WEBVTT 00:00:06.516 --> 00:00:09.626 {muziki} 00:00:10.126 --> 00:00:11.446 Neno moja kueleza unyenyekevu kwa utamaduni 00:00:11.516 --> 00:00:13.496 hakika, kwangu ni upendo 00:00:13.596 --> 00:00:16.276 ikiwa ningeweza kufafanua unyenyekevu kwa utamaduni 00:00:16.276 --> 00:00:17.896 dhana zake zote 00:00:18.406 --> 00:00:21.066 haipi ufafanuzi fika ila tu neno 00:00:21.066 --> 00:00:22.066 ninalofikiria ni la msingi 00:00:22.066 --> 00:00:23.766 Escuchar 00:00:24.176 --> 00:00:25.126 Kuwa 00:00:25.126 --> 00:00:25.496 Wewe 00:00:25.546 --> 00:00:26.596 Kufungua 00:00:26.596 --> 00:00:27.426 Kupokea 00:00:27.646 --> 00:00:28.716 huruma 00:00:28.786 --> 00:00:29.876 upendo 00:00:29.876 --> 00:00:33.106 kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni hutoa 00:00:33.106 --> 00:00:36.666 muundo-mbinu moja ya ziada kuchangia kile ambacho 00:00:36.666 --> 00:00:38.316 kimekuwa lengo letu kuu. Naam, 00:00:38.736 --> 00:00:42.156 Lengo letu kuu ni kuwa na hisia sawazisha 00:00:42.156 --> 00:00:46.466 hisia ya usawa na aina ya heshima 00:00:46.466 --> 00:00:49.516 tunayoiendeleza 00:00:49.516 --> 00:01:28.566 [muziki] 00:01:29.066 --> 00:01:35.436 unyenyekevu kwa utamaduni ni dhana pana 00:01:35.436 --> 00:01:40.216 na kwa hakika Melanie Tervalon 00:01:40.326 --> 00:01:46.476 nami tumefikiria mielekeo tatu. 00:01:46.696 --> 00:01:49.426 ya kwanza ni kujifunza bila kukoma 00:01:49.936 --> 00:01:51.336 na tafakari ya kibinafsi ya kina 00:01:51.336 --> 00:01:53.916 Na kwa hiyo tafakari ya kibinasi ni 00:01:53.916 --> 00:01:58.346 uelewa wa jinsi kila mmoja wetu, 00:01:58.496 --> 00:02:02.746 ni mtu tata mwenye dhana kadhaa 00:02:02.976 --> 00:02:05.586 kila mmoja wetu huja na historia na hadithi zake 00:02:05.586 --> 00:02:07.176 urithi na mtazamo. 00:02:07.756 --> 00:02:08.895 Unaponiangalia sasa 00:02:09.446 --> 00:02:10.806 Nina ngozi ya kizungu 00:02:10.976 --> 00:02:12.846 Nilipokuwa mdogo nilikuwa na nywele ya njano mpakuo 00:02:13.066 --> 00:02:14.316 na macho ya hudhurungi 00:02:15.036 --> 00:02:18.166 Kila mtu alijaribu kuniita chochote ila Mwamerika mweusi. 00:02:18.166 --> 00:02:20.766 Nina historia 00:02:21.456 --> 00:02:23.906 Utambulisho wangu una mizizi hiyo. 00:02:24.346 --> 00:02:27.546 Wazazi wangu walinielimisha kuhusu utambulisho wa kijamii 00:02:27.546 --> 00:02:30.176 na uzoefu wangu umeiunda. 00:02:30.526 --> 00:02:32.156 nina haki ya kujitambulisha. 00:02:32.466 --> 00:02:36.226 msingi wa pili bada ya tafakari ya kibinafsi 00:02:36.226 --> 00:02:42.116 na elimu endelevu isiyo na mwisho ni dhana 00:02:42.116 --> 00:02:45.776 kuwa lazima tupunguze ukosefu wa usawa, na kutambua 00:02:46.116 --> 00:02:48.026 na kupunguza ukosefu huo 00:02:48.086 --> 00:02:53.326 ambao ina asili yake katika wagonjwa wetu wa kliniki. 00:02:53.326 --> 00:03:00.006 ama wateja wetu wa kliniki kwa mienendo wa jamii ya watoa huduma 00:03:00.116 --> 00:03:03.106 Na hatimaye kipengee amacho ningetoa na pamoja na Jann 00:03:03.106 --> 00:03:07.846 tunahisi kuwa watu hawasomi au hawapendi kusoma. 00:03:07.846 --> 00:03:11.856 na taasisi pia lazima itoe mfano ya kanuni hizi. 00:03:12.516 --> 00:03:39.956 [muziki] 00:03:40.456 --> 00:03:42.986 Mwamerika mweusi anayemuuguza 00:03:42.986 --> 00:03:46.246 mwanamke mlatino mwenye miaka makamo kwa masaa kadhaa 00:03:46.246 --> 00:03:48.606 baada ya mgonjwa kufanyiwa upasuaji. 00:03:49.396 --> 00:03:50.656 Tabibu Mlatino 00:03:50.656 --> 00:03:53.226 katika huduma ya kushauri alikaribia kitanda 00:03:53.606 --> 00:03:56.656 akabaini mgonjwa aliyekuwa akilia na kutoa maoni kwa muuguzi 00:03:56.736 --> 00:03:58.856 kuwa mgonjwa alionekana kuwa 00:03:59.206 --> 00:04:00.776 na maumivu mengi baada ya upasuaji. 00:04:01.266 --> 00:04:04.596 Muuguzi kwa muhtasari alipuuza mtazamo wake na kumuarifu 00:04:04.806 --> 00:04:07.356 kuwa alifanya kozi katika chuo cha uuguzi kuhusu 00:04:07.356 --> 00:04:10.706 utamaduni na matibabu na anajua kuwa wagonwa wenye asili ya hispania 00:04:10.796 --> 00:04:12.456 hutia chuku katika kueleza uchungu wao 00:04:13.046 --> 00:04:15.846 Tabibu mlatino alikuwa na wakati mgumu kushawishi 00:04:15.846 --> 00:04:18.136 mtazamo wa muuguzi huyu ambaye alikwama 00:04:18.136 --> 00:04:20.536 kwenye ujuzi wake wa kijamii ambaje alidai kujifunza 00:04:21.546 --> 00:04:25.556 Ilimshangaza huyu tabibu Mlatino 00:04:25.556 --> 00:04:27.516 ambaye kwanza ni Mlatino, sio wote 00:04:27.816 --> 00:04:30.596 kwa mfano wake sii kila Mwamerika mmeksiko 00:04:31.076 --> 00:04:34.926 anajua kila kitu ambacho kipo kuhusu wagonjwa waamerika wameksiko. 00:04:34.926 --> 00:04:35.866 haikuwa hivyo. 00:04:35.916 --> 00:04:39.106 Lakini angekuwa wa maana NOTE Paragraph 00:04:39.296 --> 00:04:42.326 kwa huyo muuguzi Mwamfrika mweusi kwa wakati huo 00:04:43.096 --> 00:04:46.116 ambapo hakudhani kuwa angehitaji, tena, 00:04:46.116 --> 00:04:49.736 kwa sababu alileta dhana ya umahiri wake 00:04:49.736 --> 00:04:50.946 wa utamaduni. 00:04:51.066 --> 00:04:53.116 tofauti kati ya unyenyekevu kwa utamaduni 00:04:53.116 --> 00:04:57.726 na umahiri wa utamaduni ilikuwa ya kwamba bado tupo katika mchakato 00:04:57.726 --> 00:05:00.786 na mahusiano ambayo yana pande nyingi kwayo, 00:05:01.116 --> 00:05:05.576 na kuwa hatuko sawa hata na istilahi 00:05:05.576 --> 00:05:09.606 ya umahiri kwa njia ambayo watu wanaelewa vizuri. 00:05:09.606 --> 00:05:12.546 na inamaanisha kuwa wale ambao ni watoa huduma 00:05:12.546 --> 00:05:14.006 na wamefunzwa kielimu 00:05:14.456 --> 00:05:17.276 kuwa unafahamu yote na una nguvu zote. 00:05:17.726 --> 00:05:21.156 Tulihisi kuwa hiyo siyo iliyokuwa ikitufanyikia 00:05:21.186 --> 00:05:24.026 tulipokwa tukijifunza kutoka kwa jamii na kuelewa 00:05:24.356 --> 00:05:28.736 kwa vitendo jinsi familia walikuwa wakija 00:05:28.736 --> 00:05:29.976 hospitalini na kuhisi 00:05:29.976 --> 00:05:33.686 kuwa hawasikizwi kutokana na asili zao 00:05:33.686 --> 00:05:37.636 katika historia, na jinsi hiyo ili athiri walichokuja 00:05:37.636 --> 00:05:42.136 nacho hospitalini ambacho hatukijui, 00:05:42.626 --> 00:05:44.086 na hatuna dokezo lolote kulihusu. 00:05:44.226 --> 00:05:47.066 kwetu, hii ndiyo sehemu ya kipengee cha unyenyekevu 00:05:47.406 --> 00:05:48.896 kupata kuelewa hayo. 00:05:50.126 --> 00:05:53.076 Si kujaribu kukudhalilisha, si kujaribu kukufanya uhisi vibaya, 00:05:54.116 --> 00:05:58.016 kukusaidia kuelewa kuwa maisha ni hivi. 00:05:58.016 --> 00:06:01.656 Na kuwa kwa dhana fulani umefurahi sana 00:06:01.656 --> 00:06:02.416 kwa kutojua. 00:06:04.116 --> 00:06:06.686 Aprili 1992 kwenye chanzo 00:06:06.686 --> 00:06:09.916 cha ghasia za Los Angeles kufuatia uamuzi wa kutopatwa na hatia 00:06:09.916 --> 00:06:13.206 kwa afisa wa polisi walioshtakiwa kumpiga Bwana King, 00:06:14.596 --> 00:06:17.706 jamii ya hospitali ya watoto ililazimishwa kukutana 00:06:17.866 --> 00:06:20.716 kwa misururo ya mikutano kufichua 00:06:20.776 --> 00:06:23.656 na kukosoa mifumo yetu ya ubaguzi wa kitaasisi 00:06:23.656 --> 00:06:25.686 udhalimu na ukosefu wa usawa. 00:06:26.406 --> 00:06:29.166 Jina langu ni Dkt. Melanie Tervalon, nami ni Mkurugenzi 00:06:29.166 --> 00:06:32.336 wa mambo ya tamaduni mseto katika hospitali ya watoto ya Oakland 00:06:32.596 --> 00:06:34.256 Nataka kushukuru kila aliyekuja 00:06:34.436 --> 00:06:38.156 kwa kile ambacho ni sherehe kwangu mwaka huu 00:06:38.286 --> 00:06:41.206 Mimi na Jann tulifanikiwa kuwa pamoja 00:06:41.206 --> 00:06:44.226 wakati haya yalikuwa yakichipuka 00:06:44.466 --> 00:06:47.666 ingawa mimi na Jann tumepishana kiumri 00:06:47.666 --> 00:06:50.956 sote ni wanawake waamerika weusi. 00:06:50.956 --> 00:06:54.836 na sote tulilelewa na wanawake ambao ni walimu. 00:06:55.846 --> 00:06:59.986 Na hapo tunachipuka na baba ambao ni wafanyikazi 00:07:00.806 --> 00:07:03.346 wanaotoka katika utamaduni wa kusini 00:07:04.196 --> 00:07:08.566 na waliojihusisha kikamilifu na harakati za haki za raia 00:07:08.566 --> 00:07:11.596 kwa kiwango cha kujitolea mhanga. 00:07:11.836 --> 00:07:14.356 na watoto wao pia walijinyima, na walitufunza 00:07:14.356 --> 00:07:17.616 kuhusu kujitolea mhanga na wakatulea kwa njia 00:07:17.616 --> 00:07:19.806 za kuelewa ya kuwa tunafaa hudumia. 00:07:20.516 --> 00:07:34.556 [muziki] 00:07:35.056 --> 00:07:35.596 Patty 00:07:35.596 --> 00:07:36.056 Vipi? 00:07:36.056 --> 00:07:36.346 Habari? 00:07:36.346 --> 00:07:38.136 Waambaje? 00:07:38.136 --> 00:07:38.786 Ni vyema kukuona 00:07:38.786 --> 00:07:40.496 Ni vyema kukuona 00:07:40.496 --> 00:07:42.106 Imekuwa muda mrefu 00:07:42.106 --> 00:07:42.636 Najua. Ndio 00:07:42.636 --> 00:07:43.686 Umekuwaje? 00:07:43.686 --> 00:07:44.846 Vyema 00:07:44.846 --> 00:07:46.596 Vyema. Asante kwa kunialika. 00:07:46.756 --> 00:07:49.376 Nimewekeza kwa watoto kwa umma hiyo 00:07:49.376 --> 00:07:51.506 Kwa sababu nimekuwa huko kwa muda mrefu 00:07:51.506 --> 00:07:52.256 Kwa sababu tulikuwa wakaazi. 00:07:52.516 --> 00:07:56.006 Na sasa naona kizazi cha pili cha familia yangu. 00:07:56.146 --> 00:07:58.976 mtaala wa utamaduni mseto ulianza 00:07:58.976 --> 00:08:02.636 mnamo 91-92 kama jaribio. 00:08:03.146 --> 00:08:07.546 Lini Rodney King... nadhani hito ilikuwa 90... 00:08:08.116 --> 00:08:10.506 Ilichochewa 92 00:08:10.506 --> 00:08:11.376 ndio 92. 00:08:11.416 --> 00:08:15.946 tukio la Rodney King ambayo watu walishuhudia 00:08:15.946 --> 00:08:20.476 duniani kote dhidi ya watoto ilisababisha tuanze 00:08:20.476 --> 00:08:23.626 kuongea tena kuhusu tulichokiita 00:08:23.626 --> 00:08:24.426 akina Rodney King zetu za siri. 00:08:24.686 --> 00:08:27.946 mazingira ambayo familia zilihisi 00:08:27.946 --> 00:08:31.376 kuwa hawajashughulikiwa kwa heshima. 00:08:32.186 --> 00:08:35.066 Hiyo ilikuwa sehemu kubwa ya kazi yetu, kuhakikisha 00:08:35.066 --> 00:08:37.905 tunaishi kulingana na kanuni 00:08:37.966 --> 00:08:39.746 ambazo zilikuwa zimeundwa 00:08:39.746 --> 00:08:41.566 kutokana na mijadala hospitalini. 00:08:42.035 --> 00:08:45.466 kuwa kulingana na muundo wa kitivo katika hospitali ya watoto 00:08:45.946 --> 00:08:48.166 na muundo wa wagonjwa tuliokuwa tukiwahudumia 00:08:48.226 --> 00:08:50.556 hicho kitivo hakingeweza kufunza kuhusu mambo 00:08:50.556 --> 00:08:54.306 ya utamaduni na tofauti ya rangi na kadhalika 00:08:54.306 --> 00:08:57.586 Kwa hivyo tulitumia muda mwingi kufanya kazi na makundi ya kijamii 00:08:57.586 --> 00:09:00.356 na familia kuja kufunza 00:09:00.606 --> 00:09:03.236 Na nikifikiria istilahi mbili, umahiri wa kitamaduni na 00:09:03.406 --> 00:09:07.426 unyenyekevu kwa utamaduni kwangu umahiri wa kitamaduni inaelezea 00:09:07.426 --> 00:09:09.606 somo, mada na wajua... 00:09:09.606 --> 00:09:12.516 Na watu wanahisi kuwa nafaa kujua hili au la 00:09:12.516 --> 00:09:14.906 na kama sijui hili, siko mwerevu 00:09:14.906 --> 00:09:17.556 Ilhali kwangu unyenyekevu wa kitamaduni ni filosofia 00:09:17.646 --> 00:09:21.526 ni mtazamo, ni chombo 00:09:21.526 --> 00:09:25.556 Siyo kitu kilicho. Sitakuwa gwiji kwayo. 00:09:25.746 --> 00:09:29.376 Ni mtazamo wangu, ni jinsi nitashughulika hali. 00:09:29.376 --> 00:09:30.966 Mwaka uliopita nilikuwa mratibu 00:09:30.966 --> 00:09:34.636 wa timu ya msaada kwa wanafunzi amabayo ni mikutano 00:09:34.636 --> 00:09:36.906 ambayo familia huwa na walimu 00:09:36.906 --> 00:09:38.216 wakati ambapo watoto huwa mashakani. 00:09:39.076 --> 00:09:46.546 Na ilisisimua kujaribu kung'amua kuwa 00:09:47.096 --> 00:09:50.266 mikutano hiyo ilifaulu kwa njia moja au nyigine 00:09:50.266 --> 00:09:52.396 na kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni. 00:09:53.006 --> 00:09:55.616 Kujaribu kusema kwa 00:09:55.616 --> 00:10:00.096 wenzangu kazini kusikia alichokuwa akipitia mzazi huyu 00:10:00.866 --> 00:10:03.796 na kile ambacho huyu mzazi anasikia kuhusu mtoto wake. 00:10:05.046 --> 00:10:08.756 Acha tujaribu kulizungumzia hili kama chanzo kuliko 00:10:08.826 --> 00:10:10.196 wajua...XYZ. 00:10:10.326 --> 00:10:14.476 Mojawapo ya vitu vilivyo nisaidia sana kuweza 00:10:14.476 --> 00:10:17.756 kuwa na amani na kutokujua ni 00:10:17.756 --> 00:10:22.416 kuwa, kwa muda mrefu nilichanganya kutojua 00:10:22.416 --> 00:10:24.176 na ukosefu wa akili. 00:10:24.176 --> 00:10:26.656 Na rafiki yangu mpendwa akanielezea mara moja 00:10:26.656 --> 00:10:29.836 nilipokuwa nazungumza kuhusu mada hii, alisema siyo 00:10:29.836 --> 00:10:33.356 kwamba siyo kuwa huna akili, ni kwamba chemchemi yako 00:10:33.356 --> 00:10:36.466 ya maarifa hususan katika eneo hili haipo. 00:10:36.856 --> 00:10:38.766 Kwa hivyo haikupunguzi akili 00:10:38.766 --> 00:10:40.656 kwa kiwango chochote cha mawazo. 00:10:40.656 --> 00:10:42.966 Haujui kwa sababu hakuna mtu amekuambia 00:10:42.966 --> 00:10:44.546 au haujawahi uliza swali hilo 00:10:45.626 --> 00:10:48.386 Na ilinifanya kuuliza maswali milioni 00:10:48.386 --> 00:10:51.796 kwa sababu sasa sikuhisi kuwa nilikuwa naambia dunia 00:10:51.796 --> 00:10:53.266 au mtu au mgonjwa 00:10:53.266 --> 00:10:55.836 au jamii kuwa mimi ni mjinga. 00:10:55.836 --> 00:10:57.516 Nilifurahi kusema tu kuwa sijui. 00:10:57.516 --> 00:10:58.956 Sawa na chemchemi ya maarifa 00:10:58.956 --> 00:11:00.336 na udaktari, hamna njia 00:11:00.336 --> 00:11:02.476 kujua kitu ila kwa kujifunza kulihusu. 00:11:02.726 --> 00:11:04.896 Lakini haipunguzi kwa njia yoyote 00:11:04.896 --> 00:11:05.546 akili zako. 00:11:05.546 --> 00:11:09.346 Mara ningeweza kutofautisha, nilikuwa sawa 00:11:09.346 --> 00:11:10.286 na kutojua tena. 00:11:10.926 --> 00:11:13.596 Makala huandikwa lakini haichapishwi mara moja 00:11:14.036 --> 00:11:16.116 kuhusu tuliojifunza kutokana na yote 00:11:16.116 --> 00:11:17.666 ya hii kazi ya kufanya kazi na majamii. 00:11:17.666 --> 00:11:19.466 Na hiki ndicho kifungo cha unyenyekevu kwa utamaduni 00:11:19.466 --> 00:11:22.586 ambacho watu sasa wamekitumia katika maeneo mengi, 00:11:22.586 --> 00:11:25.236 siyo tu katika udaktari lakini pia kwa elimu. 00:11:25.546 --> 00:11:30.146 Mashirika mengi yasiyo ya faida hutumia kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni 00:11:30.146 --> 00:11:30.536 katika kazi zao 00:11:30.976 --> 00:11:32.236 Kanuni siyo tu 00:11:32.236 --> 00:11:34.566 kuhusu shughuli binafsi na tabia. 00:11:35.036 --> 00:11:38.276 Taasisi zimebidi kuwa na tafakari ya kibinafsi. 00:11:38.486 --> 00:11:41.886 wasomi wa kutokoma lazima waamini fika kuwa jamii 00:11:41.886 --> 00:11:45.066 zinazohudumiwa zinajua wanachotaka 00:11:45.066 --> 00:11:47.506 na wanachohitaji na kuwa wako katika sehemu nzuri 00:11:47.506 --> 00:11:48.766 kutueleza hicho wanachokitaka au kuhitaji 00:11:49.516 --> 00:11:55.966 [muziki] 00:11:56.466 --> 00:12:00.626 Wanaoishi katika umaskini wako na fursa ndogo na uwezo 00:12:00.626 --> 00:12:03.386 wa kubadili mfumo wa sera za umaskini 00:12:03.806 --> 00:12:06.246 na mara nyingi hunyimwa suluhisho fanisi 00:12:06.246 --> 00:12:08.796 kupambana na ukiukaji wa haki zao za kibinadamu. 00:12:09.286 --> 00:12:11.506 na nalijali sana hili swala 00:12:11.506 --> 00:12:15.296 kwa sababu kakangu ni mtu bila hatia mwenye ulemavu 00:12:15.556 --> 00:12:18.986 ambaye ameshikiliwa kwa ninachokiita utumwa mamboleo 00:12:19.616 --> 00:12:23.226 kwa miaka miwili sasa kwa yale ambayo hakuyafanya. 00:12:23.226 --> 00:12:24.696 Na ninakuja kwako kwa sababu 00:12:24.806 --> 00:12:26.476 mfumo wa haki unaokisia haijaundwa 00:12:26.556 --> 00:12:27.476 kunufaisha jamii yangu. 00:12:27.476 --> 00:12:31.956 Na ninaweza sauti ya mnyanyasaji ukisisitiza, la! 00:12:32.236 --> 00:12:33.526 Haufai kuwa na haki. 00:12:34.296 --> 00:12:38.016 Sisi tu. Hauna historia. sisi tu. 00:12:38.016 --> 00:12:40.636 Hauna uwezo wa kudhibiti nafsi, sisi tu. 00:12:41.246 --> 00:12:43.126 Haukumbuki kinachopiganiwa. 00:12:43.626 --> 00:12:44.096 Sisi tu. 00:12:44.776 --> 00:12:48.706 Kuna hizi nyakati ambazo hugusa umakini wa kila mtu 00:12:48.706 --> 00:12:49.966 na tunaweza tumia kama fursa ya kunufaika. 00:12:49.966 --> 00:12:53.656 Na nafikiria Rodney King, majibu mengi 00:12:53.656 --> 00:12:57.386 kwa Rodney King ndiyo iliibua mijadala nyingi na 00:12:57.386 --> 00:13:00.816 upelelezi mwingi wa moyo na watu kutafuta sana njia 00:13:00.816 --> 00:13:02.836 tunazoweza kuwa na mijadala hii 00:13:03.176 --> 00:13:04.456 na matokeo bora. 00:13:05.236 --> 00:13:07.136 halafu inafifia. 00:13:08.516 --> 00:13:16.576 [muziki] 00:13:17.076 --> 00:13:20.076 Afisa watatu wa polisi wanaokabiliwa na mashtaka ya uhalifu 00:13:20.276 --> 00:13:21.886 walikuwa miongoni mwa kundi la 15 00:13:21.886 --> 00:13:25.206 waliomsimamisha mwanaumme mweusi mwenye miaka 25 jumamosi usiku 00:13:25.556 --> 00:13:27.506 halafu wakampiga, wakampiga mateke na kwa rungu 00:13:27.506 --> 00:13:31.336 Kile ambacho mtangazaji wa redioni Mary Mason alirekodi simu nyingi 00:13:31.426 --> 00:13:33.686 kutoka kwa wanachama wa jamii ya walioweusi waliokasirika 00:13:33.686 --> 00:13:38.926 na uamuzi, walioshtushwa na vurugu iliyofuatia. 00:13:39.396 --> 00:13:41.716 Tunahitaji upendo na heshima kwa kila mmoja 00:13:41.716 --> 00:13:42.016 Tunahitaji (haisikiki). 00:13:44.266 --> 00:13:48.066 Mwaka wa 2010 Arizona walipitisha sheria inaowapa mamlaka polisi wa mtaa 00:13:48.626 --> 00:13:51.856 kukagua hadhi ya uraia ya yeyote wanaomshuku 00:13:51.936 --> 00:13:54.266 kuwa ni mhamiaji haramu ndani ya Marekani. 00:13:55.176 --> 00:13:57.766 Ni nani aliye na haki ya kumuita binadamu mwenzake haramu? 00:13:58.666 --> 00:14:01.426 Wengi wa hawa wasio halali ndio wanaofanya kazi mashambani, 00:14:01.876 --> 00:14:05.326 kushafisha nyumba, kusawazisha ardhi- kazi ambazo zina haki 00:14:05.526 --> 00:14:06.846 ya kulipa chini ya msharaha wa chini. 00:14:07.466 --> 00:14:10.396 Kuna vitu ambavyo ni vigumu kusikia, 00:14:10.486 --> 00:14:13.056 na kuna vitu ambavyo ni vigumu kuona. 00:14:13.636 --> 00:14:16.516 Sasa ni vipi samaki haoni maji. 00:14:16.516 --> 00:14:19.416 Ni vigumu kama unanufaika 00:14:19.846 --> 00:14:23.976 kutokana na upendeleo kuiona hivyo. 00:14:24.666 --> 00:14:28.796 Na naweza sema inahitaji kumbukumbu ya kila mara 00:14:29.186 --> 00:14:32.666 Na hakika siioni kila mara. 00:14:32.666 --> 00:14:35.936 Na kila mara ninakumbushwa kuihusu. Nakumbushwa 00:14:35.936 --> 00:14:37.076 kuwa nakumbushwa kuihusu. 00:14:37.346 --> 00:14:40.646 Kuwa kwa nini lazima ni kumbushwe kuihusu, lakini nakumbushwa. 00:14:41.646 --> 00:14:44.606 Nilisikia mwanamke mzungu nyuma yetu akisema nyinyi wageni 00:14:44.646 --> 00:14:45.376 hamna adabu. 00:14:46.506 --> 00:14:49.436 Mwanzoni nilijibu kwa hasira na kuchanganyikiwa. 00:14:50.486 --> 00:14:52.216 Hasira kwa sababu nilihisi kubaguliwa 00:14:52.786 --> 00:14:53.476 na kuhukumiwa 00:14:53.666 --> 00:14:57.336 Kuchanganyikiwa kwa sababu alikuwa mwanamke mzee kutuliko, mbona hajaishi 00:14:57.336 --> 00:14:59.586 kwa miaka ya kutosha kujua kuwa yeye pia si asili 00:14:59.586 --> 00:15:00.606 wa nchi hii? 00:15:02.136 --> 00:15:04.796 Kila mara tunakumbwa na ujumbe za kina 00:15:05.026 --> 00:15:06.456 kuwa ngozi nyeupe ni bora zaidi. 00:15:06.916 --> 00:15:09.506 Sera za uhamiaji huendelea kujadiliwa 00:15:09.506 --> 00:15:12.076 katika ikulu ya White House, huku wenye rangi hudhurungi wakitarajia 00:15:12.076 --> 00:15:14.306 kupata kazi ya ziada nje ya bohari ya nyumbani. 00:15:14.946 --> 00:15:17.686 Ni vipi unyenyekevu wa kitamaduni unavyochipuka 00:15:17.686 --> 00:15:19.386 katika Kikundi cha masomo ya uanahabari cha Berkeley? 00:15:19.736 --> 00:15:21.766 lazima nitambue Tony Borbone [fonetiki]. 00:15:22.456 --> 00:15:24.706 Tony Borbone, na apumzike kwa amani, 00:15:24.706 --> 00:15:28.516 alikuwa mtetezi stadi wa uzuiaji wa vurugu 00:15:28.726 --> 00:15:33.736 niliyekutana naye katika miaka yetu ya awali ya kushughulikia uzuiaji wa vurugu 00:15:33.736 --> 00:15:38.706 tulipoanzisha Kikundi cha masomo ya uanahabari cha Berkeley. 00:15:38.886 --> 00:15:46.426 Tony alinikabili akaniuliza, unaishi Carlifonia, 00:15:46.856 --> 00:15:48.616 ni wafanyikazi wako wangapi wanaongea kihispania? 00:15:49.866 --> 00:15:53.446 Na sikuwa na yeyote. 00:15:53.716 --> 00:15:58.426 Na Tony, nilitaka kuseama ni mapenzi, 00:15:58.426 --> 00:16:01.826 haikuwa ni mapenzi ilikuwa njia ya kukabili. 00:16:01.826 --> 00:16:06.106 namaanisha hatimaye tulipenda kazi za kila mmoja wetu 00:16:06.106 --> 00:16:08.166 na tulikuwa na heshima kwa kila mmoja nadhani 00:16:09.536 --> 00:16:11.176 uhusiano wetu ulipo nawiri. 00:16:11.176 --> 00:16:18.546 Lakini hakuogopa kusema kilekilicho cha muhimu. 00:16:19.516 --> 00:16:59.766 [muziki] 00:17:00.266 --> 00:17:02.626 Ni muhimu sana kujitokeza. 00:17:03.166 --> 00:17:06.596 Kutenga muda katika maisha yako na kuonyesha unajali 00:17:06.596 --> 00:17:09.366 kuhusu jamii na kuwa hapo. 00:17:09.445 --> 00:17:13.106 Kwa hivyo wafanyikazi walikuwa wakishiriki katika vitendo 00:17:13.266 --> 00:17:16.406 vya kushurutisha mmiliki wa soko ya kuku 00:17:16.406 --> 00:17:17.996 aliyekuwa na deni ya mshahara ya wafanyikazi 00:17:18.506 --> 00:17:20.636 Wafanyikazi walikuwa wakitoka na mabango ya maandamano, 00:17:20.636 --> 00:17:22.486 na nilienda nao. 00:17:22.486 --> 00:17:24.386 hivyo nilihisi kuogopa. 00:17:25.036 --> 00:17:27.215 Unahisi ni kama umefichuliwa. 00:17:27.215 --> 00:17:30.126 Upo katika mazingira ambayo ni tofauti na baadhi 00:17:30.686 --> 00:17:31.976 ya vitu ambavyo nilikuwa nimefanya. 00:17:32.516 --> 00:17:37.556 [muziki] 00:17:38.056 --> 00:17:39.646 Tulipokuwa na mikutano hii kila mtu 00:17:39.646 --> 00:17:41.886 katika mradi alikuwa na uzoefu 00:17:41.886 --> 00:17:44.066 katika utafiti wa jamii 00:17:44.496 --> 00:17:45.766 lakini kuna msukumo. 00:17:45.766 --> 00:17:47.816 Unapokuwa katika mfumo wa utaalamu unazoea 00:17:47.866 --> 00:17:52.096 kushiriki katika mikutano na kujaribu kuchangia 00:17:52.096 --> 00:17:53.496 Halafu kuongezea 00:17:53.666 --> 00:17:56.536 tunaendeleza haya yote kwa kiingereza. 00:17:56.536 --> 00:17:57.906 kwa hivyo wafanyikazi wawili wengine 00:17:58.226 --> 00:18:01.436 kutoka kwa chama endelevu cha Uchina walikuwa wakiwatafsiria 00:18:01.436 --> 00:18:05.426 wafanyikazi wambao hawaelewi Kiingereza 00:18:05.426 --> 00:18:08.076 na kwa hivyo hawawezi kushiriki kikamilifu. 00:18:08.226 --> 00:18:11.536 halafu kila kitu kinafanyika haraka, watu 00:18:11.536 --> 00:18:13.016 wanajadiliana, na kwa mfanyikazi 00:18:13.016 --> 00:18:16.386 asioelewa Kiingereza ilikuwa ngumu kwake angalau 00:18:16.386 --> 00:18:18.416 kupata neno katika mdahalo. 00:18:19.586 --> 00:18:22.166 tulitafakari na watu wakatambua. 00:18:22.166 --> 00:18:26.226 halafu tukaanza kuendesha mikutano kwa kichina. 00:18:26.266 --> 00:18:28.306 halafu wanaozungumza Kiingereza wakavaa kipokea sauti masikioni 00:18:28.446 --> 00:18:30.556 huku wakitafsiriwa moja kwa moja. 00:18:30.556 --> 00:18:32.396 Wazungumzaji asili wa Kiingereza wallikuwa kimya, 00:18:32.686 --> 00:18:34.496 Na hiyo ilibadilisha sana hali ya mkutano. 00:18:34.496 --> 00:18:37.066 Lakini wafanyikazi bado walikuwa wamenyamaza. 00:18:37.536 --> 00:18:40.746 Kwa kuzingatia unyenyekevu wa kitamaduni tulipewa changamoto 00:18:40.746 --> 00:18:42.696 kufikiria kwa kina sana. 00:18:42.696 --> 00:18:46.666 kuhusu maana ya mila na jinsi haimaanishi kufikiria 00:18:46.666 --> 00:18:51.126 orodha ya hulka ambazo watu huzingatia. 00:18:51.446 --> 00:18:56.216 lakini kuwa inakuhusisha 00:18:56.216 --> 00:18:59.796 na dhana zako na jinsi unavyoonyesha dhana zako 00:18:59.796 --> 00:19:04.526 kwa mtu mwingine kinyume na uzoefu 00:19:04.526 --> 00:19:05.726 ya walivyo 00:19:06.516 --> 00:19:28.796 [muziki] 00:19:29.296 --> 00:19:30.736 Nilisikia kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni 00:19:30.816 --> 00:19:33.336 nilipokuwa mwanafunzi wa uzamili hapa 00:19:33.336 --> 00:19:34.356 katika jimbo la San Francisco. 00:19:34.356 --> 00:19:37.306 Lakini nahisi nilielewa kwanza unyenyekevu wa utamaduni 00:19:37.306 --> 00:19:39.016 kama dhana sana hapo awali maishani mwangu. 00:19:39.486 --> 00:19:42.626 Ilichipukia mahali pa kutoona, mahali pa kama 00:19:42.746 --> 00:19:44.526 kukandamiza nafsi yangu kama mwanamke mweusi 00:19:44.526 --> 00:19:48.686 na sasa imedilishwa kikamilifu, kama mkufunzi, 00:19:48.686 --> 00:19:50.706 kutambua nilivyo, ninaposimama 00:19:50.706 --> 00:19:52.296 darasani, ni nini hadhi yangu. 00:19:52.786 --> 00:19:54.836 Na pia sauti yangu yamaanisha nini duniani 00:19:54.836 --> 00:19:55.836 na inamaanisha nini kama mkufunzi. 00:19:55.836 --> 00:19:57.356 Ilitokezea kwa kujaribu kutoshea, kufanya ninachoweza 00:19:57.356 --> 00:20:00.956 kuwa mhindi nyumbani na siyo nje ulimwenguni. 00:20:01.086 --> 00:20:02.856 Na bila kueleza, imekuwa kielelezo cha utambulisho 00:20:03.126 --> 00:20:09.726 niliyojua ipo 00:20:09.726 --> 00:20:10.996 ambayo singeweza kueleza nilipokuwa. 00:20:10.996 --> 00:20:12.976 na sasa inasema huyo mtu ni nani 00:20:12.976 --> 00:20:16.216 na kutambua nguvu na hadhi yangu 00:20:16.216 --> 00:20:20.526 kujiangalia kwa njia fulani. 00:20:20.526 --> 00:20:21.766 pia nasema kuwa mimi ni mwanamke wa rangi, 00:20:22.186 --> 00:20:25.126 Niko na cha muhimu cha kusema na niko hapa. 00:20:25.126 --> 00:20:28.246 Nadhani kuwa il mradi tupo na nguvu na hadhi 00:20:28.336 --> 00:20:30.936 katika jamii tutapambana na kuwa wanyenyekevu sana 00:20:30.936 --> 00:20:34.476 kama wanawake wa rangi, kama wanawake wanatoka 00:20:34.646 --> 00:20:36.496 katika tabaka ya wafanyikazi, kama wanawake wanatoka 00:20:36.496 --> 00:20:38.236 katika asili ya kulipwa mshahara mdogo 00:20:38.236 --> 00:20:39.756 ama asili za mali finyu, sawa? 00:20:40.496 --> 00:20:42.306 Il mradi kuna nguvu na hadhi 00:20:42.306 --> 00:20:43.596 katika jamii, najua kuwa nitakuwa nikipambana nazo 00:20:43.746 --> 00:20:46.236 na kupambana nazo kila siku. 00:20:46.236 --> 00:20:48.286 [Muziki] 00:20:49.516 --> 00:21:05.546 Nilichunguza {haisikiki] hapa 00:21:06.046 --> 00:21:07.606 kuona jinsi sera zetu za sasa zinaunganisha 00:21:07.606 --> 00:21:10.486 na kuratibisha zinalenga wanafunzi wenye jinsia isiyo asili. 00:21:10.486 --> 00:21:13.236 Na nilikuwa nikitafakari 00:21:13.236 --> 00:21:16.406 kuhusu jinsi inavyohusika 00:21:16.996 --> 00:21:19.356 na mada ya jioni ya leo ya unyenyekevu kwa utamaduni 00:21:19.886 --> 00:21:24.086 kwa sababu tunaongea kuhusu huntha. 00:21:24.086 --> 00:21:27.316 au hulka za rika katika [haisikiki] na jinsi inavyoheshimiwa au la 00:21:27.596 --> 00:21:30.836 >>Sawa. 00:21:31.106 --> 00:21:31.436 na jinsi taasisi hii inaweza kuwa kufaa kitamaduni 00:21:31.556 --> 00:21:36.516 au kunyenyekea ama kuheshimu wanaopitia huntha 00:21:36.846 --> 00:21:41.436 wanapokuja hapa. 00:21:41.436 --> 00:21:43.226 Wakufunzi wakiafya ninaofanya kazi nao 00:21:43.226 --> 00:21:45.726 wote ni wanawake huntha. 00:21:45.726 --> 00:21:47.686 Na haswa siku yangu ya pili kazini, niliingia kwenye mkutano, 00:21:48.336 --> 00:21:52.516 na ilikuwa kamati ya bodi ya ushauri 00:21:52.516 --> 00:21:55.306 ya wanawake wote huntha. 00:21:55.796 --> 00:21:57.656 Ilikuwa ya kutatiza sana 00:21:57.836 --> 00:21:59.306 lakini kwa wakati huo huo walinifanya nitulie. 00:21:59.306 --> 00:22:01.626 Walianza kuniuliza maswali ni kama waliona , na kusema 00:22:01.626 --> 00:22:07.326 kwa hivyo unatoka wapi? 00:22:07.406 --> 00:22:09.486 Nikawajibu mimi ni mhajemi. 00:22:09.486 --> 00:22:10.686 oh twajua huu msichana huntha kutoka mashariki ya kati, 00:22:10.686 --> 00:22:13.036 unamjua? 00:22:13.036 --> 00:22:14.506 Nikajibu, simjui 00:22:14.506 --> 00:22:15.806 Kwa hivyo ufafanuzi wangu wa unyenyekevu wa utamaduni ni 00:22:15.896 --> 00:22:21.426 kuwa tayari kujifunza kila wakati 00:22:22.006 --> 00:22:25.436 Ninachowataka mfanye ni zunguka na kujitambulisha 00:22:25.626 --> 00:22:30.056 na kutuambia unyenyekevu kwa utamaduni unamaanisha nini kwako. 00:22:30.056 --> 00:22:33.066 Wakati wangu wa kwanza kuwa na shauku kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni 00:22:33.066 --> 00:22:35.026 ilikuwa nilipokuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika chuo kikuu. 00:22:35.466 --> 00:22:37.986 nilikuwa kurutu katika shirika fulani. 00:22:37.986 --> 00:22:39.046 Na walikuwa wakifanya mafunzo ya umahiri wa utamaduni 00:22:39.476 --> 00:22:43.606 kwa jamii wakazi wa kisiwa cha Pasifiki na kufanya kazi 00:22:43.606 --> 00:22:45.776 na jamii za wakazi wa visiwa vya Pasifiki 00:22:45.776 --> 00:22:47.016 Na kama mwanamke wa ukoo mbili za kisiwa cha Pasiki. 00:22:47.366 --> 00:22:50.326 Nilifurahi sana na pia na wasiwasi kuhudhuria mafunzo yale na kujifunza 00:22:50.326 --> 00:22:54.476 kuhusu nyenzo ambayo ingeainishwa na kujadiliwa. 00:22:54.476 --> 00:22:56.976 na jinsi mimi na wengine tungejifunza, 00:22:57.306 --> 00:22:59.856 kuhusu mila za kisiwa cha pasifiki na kufanya kazi na wakazi wa huko 00:23:00.506 --> 00:23:03.896 kuhusu mambo ya afya ambayo yalikuwa muhimu kwa jamii. 00:23:03.896 --> 00:23:06.316 Nadhani baada ya kuhudhuria mafunzo niligundua kuwa 00:23:06.786 --> 00:23:10.546 kulikuwa na hisia ya mafanikio na ukamilishaji 00:23:10.546 --> 00:23:13.646 kwa wale ambao walishiriki 00:23:13.646 --> 00:23:15.406 halafu nilitangulizwa kwa unyenyekevu wa kitamaduni 00:23:15.406 --> 00:23:19.486 kama mwanafunzi wa shahada ya kwanza darasani, 00:23:19.486 --> 00:23:20.896 ilifanyika wakati huo huo. 00:23:21.326 --> 00:23:22.656 Na nikawa na hisia ya mafanikio na ufanikishaji 00:23:22.656 --> 00:23:26.786 na umahiri na kuelewa mipaka ya kujielimisha. 00:23:26.786 --> 00:23:30.186 Siwezi kukuambia kihakika maana ya unyenyekevu wa kitamaduni kwangu. 00:23:30.436 --> 00:23:33.796 Nahisi kuwa naitenda na hivyo ndivyo naijua 00:23:33.796 --> 00:23:37.096 Kitu moja ambayo naifikiria 00:23:37.096 --> 00:23:40.206 au ninayoitenda ni unenyekevu wa kitamaduni ni 00:23:40.206 --> 00:23:44.396 kihispania 00:23:44.396 --> 00:23:47.536 kihispania 00:23:47.536 --> 00:23:50.476 kihispania 00:23:50.476 --> 00:23:52.369 kihispania 00:23:52.389 --> 00:23:54.759 Kihispania 00:23:54.759 --> 00:23:56.976 kuwa na asili ya kisayansi na kuja 00:23:56.976 --> 00:23:59.696 katika afya ya kijamii bila kuwahi kusikia unyenyekevu wa kitamaduni 00:23:59.696 --> 00:24:04.186 katika sayansi iliibua maswali 00:24:04.186 --> 00:24:06.526 Kwa sababu utamaduni ni kitu kinacho sisitizwa, 00:24:07.396 --> 00:24:11.006 siyo kitu kitu kinacho zungumzwa kwa njia inayofaa 00:24:11.006 --> 00:24:13.996 Kumekuwa na vizuizi vinavyoonekana peupe 00:24:14.496 --> 00:24:18.536 kwa jamii ya wachache katika sayansi. 00:24:18.666 --> 00:24:20.896 Unaweza iona ukiwa katika madarasa ya sayansi. 00:24:21.176 --> 00:24:22.946 Unaweza iona ukiwa katika makundi ya utafiti. 00:24:22.946 --> 00:24:25.616 Unaweza iona ukimwangalia maprofesa wako. 00:24:25.926 --> 00:24:28.096 nasiongelei tu jamii za wachache kwa kuzingatia ukoo au rangi 00:24:28.616 --> 00:24:31.066 naongelea jamii za wachache ambao hawana uakilishi 00:24:31.066 --> 00:24:33.856 katika sayansi, kwa mfano ukoo au rangi ni sababu 00:24:33.856 --> 00:24:36.596 lakini jinsia na maumbil ya kijinsia siyo. 00:24:36.906 --> 00:24:39.286 Nilijifunza kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni sehemu mbili 00:24:39.286 --> 00:24:43.426 kwa utamaduni wangu kuwa wa kikambodia na kusini mashariki mwa Asia 00:24:43.896 --> 00:24:47.046 kutojua chochote kuihusu kulifanya nikejeliwe na jamaa zangu 00:24:47.636 --> 00:24:50.406 kuhusu kutoongea vizuri. 00:24:50.406 --> 00:24:52.356 halafu baada ya kuenda chuoni na kujifunza kuihusu 00:24:52.976 --> 00:24:57.496 katika anthropolojia na kuhoji wazazi wangu 00:24:57.496 --> 00:25:00.136 kuhusu uzoefu wao macho yangu yalifumbuka. 00:25:00.786 --> 00:25:03.586 Mojawapo ya vitu ambayo nimejifunza katika 00:25:03.976 --> 00:25:09.416 miaka kadhaa iliyopita nataka kusema ni kusikiza ninachokisema. 00:25:09.496 --> 00:25:13.236 Na namaanisha kusikiliza kwa makini ninachokisema. 00:25:13.236 --> 00:25:15.726 Na kitu ambacho nimejifunza kusikiliza ni 00:25:16.486 --> 00:25:19.616 ninaposema mimi, Naamini hii, nafanya hii, na kusikiliza sasa 00:25:19.616 --> 00:25:25.276 kuwa ni tofauti na sisi 00:25:25.276 --> 00:25:27.806 Sisi nasikia sana katika habari, sisi Wamarekani, sawa? 00:25:27.806 --> 00:25:32.166 kama sisi, ni nani 'sisi' anaongea kumhusu? 00:25:32.646 --> 00:25:36.226 Ni kufikiria na kusikiliza tunapotumia mimi na sisi. 00:25:36.386 --> 00:25:39.676 Nilipokuwa nakua nilipata hamu ya utamaduni 00:25:39.676 --> 00:25:43.206 na dini nyinginezo na kujifunza tu kuhusu vitu 00:25:43.206 --> 00:25:46.766 kutoka kwa asili nyinginezo. 00:25:46.926 --> 00:25:48.136 Kwa hivyo nadhani hiyo ilinifanya kuwa mnenyekevu kitamaduni 00:25:48.506 --> 00:25:53.386 kwa sababu nilikuwa na hamu 00:25:53.946 --> 00:25:55.986 kwa hivyo baada ya kusoma kwa mwaka moja Afrika magharibi, nilirudi nikisema, 00:25:55.986 --> 00:26:00.546 Eh Mungu wangu, sijui chochote, sijui chochote 00:26:00.546 --> 00:26:03.516 kuhusu watu weusi, sijui chochote kuhusu Waafrika. 00:26:03.516 --> 00:26:06.786 namaanisha ilibadilisha mtazamo wangu. 00:26:06.786 --> 00:26:08.676 Amani. Nafikiria ninapoketi mahali pa unyenyekevu 00:26:12.586 --> 00:26:18.796 kuwa kuwa utulivu na nafasi na kuwa sawa 00:26:19.366 --> 00:26:24.766 na raha ambayo inakaribia amana ya kuwa 00:26:25.336 --> 00:26:29.926 na mtu mwingine amabye naweza fikiria. 00:26:29.926 --> 00:26:32.836 Kama lazima niifikirie 00:26:34.856 --> 00:26:36.116 kama barabara basi ningeweza fikiria 00:26:36.116 --> 00:26:40.896 kuhusu barabara inayopinda. 00:26:40.936 --> 00:26:43.396 Na kama upinde hauwezi --kwangu kwa dhana ya kucheza 00:26:47.866 --> 00:26:51.916 upinde unaoenda juu lazima uje chini pia 00:26:52.216 --> 00:26:55.056 ina uendelevu 00:26:55.056 --> 00:26:56.176 na katika uendelevu vitu vingi hufanyika 00:26:57.526 --> 00:27:01.786 na nguvu za aina nyingi zinaweza badili umbo lake 00:27:01.786 --> 00:27:04.046 au kina cha kinapoweza kufika. 00:27:04.046 --> 00:27:05.046 Unyenyekevu wa utamaduni hakika ni safari kwangu 00:27:05.046 --> 00:27:07.056 Unyenyekevu wa kitamaduni hakika ni safari kwangu, 00:27:07.446 --> 00:27:10.356 Na ni safari ambayo najua kutakuwa na 00:27:10.356 --> 00:27:12.416 changamoto na nipo ndani yazo. 00:27:12.416 --> 00:27:14.516 Na ninajua kila changamoto nitakayo jifunza kwayo. 00:27:15.206 --> 00:27:19.146 Na nadhani ni mchakato ambao lazima nipitie kila siku 00:27:19.486 --> 00:27:24.686 na ambayo niko sawa kupitia. 00:27:24.876 --> 00:27:26.416 Na hakika inanifanya kuwa na nguvu zaidi na uerevu zaidi 00:27:26.416 --> 00:27:28.456 na natuhahi hekima zaidi kuliko nilivyokuwa jana. 00:27:28.856 --> 00:27:33.606 [muziki] 00:27:34.516 --> 00:29:21.500 muziki