleni lakini hivi sivyo nilivyotarajia
-
miezi zangu chache za mwisho shuleni kuwa.
-
muda wangu wa umwali kutokana na virusi vya korona imekuwa kucosha na ya vurugu
-
kwa sababu niko na wadogo wangu watatu.
-
Maisha yangu wakati huu wa Korona umekuwa bila raha.
-
Sijakuwa na shughuli nyingi.
-
Nimekuwa nikijaribu kukaa nyumbani na kuzingatia umbali.
-
Nimekuwa nyumbani zaidi ya mwezi sasa,
-
na hakika naweza sema niko tayari kwa vitu kuwa kawaida tena.
-
Kuishi katika nyakati hizi za janga la korona imekuwa ngumu kwa kila mtu,
-
lakini nazingatia umbali, kama wewe ni kijana barubaru,
-
inaweza kuwa ngumu.
-
Umekwama ndani ya nyumba siku kutwa, unahudhuria shule mtandaoni,
-
na matukio mengine kama vile sherehe za kumaliza shule ya upili na kuhitimu
-
nitofauti sana na ulivyodhani,
-
Lakini vijana wengine wamekuwa wakitumia wakati huu wa ziada
-
kusaidia wengine wetu kwa kuhakiki taarifa wanaopatana nazo
-
katika mitandao ya kijamii
-
Mediawise ni kitengo cha mafunzo ya habari iliundwa na taasisi ya Polynter.
-
Lengo lake ni kufunza wanafunzi wa shule ya upili
-
jinsi ya kuhakiki taarifa wanaoona mtandaoni.
-
Kwa taarifa yenu- Mimi ni mmoja wa hao wanahabari
-
wanaohudumu kama mabalozi wa mradi huu.
-
Tuko na wanafunzi ishirini wanahudumu nasi kwa wakati huu,
-
na wametapakaa kote Marekani
-
Wanatusaidia kusahihisha taarifa za uongo zilizoenea
-
wanazoziona mtandaoni kupitia hadithi za mitandao za kijamii.
-
Hawa vijana wanakuonyesha jinsi wanavyoweza kuhakiki madai.
-
Hawakuambii tu kama ni ya kuaminika au la.
-
Wanafunza mikakati
-
ambazo wanahabari na wahakiki waliobobea hutumia
-
na kuiwasilisha kwa njia inayosisimua na kutumbuiza.
-
Tuliongea na Angie Li, mwanafunzi wa mwaka wa pili chuoni Florida, na akatueleza
-
jinsi alivyohakiki kitu alichokipata kwa mtandao wa Tiktok.
-
Sikuwa na habari kuwa kuna taarifa potofu nyini sana.
-
Nimekuwa nikidhani
-
kuwa watu watapeana taarifa za ukweli.
-
Kwa nini kusambaza taarida potofu?
-
Lakini niling'amua kuwa wakati mwingine watu hawajui
-
kuwa wamesambaza taarifa potofu.
-
Kwa hivyo ulifanya nini?
-
Tuelekeze jinsi ulivyo hakikisha haya.
-
Hii ni Tiktok halisi niliyoona iliyokuwa na anwani hapa
-
kuwa kujifukiza inapunguza uwezekano wa kupata virusi vya korona.
-
kitu cha rahisi kufanya ni kufungua tovuti mtandaoni
-
na kufanya utafiti wa haraka wa maneno.
-
Kama maneno yanayopewa kipaumbele.
-
Hapa tuko na kujifukiza inapunguza virusi vya korona.
-
hakika, mara tu unapoitizama skrini hii,
-
anwani hizi zinaonekana kusema
-
kinachokinzana na madai halisi.
-
tovuti ya kwanza inasema kuwa ripoti za dalili za kupumua
-
na watumiaji wa sigara mtandaoni unaasshiria kuzidi au kuchelea kupona
-
kutokana na maradhi ya mapafu.
-
Yamkini, haileti nafuu yoyote
-
kwa sababu kujifukiza ni kama tu kuvuta sigara,
-
na virusi vya korona ni homa ya mapafu.
-
Kwa hivyo niliangalia tovuti ya pili.
-
jarida hili ni kutoka kwa Taasisi ya kitaifa dhidi ya madawa ya kulevya.
-
Lazima tuhakikishe kuwa tunapata taarifa hii kutoka kwa vyanzo aminika.
-
Chanzo hiki kilisema kuwa ushahidi unaochipuka unapendekeza kuwa kutagusana na vumbi
-
za sigara zinaathiri seli za mapafu.
-
na kupunguza uwezo wa kujikinga na maambukizi.
-
Kwa hivyo inaonekana kuwa kujifukiza inaweza
-
kuzidisha hatari ya virusi vya korona.
-
inaonekana hii Tiktok ni potovu.
-
Tiktok hiyo yamkini ilionwa na watu wengi.
-
pengine hata kusadikiwa na wengi.
-
hiyo ni gharama ya taarifa potovu.
-
Mara nyingine watu huanza kuamini vitu vya uongo
-
na wanaweza kuchukua hatua
-
kwa sababu wanaamini kuwa kujifukiza inaweza punguza uwezekano
-
na pengine wanaweza anza kuifanya
-
hakika habari potovu inaweza kuwa na gharama za mauti.
-
Kitu kisipoeleweka vizuri
-
basi pengine ni vizuri kutosambaza.
-
Usisambaze habari potovu.
-
Katika miaka kadhaa iliyopita, mtandao huu wa wahakiki barobaro
-
umedhibitisha zaidi ya vifungu 200 vya taarifa kuwa kweli au potovu.
-
Kama haujui pakuanzia, wapo na wasia mzuri
-
Wasia kwa mtu ambaye hajafanya uhakiki, naweza sema...
-
Kitu cha kwanza huwa naona ni kama chanzo chake ni aminika,
-
na kama mtu anatumia lugha kwa kupita mipaka ili kuchochea jibu fulani.
-
Usiamini tu chanzo moja. Kuamini chanzo moja ni wazo baya.
-
Unafaa kuhakikisha kuwa unaamin vyanzo vingi.
-
Nimeanza kusitasita na kutoamini kila kitu ninachokisoma.
-
Tunachokisoma huchangia mtazamo wetu wa dunia na jinsi tunavyoathiriana.
-
Kuhakikisha taarifa kunayoipokea na kusambaza ni hakika,
-
haitufaidi tu, bali inafaidia ulimwengu wote.
-
Vijana hawa hulengwa kila mara na taarifa potovu
-
na taarifa hizi hujichipusha kiholela, sehemu mbaya ya intaneti,
-
na wengi wao bado huifanya na tabasamu na picha binafsi.
-
Na imekuwa raha sana kutizama.
-
Vijana wanakuwa na teknolojia zaidi na mitandao ya kijamii.
-
Wazee kama mimi wanaweza kuelewa,
-
lakini hii haimaanishi kuwa hawatumii hii
-
kwa ufahamu na akili.
-
Tupo na matamanio,
-
lakini mara nyingi tuna puuzwa na kudharauliwa.
-
Hatupo kwa simu zetu kila mara.
-
Namaanisha kuwa tupo kwa simu zetu lakini inasaidia
-
Kwa sababu tunahakiki na kusaidia watu.
-
Kutumia muda mwingi mtandaoni haimaanishi kuwa inatuangamiza.
-
Natamani watu wangejua jinsi tunajali ulimwengu wetu.
-
Natamani watu wangejua jinsi tunavyojijali
-
Tunaweza kuinyoshe kwa njia tofauti kwa sababu ya teknolojia hii
-
tuliolelewa nayo,
-
lakini hakika tunajali ulimwengu na kuifanya iwe bora kwa sisi sote.
-
Kwa hivyo wacha tujifunze vitu kadhaa kutokana na kizazi hiki kipya.
-
Usisambaze taarifa potovu.
-
dumisha ukweli.
-
hadi wakati mwingine.
-
Mimi ni Hari Sreenivasan na hii ni Take on Fake.