1 00:00:06,516 --> 00:00:09,626 {muziki} 2 00:00:10,126 --> 00:00:11,446 Neno moja kueleza unyenyekevu kwa utamaduni 3 00:00:11,516 --> 00:00:13,496 hakika, kwangu ni upendo 4 00:00:13,596 --> 00:00:16,276 ikiwa ningeweza kufafanua unyenyekevu kwa utamaduni 5 00:00:16,276 --> 00:00:17,896 dhana zake zote 6 00:00:18,406 --> 00:00:21,066 haipi ufafanuzi fika ila tu neno 7 00:00:21,066 --> 00:00:22,066 ninalofikiria ni la msingi 8 00:00:22,066 --> 00:00:23,766 Escuchar 9 00:00:24,176 --> 00:00:25,126 Kuwa 10 00:00:25,126 --> 00:00:25,496 Wewe 11 00:00:25,546 --> 00:00:26,596 Kufungua 12 00:00:26,596 --> 00:00:27,426 Kupokea 13 00:00:27,646 --> 00:00:28,716 huruma 14 00:00:28,786 --> 00:00:29,876 upendo 15 00:00:29,876 --> 00:00:33,106 kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni hutoa 16 00:00:33,106 --> 00:00:36,666 muundo-mbinu moja ya ziada kuchangia kile ambacho 17 00:00:36,666 --> 00:00:38,316 kimekuwa lengo letu kuu. Naam, 18 00:00:38,736 --> 00:00:42,156 Lengo letu kuu ni kuwa na hisia sawazisha 19 00:00:42,156 --> 00:00:46,466 hisia ya usawa na aina ya heshima 20 00:00:46,466 --> 00:00:49,516 tunayoiendeleza 21 00:00:49,516 --> 00:01:28,566 [muziki] 22 00:01:29,066 --> 00:01:35,436 unyenyekevu kwa utamaduni ni dhana pana 23 00:01:35,436 --> 00:01:40,216 na kwa hakika Melanie Tervalon 24 00:01:40,326 --> 00:01:46,476 nami tumefikiria mielekeo tatu. 25 00:01:46,696 --> 00:01:49,426 ya kwanza ni kujifunza bila kukoma 26 00:01:49,936 --> 00:01:51,336 na tafakari ya kibinafsi ya kina 27 00:01:51,336 --> 00:01:53,916 Na kwa hiyo tafakari ya kibinasi ni 28 00:01:53,916 --> 00:01:58,346 uelewa wa jinsi kila mmoja wetu, 29 00:01:58,496 --> 00:02:02,746 ni mtu tata mwenye dhana kadhaa 30 00:02:02,976 --> 00:02:05,586 kila mmoja wetu huja na historia na hadithi zake 31 00:02:05,586 --> 00:02:07,176 urithi na mtazamo. 32 00:02:07,756 --> 00:02:08,895 Unaponiangalia sasa 33 00:02:09,446 --> 00:02:10,806 Nina ngozi ya kizungu 34 00:02:10,976 --> 00:02:12,846 Nilipokuwa mdogo nilikuwa na nywele ya njano mpakuo 35 00:02:13,066 --> 00:02:14,316 na macho ya hudhurungi 36 00:02:15,036 --> 00:02:18,166 Kila mtu alijaribu kuniita chochote ila Mwamerika mweusi. 37 00:02:18,166 --> 00:02:20,766 Nina historia 38 00:02:21,456 --> 00:02:23,906 Utambulisho wangu una mizizi hiyo. 39 00:02:24,346 --> 00:02:27,546 Wazazi wangu walinielimisha kuhusu utambulisho wa kijamii 40 00:02:27,546 --> 00:02:30,176 na uzoefu wangu umeiunda. 41 00:02:30,526 --> 00:02:32,156 nina haki ya kujitambulisha. 42 00:02:32,466 --> 00:02:36,226 msingi wa pili bada ya tafakari ya kibinafsi 43 00:02:36,226 --> 00:02:42,116 na elimu endelevu isiyo na mwisho ni dhana 44 00:02:42,116 --> 00:02:45,776 kuwa lazima tupunguze ukosefu wa usawa, na kutambua 45 00:02:46,116 --> 00:02:48,026 na kupunguza ukosefu huo 46 00:02:48,086 --> 00:02:53,326 ambao ina asili yake katika wagonjwa wetu wa kliniki. 47 00:02:53,326 --> 00:03:00,006 ama wateja wetu wa kliniki kwa mienendo wa jamii ya watoa huduma 48 00:03:00,116 --> 00:03:03,106 Na hatimaye kipengee amacho ningetoa na pamoja na Jann 49 00:03:03,106 --> 00:03:07,846 tunahisi kuwa watu hawasomi au hawapendi kusoma. 50 00:03:07,846 --> 00:03:11,856 na taasisi pia lazima itoe mfano ya kanuni hizi. 51 00:03:12,516 --> 00:03:39,956 [muziki] 52 00:03:40,456 --> 00:03:42,986 Mwamerika mweusi anayemuuguza 53 00:03:42,986 --> 00:03:46,246 mwanamke mlatino mwenye miaka makamo kwa masaa kadhaa 54 00:03:46,246 --> 00:03:48,606 baada ya mgonjwa kufanyiwa upasuaji. 55 00:03:49,396 --> 00:03:50,656 Tabibu Mlatino 56 00:03:50,656 --> 00:03:53,226 katika huduma ya kushauri alikaribia kitanda 57 00:03:53,606 --> 00:03:56,656 akabaini mgonjwa aliyekuwa akilia na kutoa maoni kwa muuguzi 58 00:03:56,736 --> 00:03:58,856 kuwa mgonjwa alionekana kuwa 59 00:03:59,206 --> 00:04:00,776 na maumivu mengi baada ya upasuaji. 60 00:04:01,266 --> 00:04:04,596 Muuguzi kwa muhtasari alipuuza mtazamo wake na kumuarifu 61 00:04:04,806 --> 00:04:07,356 kuwa alifanya kozi katika chuo cha uuguzi kuhusu 62 00:04:07,356 --> 00:04:10,706 utamaduni na matibabu na anajua kuwa wagonwa wenye asili ya hispania 63 00:04:10,796 --> 00:04:12,456 hutia chuku katika kueleza uchungu wao 64 00:04:13,046 --> 00:04:15,846 Tabibu mlatino alikuwa na wakati mgumu kushawishi 65 00:04:15,846 --> 00:04:18,136 mtazamo wa muuguzi huyu ambaye alikwama 66 00:04:18,136 --> 00:04:20,536 kwenye ujuzi wake wa kijamii ambaje alidai kujifunza 67 00:04:21,546 --> 00:04:25,556 Ilimshangaza huyu tabibu Mlatino 68 00:04:25,556 --> 00:04:27,516 ambaye kwanza ni Mlatino, sio wote 69 00:04:27,816 --> 00:04:30,596 kwa mfano wake sii kila Mwamerika mmeksiko 70 00:04:31,076 --> 00:04:34,926 anajua kila kitu ambacho kipo kuhusu wagonjwa waamerika wameksiko. 71 00:04:34,926 --> 00:04:35,866 haikuwa hivyo. 72 00:04:35,916 --> 00:04:39,106 Lakini angekuwa wa maana 73 00:04:39,296 --> 00:04:42,326 kwa huyo muuguzi Mwamfrika mweusi kwa wakati huo 74 00:04:43,096 --> 00:04:46,116 ambapo hakudhani kuwa angehitaji, tena, 75 00:04:46,116 --> 00:04:49,736 kwa sababu alileta dhana ya umahiri wake 76 00:04:49,736 --> 00:04:50,946 wa utamaduni. 77 00:04:51,066 --> 00:04:53,116 tofauti kati ya unyenyekevu kwa utamaduni 78 00:04:53,116 --> 00:04:57,726 na umahiri wa utamaduni ilikuwa ya kwamba bado tupo katika mchakato 79 00:04:57,726 --> 00:05:00,786 na mahusiano ambayo yana pande nyingi kwayo, 80 00:05:01,116 --> 00:05:05,576 na kuwa hatuko sawa hata na istilahi 81 00:05:05,576 --> 00:05:09,606 ya umahiri kwa njia ambayo watu wanaelewa vizuri. 82 00:05:09,606 --> 00:05:12,546 na inamaanisha kuwa wale ambao ni watoa huduma 83 00:05:12,546 --> 00:05:14,006 na wamefunzwa kielimu 84 00:05:14,456 --> 00:05:17,276 kuwa unafahamu yote na una nguvu zote. 85 00:05:17,726 --> 00:05:21,156 Tulihisi kuwa hiyo siyo iliyokuwa ikitufanyikia 86 00:05:21,186 --> 00:05:24,026 tulipokwa tukijifunza kutoka kwa jamii na kuelewa 87 00:05:24,356 --> 00:05:28,736 kwa vitendo jinsi familia walikuwa wakija 88 00:05:28,736 --> 00:05:29,976 hospitalini na kuhisi 89 00:05:29,976 --> 00:05:33,686 kuwa hawasikizwi kutokana na asili zao 90 00:05:33,686 --> 00:05:37,636 katika historia, na jinsi hiyo ili athiri walichokuja 91 00:05:37,636 --> 00:05:42,136 nacho hospitalini ambacho hatukijui, 92 00:05:42,626 --> 00:05:44,086 na hatuna dokezo lolote kulihusu. 93 00:05:44,226 --> 00:05:47,066 kwetu, hii ndiyo sehemu ya kipengee cha unyenyekevu 94 00:05:47,406 --> 00:05:48,896 kupata kuelewa hayo. 95 00:05:50,126 --> 00:05:53,076 Si kujaribu kukudhalilisha, si kujaribu kukufanya uhisi vibaya, 96 00:05:54,116 --> 00:05:58,016 kukusaidia kuelewa kuwa maisha ni hivi. 97 00:05:58,016 --> 00:06:01,656 Na kuwa kwa dhana fulani umefurahi sana 98 00:06:01,656 --> 00:06:02,416 kwa kutojua. 99 00:06:04,116 --> 00:06:06,686 Aprili 1992 kwenye chanzo 100 00:06:06,686 --> 00:06:09,916 cha ghasia za Los Angeles kufuatia uamuzi wa kutopatwa na hatia 101 00:06:09,916 --> 00:06:13,206 kwa afisa wa polisi walioshtakiwa kumpiga Bwana King, 102 00:06:14,596 --> 00:06:17,706 jamii ya hospitali ya watoto ililazimishwa kukutana 103 00:06:17,866 --> 00:06:20,716 kwa misururo ya mikutano kufichua 104 00:06:20,776 --> 00:06:23,656 na kukosoa mifumo yetu ya ubaguzi wa kitaasisi 105 00:06:23,656 --> 00:06:25,686 udhalimu na ukosefu wa usawa. 106 00:06:26,406 --> 00:06:29,166 Jina langu ni Dkt. Melanie Tervalon, nami ni Mkurugenzi 107 00:06:29,166 --> 00:06:32,336 wa mambo ya tamaduni mseto katika hospitali ya watoto ya Oakland 108 00:06:32,596 --> 00:06:34,256 Nataka kushukuru kila aliyekuja 109 00:06:34,436 --> 00:06:38,156 kwa kile ambacho ni sherehe kwangu mwaka huu 110 00:06:38,286 --> 00:06:41,206 Mimi na Jann tulifanikiwa kuwa pamoja 111 00:06:41,206 --> 00:06:44,226 wakati haya yalikuwa yakichipuka 112 00:06:44,466 --> 00:06:47,666 ingawa mimi na Jann tumepishana kiumri 113 00:06:47,666 --> 00:06:50,956 sote ni wanawake waamerika weusi. 114 00:06:50,956 --> 00:06:54,836 na sote tulilelewa na wanawake ambao ni walimu. 115 00:06:55,846 --> 00:06:59,986 Na hapo tunachipuka na baba ambao ni wafanyikazi 116 00:07:00,806 --> 00:07:03,346 wanaotoka katika utamaduni wa kusini 117 00:07:04,196 --> 00:07:08,566 na waliojihusisha kikamilifu na harakati za haki za raia 118 00:07:08,566 --> 00:07:11,596 kwa kiwango cha kujitolea mhanga. 119 00:07:11,836 --> 00:07:14,356 na watoto wao pia walijinyima, na walitufunza 120 00:07:14,356 --> 00:07:17,616 kuhusu kujitolea mhanga na wakatulea kwa njia 121 00:07:17,616 --> 00:07:19,806 za kuelewa ya kuwa tunafaa hudumia. 122 00:07:20,516 --> 00:07:34,556 [muziki] 123 00:07:35,056 --> 00:07:35,596 Patty 124 00:07:35,596 --> 00:07:36,056 Vipi? 125 00:07:36,056 --> 00:07:36,346 Habari? 126 00:07:36,346 --> 00:07:38,136 Waambaje? 127 00:07:38,136 --> 00:07:38,786 Ni vyema kukuona 128 00:07:38,786 --> 00:07:40,496 Ni vyema kukuona 129 00:07:40,496 --> 00:07:42,106 Imekuwa muda mrefu 130 00:07:42,106 --> 00:07:42,636 Najua. Ndio 131 00:07:42,636 --> 00:07:43,686 Umekuwaje? 132 00:07:43,686 --> 00:07:44,846 Vyema 133 00:07:44,846 --> 00:07:46,596 Vyema. Asante kwa kunialika. 134 00:07:46,756 --> 00:07:49,376 Nimewekeza kwa watoto kwa umma hiyo 135 00:07:49,376 --> 00:07:51,506 Kwa sababu nimekuwa huko kwa muda mrefu 136 00:07:51,506 --> 00:07:52,256 Kwa sababu tulikuwa wakaazi. 137 00:07:52,516 --> 00:07:56,006 Na sasa naona kizazi cha pili cha familia yangu. 138 00:07:56,146 --> 00:07:58,976 mtaala wa utamaduni mseto ulianza 139 00:07:58,976 --> 00:08:02,636 mnamo 91-92 kama jaribio. 140 00:08:03,146 --> 00:08:07,546 Lini Rodney King... nadhani hito ilikuwa 90... 141 00:08:08,116 --> 00:08:10,506 Ilichochewa 92 142 00:08:10,506 --> 00:08:11,376 ndio 92. 143 00:08:11,416 --> 00:08:15,946 tukio la Rodney King ambayo watu walishuhudia 144 00:08:15,946 --> 00:08:20,476 duniani kote dhidi ya watoto ilisababisha tuanze 145 00:08:20,476 --> 00:08:23,626 kuongea tena kuhusu tulichokiita 146 00:08:23,626 --> 00:08:24,426 akina Rodney King zetu za siri. 147 00:08:24,686 --> 00:08:27,946 mazingira ambayo familia zilihisi 148 00:08:27,946 --> 00:08:31,376 kuwa hawajashughulikiwa kwa heshima. 149 00:08:32,186 --> 00:08:35,066 Hiyo ilikuwa sehemu kubwa ya kazi yetu, kuhakikisha 150 00:08:35,066 --> 00:08:37,905 tunaishi kulingana na kanuni 151 00:08:37,966 --> 00:08:39,746 ambazo zilikuwa zimeundwa 152 00:08:39,746 --> 00:08:41,566 kutokana na mijadala hospitalini. 153 00:08:42,035 --> 00:08:45,466 kuwa kulingana na muundo wa kitivo katika hospitali ya watoto 154 00:08:45,946 --> 00:08:48,166 na muundo wa wagonjwa tuliokuwa tukiwahudumia 155 00:08:48,226 --> 00:08:50,556 hicho kitivo hakingeweza kufunza kuhusu mambo 156 00:08:50,556 --> 00:08:54,306 ya utamaduni na tofauti ya rangi na kadhalika 157 00:08:54,306 --> 00:08:57,586 Kwa hivyo tulitumia muda mwingi kufanya kazi na makundi ya kijamii 158 00:08:57,586 --> 00:09:00,356 na familia kuja kufunza 159 00:09:00,606 --> 00:09:03,236 Na nikifikiria istilahi mbili, umahiri wa kitamaduni na 160 00:09:03,406 --> 00:09:07,426 unyenyekevu kwa utamaduni kwangu umahiri wa kitamaduni inaelezea 161 00:09:07,426 --> 00:09:09,606 somo, mada na wajua... 162 00:09:09,606 --> 00:09:12,516 Na watu wanahisi kuwa nafaa kujua hili au la 163 00:09:12,516 --> 00:09:14,906 na kama sijui hili, siko mwerevu 164 00:09:14,906 --> 00:09:17,556 Ilhali kwangu unyenyekevu wa kitamaduni ni filosofia 165 00:09:17,646 --> 00:09:21,526 ni mtazamo, ni chombo 166 00:09:21,526 --> 00:09:25,556 Siyo kitu kilicho. Sitakuwa gwiji kwayo. 167 00:09:25,746 --> 00:09:29,376 Ni mtazamo wangu, ni jinsi nitashughulika hali. 168 00:09:29,376 --> 00:09:30,966 Mwaka uliopita nilikuwa mratibu 169 00:09:30,966 --> 00:09:34,636 wa timu ya msaada kwa wanafunzi amabayo ni mikutano 170 00:09:34,636 --> 00:09:36,906 ambayo familia huwa na walimu 171 00:09:36,906 --> 00:09:38,216 wakati ambapo watoto huwa mashakani. 172 00:09:39,076 --> 00:09:46,546 Na ilisisimua kujaribu kung'amua kuwa 173 00:09:47,096 --> 00:09:50,266 mikutano hiyo ilifaulu kwa njia moja au nyigine 174 00:09:50,266 --> 00:09:52,396 na kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni. 175 00:09:53,006 --> 00:09:55,616 Kujaribu kusema kwa 176 00:09:55,616 --> 00:10:00,096 wenzangu kazini kusikia alichokuwa akipitia mzazi huyu 177 00:10:00,866 --> 00:10:03,796 na kile ambacho huyu mzazi anasikia kuhusu mtoto wake. 178 00:10:05,046 --> 00:10:08,756 Acha tujaribu kulizungumzia hili kama chanzo kuliko 179 00:10:08,826 --> 00:10:10,196 wajua...XYZ. 180 00:10:10,326 --> 00:10:14,476 Mojawapo ya vitu vilivyo nisaidia sana kuweza 181 00:10:14,476 --> 00:10:17,756 kuwa na amani na kutokujua ni 182 00:10:17,756 --> 00:10:22,416 kuwa, kwa muda mrefu nilichanganya kutojua 183 00:10:22,416 --> 00:10:24,176 na ukosefu wa akili. 184 00:10:24,176 --> 00:10:26,656 Na rafiki yangu mpendwa akanielezea mara moja 185 00:10:26,656 --> 00:10:29,836 nilipokuwa nazungumza kuhusu mada hii, alisema siyo 186 00:10:29,836 --> 00:10:33,356 kwamba siyo kuwa huna akili, ni kwamba chemchemi yako 187 00:10:33,356 --> 00:10:36,466 ya maarifa hususan katika eneo hili haipo. 188 00:10:36,856 --> 00:10:38,766 Kwa hivyo haikupunguzi akili 189 00:10:38,766 --> 00:10:40,656 kwa kiwango chochote cha mawazo. 190 00:10:40,656 --> 00:10:42,966 Haujui kwa sababu hakuna mtu amekuambia 191 00:10:42,966 --> 00:10:44,546 au haujawahi uliza swali hilo 192 00:10:45,626 --> 00:10:48,386 Na ilinifanya kuuliza maswali milioni 193 00:10:48,386 --> 00:10:51,796 kwa sababu sasa sikuhisi kuwa nilikuwa naambia dunia 194 00:10:51,796 --> 00:10:53,266 au mtu au mgonjwa 195 00:10:53,266 --> 00:10:55,836 au jamii kuwa mimi ni mjinga. 196 00:10:55,836 --> 00:10:57,516 Nilifurahi kusema tu kuwa sijui. 197 00:10:57,516 --> 00:10:58,956 Sawa na chemchemi ya maarifa 198 00:10:58,956 --> 00:11:00,336 na udaktari, hamna njia 199 00:11:00,336 --> 00:11:02,476 kujua kitu ila kwa kujifunza kulihusu. 200 00:11:02,726 --> 00:11:04,896 Lakini haipunguzi kwa njia yoyote 201 00:11:04,896 --> 00:11:05,546 akili zako. 202 00:11:05,546 --> 00:11:09,346 Mara ningeweza kutofautisha, nilikuwa sawa 203 00:11:09,346 --> 00:11:10,286 na kutojua tena. 204 00:11:10,926 --> 00:11:13,596 Makala huandikwa lakini haichapishwi mara moja 205 00:11:14,036 --> 00:11:16,116 kuhusu tuliojifunza kutokana na yote 206 00:11:16,116 --> 00:11:17,666 ya hii kazi ya kufanya kazi na majamii. 207 00:11:17,666 --> 00:11:19,466 Na hiki ndicho kifungo cha unyenyekevu kwa utamaduni 208 00:11:19,466 --> 00:11:22,586 ambacho watu sasa wamekitumia katika maeneo mengi, 209 00:11:22,586 --> 00:11:25,236 siyo tu katika udaktari lakini pia kwa elimu. 210 00:11:25,546 --> 00:11:30,146 Mashirika mengi yasiyo ya faida hutumia kanuni za unyenyekevu kwa utamaduni 211 00:11:30,146 --> 00:11:30,536 katika kazi zao 212 00:11:30,976 --> 00:11:32,236 Kanuni siyo tu 213 00:11:32,236 --> 00:11:34,566 kuhusu shughuli binafsi na tabia. 214 00:11:35,036 --> 00:11:38,276 Taasisi zimebidi kuwa na tafakari ya kibinafsi. 215 00:11:38,486 --> 00:11:41,886 wasomi wa kutokoma lazima waamini fika kuwa jamii 216 00:11:41,886 --> 00:11:45,066 zinazohudumiwa zinajua wanachotaka 217 00:11:45,066 --> 00:11:47,506 na wanachohitaji na kuwa wako katika sehemu nzuri 218 00:11:47,506 --> 00:11:48,766 kutueleza hicho wanachokitaka au kuhitaji 219 00:11:49,516 --> 00:11:55,966 [muziki] 220 00:11:56,466 --> 00:12:00,626 Wanaoishi katika umaskini wako na fursa ndogo na uwezo 221 00:12:00,626 --> 00:12:03,386 wa kubadili mfumo wa sera za umaskini 222 00:12:03,806 --> 00:12:06,246 na mara nyingi hunyimwa suluhisho fanisi 223 00:12:06,246 --> 00:12:08,796 kupambana na ukiukaji wa haki zao za kibinadamu. 224 00:12:09,286 --> 00:12:11,506 na nalijali sana hili swala 225 00:12:11,506 --> 00:12:15,296 kwa sababu kakangu ni mtu bila hatia mwenye ulemavu 226 00:12:15,556 --> 00:12:18,986 ambaye ameshikiliwa kwa ninachokiita utumwa mamboleo 227 00:12:19,616 --> 00:12:23,226 kwa miaka miwili sasa kwa yale ambayo hakuyafanya. 228 00:12:23,226 --> 00:12:24,696 Na ninakuja kwako kwa sababu 229 00:12:24,806 --> 00:12:26,476 mfumo wa haki unaokisia haijaundwa 230 00:12:26,556 --> 00:12:27,476 kunufaisha jamii yangu. 231 00:12:27,476 --> 00:12:31,956 Na ninaweza sauti ya mnyanyasaji ukisisitiza, la! 232 00:12:32,236 --> 00:12:33,526 Haufai kuwa na haki. 233 00:12:34,296 --> 00:12:38,016 Sisi tu. Hauna historia. sisi tu. 234 00:12:38,016 --> 00:12:40,636 Hauna uwezo wa kudhibiti nafsi, sisi tu. 235 00:12:41,246 --> 00:12:43,126 Haukumbuki kinachopiganiwa. 236 00:12:43,626 --> 00:12:44,096 Sisi tu. 237 00:12:44,776 --> 00:12:48,706 Kuna hizi nyakati ambazo hugusa umakini wa kila mtu 238 00:12:48,706 --> 00:12:49,966 na tunaweza tumia kama fursa ya kunufaika. 239 00:12:49,966 --> 00:12:53,656 Na nafikiria Rodney King, majibu mengi 240 00:12:53,656 --> 00:12:57,386 kwa Rodney King ndiyo iliibua mijadala nyingi na 241 00:12:57,386 --> 00:13:00,816 upelelezi mwingi wa moyo na watu kutafuta sana njia 242 00:13:00,816 --> 00:13:02,836 tunazoweza kuwa na mijadala hii 243 00:13:03,176 --> 00:13:04,456 na matokeo bora. 244 00:13:05,236 --> 00:13:07,136 halafu inafifia. 245 00:13:08,516 --> 00:13:16,576 [muziki] 246 00:13:17,076 --> 00:13:20,076 Afisa watatu wa polisi wanaokabiliwa na mashtaka ya uhalifu 247 00:13:20,276 --> 00:13:21,886 walikuwa miongoni mwa kundi la 15 248 00:13:21,886 --> 00:13:25,206 waliomsimamisha mwanaumme mweusi mwenye miaka 25 jumamosi usiku 249 00:13:25,556 --> 00:13:27,506 halafu wakampiga, wakampiga mateke na kwa rungu 250 00:13:27,506 --> 00:13:31,336 Kile ambacho mtangazaji wa redioni Mary Mason alirekodi simu nyingi 251 00:13:31,426 --> 00:13:33,686 kutoka kwa wanachama wa jamii ya walioweusi waliokasirika 252 00:13:33,686 --> 00:13:38,926 na uamuzi, walioshtushwa na vurugu iliyofuatia. 253 00:13:39,396 --> 00:13:41,716 Tunahitaji upendo na heshima kwa kila mmoja 254 00:13:41,716 --> 00:13:42,016 Tunahitaji (haisikiki). 255 00:13:44,266 --> 00:13:48,066 Mwaka wa 2010 Arizona walipitisha sheria inaowapa mamlaka polisi wa mtaa 256 00:13:48,626 --> 00:13:51,856 kukagua hadhi ya uraia ya yeyote wanaomshuku 257 00:13:51,936 --> 00:13:54,266 kuwa ni mhamiaji haramu ndani ya Marekani. 258 00:13:55,176 --> 00:13:57,766 Ni nani aliye na haki ya kumuita binadamu mwenzake haramu? 259 00:13:58,666 --> 00:14:01,426 Wengi wa hawa wasio halali ndio wanaofanya kazi mashambani, 260 00:14:01,876 --> 00:14:05,326 kushafisha nyumba, kusawazisha ardhi- kazi ambazo zina haki 261 00:14:05,526 --> 00:14:06,846 ya kulipa chini ya msharaha wa chini. 262 00:14:07,466 --> 00:14:10,396 Kuna vitu ambavyo ni vigumu kusikia, 263 00:14:10,486 --> 00:14:13,056 na kuna vitu ambavyo ni vigumu kuona. 264 00:14:13,636 --> 00:14:16,516 Sasa ni vipi samaki haoni maji. 265 00:14:16,516 --> 00:14:19,416 Ni vigumu kama unanufaika 266 00:14:19,846 --> 00:14:23,976 kutokana na upendeleo kuiona hivyo. 267 00:14:24,666 --> 00:14:28,796 Na naweza sema inahitaji kumbukumbu ya kila mara 268 00:14:29,186 --> 00:14:32,666 Na hakika siioni kila mara. 269 00:14:32,666 --> 00:14:35,936 Na kila mara ninakumbushwa kuihusu. Nakumbushwa 270 00:14:35,936 --> 00:14:37,076 kuwa nakumbushwa kuihusu. 271 00:14:37,346 --> 00:14:40,646 Kuwa kwa nini lazima ni kumbushwe kuihusu, lakini nakumbushwa. 272 00:14:41,646 --> 00:14:44,606 Nilisikia mwanamke mzungu nyuma yetu akisema nyinyi wageni 273 00:14:44,646 --> 00:14:45,376 hamna adabu. 274 00:14:46,506 --> 00:14:49,436 Mwanzoni nilijibu kwa hasira na kuchanganyikiwa. 275 00:14:50,486 --> 00:14:52,216 Hasira kwa sababu nilihisi kubaguliwa 276 00:14:52,786 --> 00:14:53,476 na kuhukumiwa 277 00:14:53,666 --> 00:14:57,336 Kuchanganyikiwa kwa sababu alikuwa mwanamke mzee kutuliko, mbona hajaishi 278 00:14:57,336 --> 00:14:59,586 kwa miaka ya kutosha kujua kuwa yeye pia si asili 279 00:14:59,586 --> 00:15:00,606 wa nchi hii? 280 00:15:02,136 --> 00:15:04,796 Kila mara tunakumbwa na ujumbe za kina 281 00:15:05,026 --> 00:15:06,456 kuwa ngozi nyeupe ni bora zaidi. 282 00:15:06,916 --> 00:15:09,506 Sera za uhamiaji huendelea kujadiliwa 283 00:15:09,506 --> 00:15:12,076 katika ikulu ya White House, huku wenye rangi hudhurungi wakitarajia 284 00:15:12,076 --> 00:15:14,306 kupata kazi ya ziada nje ya bohari ya nyumbani. 285 00:15:14,946 --> 00:15:17,686 Ni vipi unyenyekevu wa kitamaduni unavyochipuka 286 00:15:17,686 --> 00:15:19,386 katika Kikundi cha masomo ya uanahabari cha Berkeley? 287 00:15:19,736 --> 00:15:21,766 lazima nitambue Tony Borbone [fonetiki]. 288 00:15:22,456 --> 00:15:24,706 Tony Borbone, na apumzike kwa amani, 289 00:15:24,706 --> 00:15:28,516 alikuwa mtetezi stadi wa uzuiaji wa vurugu 290 00:15:28,726 --> 00:15:33,736 niliyekutana naye katika miaka yetu ya awali ya kushughulikia uzuiaji wa vurugu 291 00:15:33,736 --> 00:15:38,706 tulipoanzisha Kikundi cha masomo ya uanahabari cha Berkeley. 292 00:15:38,886 --> 00:15:46,426 Tony alinikabili akaniuliza, unaishi Carlifonia, 293 00:15:46,856 --> 00:15:48,616 ni wafanyikazi wako wangapi wanaongea kihispania? 294 00:15:49,866 --> 00:15:53,446 Na sikuwa na yeyote. 295 00:15:53,716 --> 00:15:58,426 Na Tony, nilitaka kuseama ni mapenzi, 296 00:15:58,426 --> 00:16:01,826 haikuwa ni mapenzi ilikuwa njia ya kukabili. 297 00:16:01,826 --> 00:16:06,106 namaanisha hatimaye tulipenda kazi za kila mmoja wetu 298 00:16:06,106 --> 00:16:08,166 na tulikuwa na heshima kwa kila mmoja nadhani 299 00:16:09,536 --> 00:16:11,176 uhusiano wetu ulipo nawiri. 300 00:16:11,176 --> 00:16:18,546 Lakini hakuogopa kusema kilekilicho cha muhimu. 301 00:16:19,516 --> 00:16:59,766 [muziki] 302 00:17:00,266 --> 00:17:02,626 Ni muhimu sana kujitokeza. 303 00:17:03,166 --> 00:17:06,596 Kutenga muda katika maisha yako na kuonyesha unajali 304 00:17:06,596 --> 00:17:09,366 kuhusu jamii na kuwa hapo. 305 00:17:09,445 --> 00:17:13,106 Kwa hivyo wafanyikazi walikuwa wakishiriki katika vitendo 306 00:17:13,266 --> 00:17:16,406 vya kushurutisha mmiliki wa soko ya kuku 307 00:17:16,406 --> 00:17:17,996 aliyekuwa na deni ya mshahara ya wafanyikazi 308 00:17:18,506 --> 00:17:20,636 Wafanyikazi walikuwa wakitoka na mabango ya maandamano, 309 00:17:20,636 --> 00:17:22,486 na nilienda nao. 310 00:17:22,486 --> 00:17:24,386 hivyo nilihisi kuogopa. 311 00:17:25,036 --> 00:17:27,215 Unahisi ni kama umefichuliwa. 312 00:17:27,215 --> 00:17:30,126 Upo katika mazingira ambayo ni tofauti na baadhi 313 00:17:30,686 --> 00:17:31,976 ya vitu ambavyo nilikuwa nimefanya. 314 00:17:32,516 --> 00:17:37,556 [muziki] 315 00:17:38,056 --> 00:17:39,646 Tulipokuwa na mikutano hii kila mtu 316 00:17:39,646 --> 00:17:41,886 katika mradi alikuwa na uzoefu 317 00:17:41,886 --> 00:17:44,066 katika utafiti wa jamii 318 00:17:44,496 --> 00:17:45,766 lakini kuna msukumo. 319 00:17:45,766 --> 00:17:47,816 Unapokuwa katika mfumo wa utaalamu unazoea 320 00:17:47,866 --> 00:17:52,096 kushiriki katika mikutano na kujaribu kuchangia 321 00:17:52,096 --> 00:17:53,496 Halafu kuongezea 322 00:17:53,666 --> 00:17:56,536 tunaendeleza haya yote kwa kiingereza. 323 00:17:56,536 --> 00:17:57,906 kwa hivyo wafanyikazi wawili wengine 324 00:17:58,226 --> 00:18:01,436 kutoka kwa chama endelevu cha Uchina walikuwa wakiwatafsiria 325 00:18:01,436 --> 00:18:05,426 wafanyikazi wambao hawaelewi Kiingereza 326 00:18:05,426 --> 00:18:08,076 na kwa hivyo hawawezi kushiriki kikamilifu. 327 00:18:08,226 --> 00:18:11,536 halafu kila kitu kinafanyika haraka, watu 328 00:18:11,536 --> 00:18:13,016 wanajadiliana, na kwa mfanyikazi 329 00:18:13,016 --> 00:18:16,386 asioelewa Kiingereza ilikuwa ngumu kwake angalau 330 00:18:16,386 --> 00:18:18,416 kupata neno katika mdahalo. 331 00:18:19,586 --> 00:18:22,166 tulitafakari na watu wakatambua. 332 00:18:22,166 --> 00:18:26,226 halafu tukaanza kuendesha mikutano kwa kichina. 333 00:18:26,266 --> 00:18:28,306 halafu wanaozungumza Kiingereza wakavaa kipokea sauti masikioni 334 00:18:28,446 --> 00:18:30,556 huku wakitafsiriwa moja kwa moja. 335 00:18:30,556 --> 00:18:32,396 Wazungumzaji asili wa Kiingereza wallikuwa kimya, 336 00:18:32,686 --> 00:18:34,496 Na hiyo ilibadilisha sana hali ya mkutano. 337 00:18:34,496 --> 00:18:37,066 Lakini wafanyikazi bado walikuwa wamenyamaza. 338 00:18:37,536 --> 00:18:40,746 Kwa kuzingatia unyenyekevu wa kitamaduni tulipewa changamoto 339 00:18:40,746 --> 00:18:42,696 kufikiria kwa kina sana. 340 00:18:42,696 --> 00:18:46,666 kuhusu maana ya mila na jinsi haimaanishi kufikiria 341 00:18:46,666 --> 00:18:51,126 orodha ya hulka ambazo watu huzingatia. 342 00:18:51,446 --> 00:18:56,216 lakini kuwa inakuhusisha 343 00:18:56,216 --> 00:18:59,796 na dhana zako na jinsi unavyoonyesha dhana zako 344 00:18:59,796 --> 00:19:04,526 kwa mtu mwingine kinyume na uzoefu 345 00:19:04,526 --> 00:19:05,726 ya walivyo 346 00:19:06,516 --> 00:19:28,796 [muziki] 347 00:19:29,296 --> 00:19:30,736 Nilisikia kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni 348 00:19:30,816 --> 00:19:33,336 nilipokuwa mwanafunzi wa uzamili hapa 349 00:19:33,336 --> 00:19:34,356 katika jimbo la San Francisco. 350 00:19:34,356 --> 00:19:37,306 Lakini nahisi nilielewa kwanza unyenyekevu wa utamaduni 351 00:19:37,306 --> 00:19:39,016 kama dhana sana hapo awali maishani mwangu. 352 00:19:39,486 --> 00:19:42,626 Ilichipukia mahali pa kutoona, mahali pa kama 353 00:19:42,746 --> 00:19:44,526 kukandamiza nafsi yangu kama mwanamke mweusi 354 00:19:44,526 --> 00:19:48,686 na sasa imedilishwa kikamilifu, kama mkufunzi, 355 00:19:48,686 --> 00:19:50,706 kutambua nilivyo, ninaposimama 356 00:19:50,706 --> 00:19:52,296 darasani, ni nini hadhi yangu. 357 00:19:52,786 --> 00:19:54,836 Na pia sauti yangu yamaanisha nini duniani 358 00:19:54,836 --> 00:19:55,836 na inamaanisha nini kama mkufunzi. 359 00:19:55,836 --> 00:19:57,356 Ilitokezea kwa kujaribu kutoshea, kufanya ninachoweza 360 00:19:57,356 --> 00:20:00,956 kuwa mhindi nyumbani na siyo nje ulimwenguni. 361 00:20:01,086 --> 00:20:02,856 Na bila kueleza, imekuwa kielelezo cha utambulisho 362 00:20:03,126 --> 00:20:09,726 niliyojua ipo 363 00:20:09,726 --> 00:20:10,996 ambayo singeweza kueleza nilipokuwa. 364 00:20:10,996 --> 00:20:12,976 na sasa inasema huyo mtu ni nani 365 00:20:12,976 --> 00:20:16,216 na kutambua nguvu na hadhi yangu 366 00:20:16,216 --> 00:20:20,526 kujiangalia kwa njia fulani. 367 00:20:20,526 --> 00:20:21,766 pia nasema kuwa mimi ni mwanamke wa rangi, 368 00:20:22,186 --> 00:20:25,126 Niko na cha muhimu cha kusema na niko hapa. 369 00:20:25,126 --> 00:20:28,246 Nadhani kuwa il mradi tupo na nguvu na hadhi 370 00:20:28,336 --> 00:20:30,936 katika jamii tutapambana na kuwa wanyenyekevu sana 371 00:20:30,936 --> 00:20:34,476 kama wanawake wa rangi, kama wanawake wanatoka 372 00:20:34,646 --> 00:20:36,496 katika tabaka ya wafanyikazi, kama wanawake wanatoka 373 00:20:36,496 --> 00:20:38,236 katika asili ya kulipwa mshahara mdogo 374 00:20:38,236 --> 00:20:39,756 ama asili za mali finyu, sawa? 375 00:20:40,496 --> 00:20:42,306 Il mradi kuna nguvu na hadhi 376 00:20:42,306 --> 00:20:43,596 katika jamii, najua kuwa nitakuwa nikipambana nazo 377 00:20:43,746 --> 00:20:46,236 na kupambana nazo kila siku. 378 00:20:46,236 --> 00:20:48,286 [Muziki] 379 00:20:49,516 --> 00:21:05,546 Nilichunguza {haisikiki] hapa 380 00:21:06,046 --> 00:21:07,606 kuona jinsi sera zetu za sasa zinaunganisha 381 00:21:07,606 --> 00:21:10,486 na kuratibisha zinalenga wanafunzi wenye jinsia isiyo asili. 382 00:21:10,486 --> 00:21:13,236 Na nilikuwa nikitafakari 383 00:21:13,236 --> 00:21:16,406 kuhusu jinsi inavyohusika 384 00:21:16,996 --> 00:21:19,356 na mada ya jioni ya leo ya unyenyekevu kwa utamaduni 385 00:21:19,886 --> 00:21:24,086 kwa sababu tunaongea kuhusu huntha. 386 00:21:24,086 --> 00:21:27,316 au hulka za rika katika [haisikiki] na jinsi inavyoheshimiwa au la 387 00:21:27,596 --> 00:21:30,836 >>Sawa. 388 00:21:31,106 --> 00:21:31,436 na jinsi taasisi hii inaweza kuwa kufaa kitamaduni 389 00:21:31,556 --> 00:21:36,516 au kunyenyekea ama kuheshimu wanaopitia huntha 390 00:21:36,846 --> 00:21:41,436 wanapokuja hapa. 391 00:21:41,436 --> 00:21:43,226 Wakufunzi wakiafya ninaofanya kazi nao 392 00:21:43,226 --> 00:21:45,726 wote ni wanawake huntha. 393 00:21:45,726 --> 00:21:47,686 Na haswa siku yangu ya pili kazini, niliingia kwenye mkutano, 394 00:21:48,336 --> 00:21:52,516 na ilikuwa kamati ya bodi ya ushauri 395 00:21:52,516 --> 00:21:55,306 ya wanawake wote huntha. 396 00:21:55,796 --> 00:21:57,656 Ilikuwa ya kutatiza sana 397 00:21:57,836 --> 00:21:59,306 lakini kwa wakati huo huo walinifanya nitulie. 398 00:21:59,306 --> 00:22:01,626 Walianza kuniuliza maswali ni kama waliona , na kusema 399 00:22:01,626 --> 00:22:07,326 kwa hivyo unatoka wapi? 400 00:22:07,406 --> 00:22:09,486 Nikawajibu mimi ni mhajemi. 401 00:22:09,486 --> 00:22:10,686 oh twajua huu msichana huntha kutoka mashariki ya kati, 402 00:22:10,686 --> 00:22:13,036 unamjua? 403 00:22:13,036 --> 00:22:14,506 Nikajibu, simjui 404 00:22:14,506 --> 00:22:15,806 Kwa hivyo ufafanuzi wangu wa unyenyekevu wa utamaduni ni 405 00:22:15,896 --> 00:22:21,426 kuwa tayari kujifunza kila wakati 406 00:22:22,006 --> 00:22:25,436 Ninachowataka mfanye ni zunguka na kujitambulisha 407 00:22:25,626 --> 00:22:30,056 na kutuambia unyenyekevu kwa utamaduni unamaanisha nini kwako. 408 00:22:30,056 --> 00:22:33,066 Wakati wangu wa kwanza kuwa na shauku kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni 409 00:22:33,066 --> 00:22:35,026 ilikuwa nilipokuwa mwanafunzi wa shahada ya kwanza katika chuo kikuu. 410 00:22:35,466 --> 00:22:37,986 nilikuwa kurutu katika shirika fulani. 411 00:22:37,986 --> 00:22:39,046 Na walikuwa wakifanya mafunzo ya umahiri wa utamaduni 412 00:22:39,476 --> 00:22:43,606 kwa jamii wakazi wa kisiwa cha Pasifiki na kufanya kazi 413 00:22:43,606 --> 00:22:45,776 na jamii za wakazi wa visiwa vya Pasifiki 414 00:22:45,776 --> 00:22:47,016 Na kama mwanamke wa ukoo mbili za kisiwa cha Pasiki. 415 00:22:47,366 --> 00:22:50,326 Nilifurahi sana na pia na wasiwasi kuhudhuria mafunzo yale na kujifunza 416 00:22:50,326 --> 00:22:54,476 kuhusu nyenzo ambayo ingeainishwa na kujadiliwa. 417 00:22:54,476 --> 00:22:56,976 na jinsi mimi na wengine tungejifunza, 418 00:22:57,306 --> 00:22:59,856 kuhusu mila za kisiwa cha pasifiki na kufanya kazi na wakazi wa huko 419 00:23:00,506 --> 00:23:03,896 kuhusu mambo ya afya ambayo yalikuwa muhimu kwa jamii. 420 00:23:03,896 --> 00:23:06,316 Nadhani baada ya kuhudhuria mafunzo niligundua kuwa 421 00:23:06,786 --> 00:23:10,546 kulikuwa na hisia ya mafanikio na ukamilishaji 422 00:23:10,546 --> 00:23:13,646 kwa wale ambao walishiriki 423 00:23:13,646 --> 00:23:15,406 halafu nilitangulizwa kwa unyenyekevu wa kitamaduni 424 00:23:15,406 --> 00:23:19,486 kama mwanafunzi wa shahada ya kwanza darasani, 425 00:23:19,486 --> 00:23:20,896 ilifanyika wakati huo huo. 426 00:23:21,326 --> 00:23:22,656 Na nikawa na hisia ya mafanikio na ufanikishaji 427 00:23:22,656 --> 00:23:26,786 na umahiri na kuelewa mipaka ya kujielimisha. 428 00:23:26,786 --> 00:23:30,186 Siwezi kukuambia kihakika maana ya unyenyekevu wa kitamaduni kwangu. 429 00:23:30,436 --> 00:23:33,796 Nahisi kuwa naitenda na hivyo ndivyo naijua 430 00:23:33,796 --> 00:23:37,096 Kitu moja ambayo naifikiria 431 00:23:37,096 --> 00:23:40,206 au ninayoitenda ni unenyekevu wa kitamaduni ni 432 00:23:40,206 --> 00:23:44,396 kihispania 433 00:23:44,396 --> 00:23:47,536 kihispania 434 00:23:47,536 --> 00:23:50,476 kihispania 435 00:23:50,476 --> 00:23:52,369 kihispania 436 00:23:52,389 --> 00:23:54,759 Kihispania 437 00:23:54,759 --> 00:23:56,976 kuwa na asili ya kisayansi na kuja 438 00:23:56,976 --> 00:23:59,696 katika afya ya kijamii bila kuwahi kusikia unyenyekevu wa kitamaduni 439 00:23:59,696 --> 00:24:04,186 katika sayansi iliibua maswali 440 00:24:04,186 --> 00:24:06,526 Kwa sababu utamaduni ni kitu kinacho sisitizwa, 441 00:24:07,396 --> 00:24:11,006 siyo kitu kitu kinacho zungumzwa kwa njia inayofaa 442 00:24:11,006 --> 00:24:13,996 Kumekuwa na vizuizi vinavyoonekana peupe 443 00:24:14,496 --> 00:24:18,536 kwa jamii ya wachache katika sayansi. 444 00:24:18,666 --> 00:24:20,896 Unaweza iona ukiwa katika madarasa ya sayansi. 445 00:24:21,176 --> 00:24:22,946 Unaweza iona ukiwa katika makundi ya utafiti. 446 00:24:22,946 --> 00:24:25,616 Unaweza iona ukimwangalia maprofesa wako. 447 00:24:25,926 --> 00:24:28,096 nasiongelei tu jamii za wachache kwa kuzingatia ukoo au rangi 448 00:24:28,616 --> 00:24:31,066 naongelea jamii za wachache ambao hawana uakilishi 449 00:24:31,066 --> 00:24:33,856 katika sayansi, kwa mfano ukoo au rangi ni sababu 450 00:24:33,856 --> 00:24:36,596 lakini jinsia na maumbil ya kijinsia siyo. 451 00:24:36,906 --> 00:24:39,286 Nilijifunza kuhusu unyenyekevu wa kitamaduni sehemu mbili 452 00:24:39,286 --> 00:24:43,426 kwa utamaduni wangu kuwa wa kikambodia na kusini mashariki mwa Asia 453 00:24:43,896 --> 00:24:47,046 kutojua chochote kuihusu kulifanya nikejeliwe na jamaa zangu 454 00:24:47,636 --> 00:24:50,406 kuhusu kutoongea vizuri. 455 00:24:50,406 --> 00:24:52,356 halafu baada ya kuenda chuoni na kujifunza kuihusu 456 00:24:52,976 --> 00:24:57,496 katika anthropolojia na kuhoji wazazi wangu 457 00:24:57,496 --> 00:25:00,136 kuhusu uzoefu wao macho yangu yalifumbuka. 458 00:25:00,786 --> 00:25:03,586 Mojawapo ya vitu ambayo nimejifunza katika 459 00:25:03,976 --> 00:25:09,416 miaka kadhaa iliyopita nataka kusema ni kusikiza ninachokisema. 460 00:25:09,496 --> 00:25:13,236 Na namaanisha kusikiliza kwa makini ninachokisema. 461 00:25:13,236 --> 00:25:15,726 Na kitu ambacho nimejifunza kusikiliza ni 462 00:25:16,486 --> 00:25:19,616 ninaposema mimi, Naamini hii, nafanya hii, na kusikiliza sasa 463 00:25:19,616 --> 00:25:25,276 kuwa ni tofauti na sisi 464 00:25:25,276 --> 00:25:27,806 Sisi nasikia sana katika habari, sisi Wamarekani, sawa? 465 00:25:27,806 --> 00:25:32,166 kama sisi, ni nani 'sisi' anaongea kumhusu? 466 00:25:32,646 --> 00:25:36,226 Ni kufikiria na kusikiliza tunapotumia mimi na sisi. 467 00:25:36,386 --> 00:25:39,676 Nilipokuwa nakua nilipata hamu ya utamaduni 468 00:25:39,676 --> 00:25:43,206 na dini nyinginezo na kujifunza tu kuhusu vitu 469 00:25:43,206 --> 00:25:46,766 kutoka kwa asili nyinginezo. 470 00:25:46,926 --> 00:25:48,136 Kwa hivyo nadhani hiyo ilinifanya kuwa mnenyekevu kitamaduni 471 00:25:48,506 --> 00:25:53,386 kwa sababu nilikuwa na hamu 472 00:25:53,946 --> 00:25:55,986 kwa hivyo baada ya kusoma kwa mwaka moja Afrika magharibi, nilirudi nikisema, 473 00:25:55,986 --> 00:26:00,546 Eh Mungu wangu, sijui chochote, sijui chochote 474 00:26:00,546 --> 00:26:03,516 kuhusu watu weusi, sijui chochote kuhusu Waafrika. 475 00:26:03,516 --> 00:26:06,786 namaanisha ilibadilisha mtazamo wangu. 476 00:26:06,786 --> 00:26:08,676 Amani. Nafikiria ninapoketi mahali pa unyenyekevu 477 00:26:12,586 --> 00:26:18,796 kuwa kuwa utulivu na nafasi na kuwa sawa 478 00:26:19,366 --> 00:26:24,766 na raha ambayo inakaribia amana ya kuwa 479 00:26:25,336 --> 00:26:29,926 na mtu mwingine amabye naweza fikiria. 480 00:26:29,926 --> 00:26:32,836 Kama lazima niifikirie 481 00:26:34,856 --> 00:26:36,116 kama barabara basi ningeweza fikiria 482 00:26:36,116 --> 00:26:40,896 kuhusu barabara inayopinda. 483 00:26:40,936 --> 00:26:43,396 Na kama upinde hauwezi --kwangu kwa dhana ya kucheza 484 00:26:47,866 --> 00:26:51,916 upinde unaoenda juu lazima uje chini pia 485 00:26:52,216 --> 00:26:55,056 ina uendelevu 486 00:26:55,056 --> 00:26:56,176 na katika uendelevu vitu vingi hufanyika 487 00:26:57,526 --> 00:27:01,786 na nguvu za aina nyingi zinaweza badili umbo lake 488 00:27:01,786 --> 00:27:04,046 au kina cha kinapoweza kufika. 489 00:27:04,046 --> 00:27:05,046 Unyenyekevu wa utamaduni hakika ni safari kwangu 490 00:27:05,046 --> 00:27:07,056 Unyenyekevu wa kitamaduni hakika ni safari kwangu, 491 00:27:07,446 --> 00:27:10,356 Na ni safari ambayo najua kutakuwa na 492 00:27:10,356 --> 00:27:12,416 changamoto na nipo ndani yazo. 493 00:27:12,416 --> 00:27:14,516 Na ninajua kila changamoto nitakayo jifunza kwayo. 494 00:27:15,206 --> 00:27:19,146 Na nadhani ni mchakato ambao lazima nipitie kila siku 495 00:27:19,486 --> 00:27:24,686 na ambayo niko sawa kupitia. 496 00:27:24,876 --> 00:27:26,416 Na hakika inanifanya kuwa na nguvu zaidi na uerevu zaidi 497 00:27:26,416 --> 00:27:28,456 na natuhahi hekima zaidi kuliko nilivyokuwa jana. 498 00:27:28,856 --> 00:27:33,606 [muziki] 499 00:27:34,516 --> 00:29:21,500 muziki