0:00:00.000,0:00:01.977 {muziki wa kizalendo} 0:00:03.243,0:00:06.261 Ukitaka kuweza kupiga kura Novemba 0:00:06.261,0:00:08.071 Itabidi umejisajilisha kwanza 0:00:08.071,0:00:09.737 hakikisha kutumia fungo hili 0:00:09.737,0:00:12.021 kuona kama umesajiliwa tiyari. Kama bado 0:00:12.021,0:00:14.806 ama kama ulihama au kubadli jina tangia 0:00:14.806,0:00:18.338 ulipopiga kura tumia hilo fungo kusajili 0:00:18.338,0:00:21.103 Kwa wale ambao wana leseni halali ya udereva ya Georgia 0:00:21.103,0:00:23.709 ingiza nambari ya hiyo leseni kenye fomu mtandaoni 0:00:23.709,0:00:27.364 Kama hauna leseni ya udereva ya Georgia, utaulizwa uipige chapa na kutia sahihi. 0:00:27.364,0:00:29.006 na hatimaye kuituma kutumia posta. 0:00:29.006,0:00:31.597 Najua inaudhi lakini ni muhimu kwa hivyo fanya tu. 0:00:31.597,0:00:33.451 Makataa ya kusajili ni tarehe 5 Oktoba 0:00:33.451,0:00:36.248 ukitaka kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Novemba 3 0:00:36.248,0:00:39.112 Ukishajisajili unaweza chagua jinsi kadhaa 0:00:39.112,0:00:41.716 ya kupiga kura. Yeyote aliye Georgia anaweza piga kura kwa njia ya posta 0:00:41.716,0:00:44.046 al maarufu kama kupiga kura kwa kutokuwa' 0:00:44.046,0:00:46.774 unachofaa kufanya ni kuyeyusha fomu kutoka kwenye fungo hili 0:00:46.774,0:00:49.803 lijaze kisha ulitume kwa ofisi ya mrajisi wa bodi ya gatuzi lako. 0:00:49.803,0:00:52.384 Hii hapa fungo la anwani zote maelezoni 0:00:52.384,0:00:54.069 Kimsingi, maombi ya kupiga kura kwa kutokuwa yanakubalika Georgia kabla ya OKtoba 30. 0:00:54.069,0:00:57.143 Pindi unapotuma ombi la kijisajili kama mpiga kura wa kutokuwa utapata 0:00:57.143,0:01:00.927 kura yako na kuchukua muda mrefu wa kufanya uamuzi mwafaka. 0:01:00.927,0:01:02.654 na kutuma kupitia posta kabla ya Novemba 3 0:01:03.522,0:01:05.641 Pia unaweza piga kura mapema kuanzia Oktoba 12 hadi November 3 0:01:08.174,0:01:09.431 Nyakati na maeneo yanatofautiana kutoka gatuzi moja hadi nyingine lakini zote zinakukubalia 0:01:09.431,0:01:13.126 kupiga kura mapema angalau Jumamosi moja ikiwa kupiga kura mwishoni mwa wiki inakufaa. 0:01:13.126,0:01:16.553 kuna fungo katika maelezo ambapo unaweza chagua gatuzi lako 0:01:16.553,0:01:19.263 na itakueleza lini na wapi unaweza piga kura mapema. 0:01:19.263,0:01:22.703 Ukitaka mbwembwe za kupiga kura binafsi Novemba 3 0:01:22.703,0:01:26.683 ingawa unaweza pata pa kupigia kura kutumia fungo uliotumia kujisajili. 0:01:26.683,0:01:30.256 Vituo vya kupiga kura inafunguliwa saa moja asubuhi hadi saa moja jioni nchini kote. 0:01:30.256,0:01:34.009 Watakubali leseni ya udereva, kitambulisho cha jimbo, paspoti, kitambulisho cha jeshi au kitambulisho cha kabila 0:01:34.009,0:01:36.558 Usipokuwa na aina yoyote ya hizo vitambulisho 0:01:37.703,0:01:40.179 unaweza pata kitambulisho cha kupiga kura cha bure katika ofisi ya mrajisi wa gatuzi lako au DMV 0:01:40.179,0:01:44.349 Saa ambazo ofisi hizo zimefunguliwa zinaweza tofautiana na pia unahitaji cheti cha kuzaliwa. 0:01:44.349,0:01:46.604 na thibitisho ya anwani kupata kitambulisho cha kupiga kura cha bure. 0:01:46.604,0:01:47.501 anza kuishughulikia sasa 0:01:47.501,0:01:49.961 Ukitaka kuona kila kitu utakacho kipigia kura 0:01:49.961,0:01:52.391 kuna fungo hapa chini kukuelekeza unapoweza kupata sampuli ya kura 0:01:52.391,0:01:54.731 ni fungo hilohilo utakalolitumia kujisajili na kuangalia eneo lako la kupiga kura 0:01:54.731,0:01:56.913 Hii inakupatia nafasi ya kutafiti wagombea 0:01:56.913,0:01:58.601 katika uchaguzi wako wa mitaa mapema 0:01:58.601,0:02:01.711 Si lazima upigie kura kila kipengee katika karatasi ya kura kama hautaki. 0:02:01.711,0:02:04.773 lakini ukitaka kuwa na semi katika kura hizo za maana za mitaa 0:02:04.773,0:02:07.267 ni muhimu kujua ni nini inaendelea huko 0:02:07.267,0:02:09.007 kabla ya kuingia katika kibanda cha kupiga kura 0:02:09.007,0:02:12.027 ukitaka unaweza kupiga moja chapa na kuja nayo kwa eneo la kupiga kura 0:02:12.027,0:02:14.010 hivyo, unaweza kumbuka unayetaka kumpigia kura 0:02:14.010,0:02:15.830 Cha mwisho, kama unaenda kupiga kura 0:02:15.830,0:02:18.555 fungua programu yako ya nakala au karatasi na ufanye mpango 0:02:18.555,0:02:20.552 andika lini na vipi unaenda kujisajili 0:02:20.552,0:02:23.100 ni wakati upi utapiga kura na ni vipi utafika huko 0:02:23.100,0:02:24.530 ni kitambulisho kipi utakitumia 0:02:24.530,0:02:26.649 na hata kukileta katika kituo cha kupiga kura 0:02:26.649,0:02:28.589 Kuwa na mpango ni nji mwafaka ya kuhakikisha 0:02:28.589,0:02:31.239 kuwa hakuna kitu usichokitarajia kitakacho kuzuia kupiga kura Novemba 3 0:02:31.239,0:02:33.359 Fungo zote unazohitaji kuangalia usajili wako 0:02:33.359,0:02:35.109 na vituo vya kupiga kura vitakuwa katika maelezo 0:02:35.109,0:02:36.580 Asante kwa kupiga kura 0:02:36.580,0:02:38.971 Jinsi ya kupiga kura katika kila jimbo inaandaliwa na Complexly 0:02:38.971,0:02:41.190 kwa usirikiano na mradi wa mpiga kura wa The MediaWise 0:02:41.190,0:02:44.260 inayoongozwa na taasisi ya Polynter na kuungwa mkono na facebook.