[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:06.82,0:00:09.33,Default,,0000,0000,0000,,je umeelewa chochote? Dialogue: 0,0:00:09.33,0:00:10.72,Default,,0000,0000,0000,,(kicheko) Dialogue: 0,0:00:10.72,0:00:13.32,Default,,0000,0000,0000,,hao ni takriban watu milioni 63 wasioweza kusikia hapa india Dialogue: 0,0:00:13.32,0:00:17.00,Default,,0000,0000,0000,,wanao pitia haya kila mwaka siku baada ya nyingine Dialogue: 0,0:00:17.00,0:00:19.90,Default,,0000,0000,0000,,kujaribu kuleta ufahamu kwa ulimwengu wasiousikia Dialogue: 0,0:00:20.44,0:00:23.21,Default,,0000,0000,0000,,bila ufahamu na unyanyapaa kaitka jamii Dialogue: 0,0:00:23.21,0:00:25.64,Default,,0000,0000,0000,,kwa kujaliwa na mtoto asiye na maumbile sawa Dialogue: 0,0:00:26.00,0:00:27.92,Default,,0000,0000,0000,,wazazi hukimbia hapa na pale Dialogue: 0,0:00:27.92,0:00:30.95,Default,,0000,0000,0000,,kujaribu kuelewa jinsi ya kumulea mtoto wao Dialogue: 0,0:00:30.95,0:00:33.89,Default,,0000,0000,0000,,kisha wanapoelezwa hata kama mtoto wako han uwezo wa kusikia Dialogue: 0,0:00:33.89,0:00:36.28,Default,,0000,0000,0000,,haina tatizo na sauti yake na koromeo Dialogue: 0,0:00:36.28,0:00:38.40,Default,,0000,0000,0000,,hana shida na ala za kuwezesha sauti Dialogue: 0,0:00:38.40,0:00:41.24,Default,,0000,0000,0000,,na anaweza fundishwa jinsi ya kuzungumza Dialogue: 0,0:00:41.24,0:00:45.89,Default,,0000,0000,0000,,kisha unakua mwanzo wa safari ndefu ya miaka kujaribu kumfundisha Dialogue: 0,0:00:45.89,0:00:50.16,Default,,0000,0000,0000,,huyu mtoto mdogo jinsi ya kuyatamka maneno ambayo hayasikii Dialogue: 0,0:00:50.89,0:00:54.28,Default,,0000,0000,0000,,hata katika famila anakotoka huyu mtoto Dialogue: 0,0:00:54.28,0:00:56.31,Default,,0000,0000,0000,,anapowasiliana na wazazi wake Dialogue: 0,0:00:56.31,0:00:59.93,Default,,0000,0000,0000,,anapotamani kuhusika katika mazungumzo kaitka familia yake Dialogue: 0,0:00:59.93,0:01:03.92,Default,,0000,0000,0000,,lakini hawezi. na haelewi ni kwa nini kila mmoja hamsikilizi Dialogue: 0,0:01:04.62,0:01:06.73,Default,,0000,0000,0000,,hivo basi anaonekana kutengwa na kukosa Dialogue: 0,0:01:06.73,0:01:09.92,Default,,0000,0000,0000,,maswala muhimu yanayo mwezesha kukua vyema Dialogue: 0,0:01:09.92,0:01:14.46,Default,,0000,0000,0000,,anaenda shuleni akiwa na fikra,"labda mambo yatajakuwa tofauti." Dialogue: 0,0:01:14.46,0:01:17.37,Default,,0000,0000,0000,,kisha ankutana na waalimu wakifungua vinywa na kufunga Dialogue: 0,0:01:17.37,0:01:19.83,Default,,0000,0000,0000,,nakuandika maajabu ubaoni Dialogue: 0,0:01:19.83,0:01:22.88,Default,,0000,0000,0000,,bila kuelewa kwa kuwa hana uwezo wa kusikia, Dialogue: 0,0:01:22.88,0:01:26.100,Default,,0000,0000,0000,,anayaandika yote chini kisha kuyaweka kwa mtihanai yalivyo, Dialogue: 0,0:01:26.100,0:01:31.47,Default,,0000,0000,0000,,na kwa hali hii na alama za neema anakamilisha masomo ,hadi kidato. Dialogue: 0,0:01:31.47,0:01:34.70,Default,,0000,0000,0000,,Je, ananafasi ipi katika ajira? Dialogue: 0,0:01:34.70,0:01:38.23,Default,,0000,0000,0000,,Hapa huyu mtoto ambaye hana masomo halisi. Dialogue: 0,0:01:38.23,0:01:41.48,Default,,0000,0000,0000,,maneno ya kujionea,misamiati thelathini hadi arobaini. Dialogue: 0,0:01:41.48,0:01:46.16,Default,,0000,0000,0000,,Hajihisi salama tena kihisia,na sasa anakerwa na dunia nzima, Dialogue: 0,0:01:46.16,0:01:49.12,Default,,0000,0000,0000,,amabayo kwa sasa ,anadhani imesababisha kulemazwa kwake. Dialogue: 0,0:01:49.12,0:01:53.28,Default,,0000,0000,0000,,Afanye ajira ipi? Kazi mza kijungu jiko,kazi zisizo za taaluma, Dialogue: 0,0:01:53.28,0:01:56.17,Default,,0000,0000,0000,,kila wakati akiwa katika hali inayomkejeli. Dialogue: 0,0:01:56.18,0:02:02.04,Default,,0000,0000,0000,,Na hapo ndipo safari yangu "ilipozaliwa" mwaka 2004.Sina kama alivyo nena Kelly, Dialogue: 0,0:02:02.04,0:02:04.44,Default,,0000,0000,0000,,sina yeyote katika familia aliye na ulemavu wa kusikia. Dialogue: 0,0:02:04.44,0:02:07.55,Default,,0000,0000,0000,,ila kwa hali geni tu na wala sio fikira bayana. Dialogue: 0,0:02:07.55,0:02:09.99,Default,,0000,0000,0000,,niliingia katika dunia hii na kujifunza lugha ishara Dialogue: 0,0:02:09.99,0:02:13.75,Default,,0000,0000,0000,,kwa wakati huo,ilikua ni changa moto,hakuna aliyetaka....hakuna aliyefahamu.. Dialogue: 0,0:02:13.75,0:02:17.14,Default,,0000,0000,0000,,"Ni nini hicho wataka kusoma,Ruma? je hiyo ni lugha? Dialogue: 0,0:02:17.14,0:02:22.28,Default,,0000,0000,0000,,Haya,kusomea lugha ishara ilifungua maisha mapya katika jamii hii Dialogue: 0,0:02:22.28,0:02:24.90,Default,,0000,0000,0000,,ambayo ni kimya lakini inangaa Dialogue: 0,0:02:24.90,0:02:28.48,Default,,0000,0000,0000,,na matamnio na ari ya wanfunzi wa kuona Dialogue: 0,0:02:28.48,0:02:31.14,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha nikasikia hadithi zao kile walichotaka kufanya Dialogue: 0,0:02:31.14,0:02:38.61,Default,,0000,0000,0000,,Na kisha mwaka uliofuata,wa 2005, na kiasi ya akiba $5,000 Dialogue: 0,0:02:38.61,0:02:42.44,Default,,0000,0000,0000,,ya bima, nilianzisha kituo hiki Dialogue: 0,0:02:42.44,0:02:46.12,Default,,0000,0000,0000,,kwa vyumba viwili na wanafunzi sita Dialogue: 0,0:02:46.12,0:02:48.84,Default,,0000,0000,0000,,nami nikawa nawafundisha lugha ya kimombo kwa lugha ishara Dialogue: 0,0:02:49.60,0:02:53.00,Default,,0000,0000,0000,,changamoto,na kwa wakati huo hitaji likawa Dialogue: 0,0:02:53.00,0:02:56.12,Default,,0000,0000,0000,,naweza vipi kukutana na hawa watoto waliakamilisha shule ya upili Dialogue: 0,0:02:56.12,0:02:58.36,Default,,0000,0000,0000,,kwa ajira halisi kwa makampuni? Dialogue: 0,0:02:58.36,0:03:03.12,Default,,0000,0000,0000,,kazi za heshma.ajira zinazow eza kudhibitisha kua bubu si ujinga. Dialogue: 0,0:03:03.92,0:03:08.39,Default,,0000,0000,0000,,Naikawa chamgamoto kuu.Na hawa bubu waliishia kuishi hivi miaka mingi. Dialogue: 0,0:03:08.39,0:03:10.63,Default,,0000,0000,0000,,na miaka ya giza. Dialogue: 0,0:03:10.63,0:03:14.09,Default,,0000,0000,0000,,Walihitaji wajiamini wenyewe.Wazazi walihitajika kushawishika. Dialogue: 0,0:03:14.09,0:03:16.69,Default,,0000,0000,0000,,kuwa mtoto huyu si bubu na mjinga Dialogue: 0,0:03:16.69,0:03:19.37,Default,,0000,0000,0000,,Na anuwezo wa kusimama kivyake kwa miguu yake miwili Dialogue: 0,0:03:19.37,0:03:20.64,Default,,0000,0000,0000,,Basi cha muhimu zaidi Dialogue: 0,0:03:20.64,0:03:23.52,Default,,0000,0000,0000,,itawezekana muajiri kuajiri mtu asiyeweza kuzungumza. Dialogue: 0,0:03:23.52,0:03:26.99,Default,,0000,0000,0000,,kusikia,na hata kusona na kuandika pia Dialogue: 0,0:03:26.99,0:03:30.74,Default,,0000,0000,0000,,Niliketi pamoja na marafiki kaitka nyanja hii, Dialogue: 0,0:03:30.74,0:03:34.51,Default,,0000,0000,0000,,na nikawapa hadithi yangu ilivyokua maisha ya kutoweza kusikia. Dialogue: 0,0:03:34.51,0:03:39.19,Default,,0000,0000,0000,,Na nilifahamu kuna sehemu wazi katika kampuni Dialogue: 0,0:03:39.19,0:03:43.08,Default,,0000,0000,0000,,ambapo watu walio na ulemavu wakusikia wanaweza kufanya kazi,watu wasio na uwezo wa kisikia kuzidisha thamani. Dialogue: 0,0:03:43.08,0:03:45.86,Default,,0000,0000,0000,,na kwa raslimali finye tulianzisha ya kwazna ya aina yake Dialogue: 0,0:03:45.86,0:03:49.19,Default,,0000,0000,0000,,Mwito wa mtaala wa mafundisho ya watu wasio na uwezo wa kusikia nchini. Dialogue: 0,0:03:49.46,0:03:54.24,Default,,0000,0000,0000,,Kupata waalimu ilikua vigumu.Basi niliwafundisha mwenyewe . Dialogue: 0,0:03:54.24,0:03:56.80,Default,,0000,0000,0000,,niliwafudisha wanafunzi wangu kuwa waalimu wa watu wasio na uwezo wa kusikia. Dialogue: 0,0:03:56.80,0:04:00.76,Default,,0000,0000,0000,,Na ni kazi walioichukulia kwa makini na wajibu wa hali ya juu. Dialogue: 0,0:04:00.76,0:04:07.33,Default,,0000,0000,0000,,Lakini bado mwajiri alikua na wasiwasi.Masomo,na hatima ya kidato cah nne tu. Dialogue: 0,0:04:07.33,0:04:09.05,Default,,0000,0000,0000,,"La, la, la, Ruma hatuwezi kummpa ajira." Dialogue: 0,0:04:09.05,0:04:10.39,Default,,0000,0000,0000,,Hiyo ilikua shida kubwa Dialogue: 0,0:04:10.39,0:04:12.49,Default,,0000,0000,0000,," Na hata kama tunaweza kumpa ajira Dialogue: 0,0:04:12.49,0:04:14.82,Default,,0000,0000,0000,,tutawasiliana naye vipi? Hawezi kuandika wala kusoma. Dialogue: 0,0:04:14.82,0:04:16.35,Default,,0000,0000,0000,,hawezi sikia na kusema" Dialogue: 0,0:04:16.35,0:04:19.88,Default,,0000,0000,0000,,Nami nikawasihi," tafdhali tuchukue haya hatua kwa wakati? Dialogue: 0,0:04:20.59,0:04:23.09,Default,,0000,0000,0000,,Tunaweza kuzingatia yale anayoweza kutenda mwnazo? Dialogue: 0,0:04:23.09,0:04:26.23,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:26.23,0:04:29.95,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:29.95,0:04:34.83,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:34.83,0:04:39.13,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:39.13,0:04:41.24,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:41.24,0:04:44.76,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:44.76,0:04:46.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:46.80,0:04:49.79,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:49.79,0:04:52.16,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:52.16,0:04:54.47,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:54.47,0:04:57.80,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:04:57.80,0:05:02.83,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:02.83,0:05:07.05,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:07.05,0:05:10.70,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:10.70,0:05:13.57,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:13.57,0:05:16.42,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:16.42,0:05:18.38,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:18.38,0:05:22.78,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:22.78,0:05:25.55,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:25.57,0:05:28.50,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:28.50,0:05:31.100,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:31.100,0:05:34.88,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:34.88,0:05:38.10,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:38.10,0:05:42.28,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:42.28,0:05:44.18,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:44.18,0:05:46.37,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:46.37,0:05:49.58,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:49.58,0:05:52.64,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:52.64,0:05:58.10,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:05:58.10,0:06:00.78,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:00.78,0:06:04.19,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:04.19,0:06:07.60,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:07.60,0:06:10.09,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:10.09,0:06:15.46,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:15.46,0:06:20.20,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:20.20,0:06:24.38,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:24.38,0:06:27.56,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:27.56,0:06:30.53,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:30.53,0:06:33.89,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:33.89,0:06:35.68,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:35.68,0:06:39.73,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:39.73,0:06:42.05,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:42.05,0:06:43.77,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:43.77,0:06:48.17,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:48.17,0:06:49.44,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:06:49.44,0:06:56.14,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:02.05,0:07:06.37,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:07:06.37,0:07:08.14,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,9:59:59.99,9:59:59.99,Default,,0000,0000,0000,,