{muziki wa kizalendo}
Ukitaka kuweza kupiga kura Novemba
Itabidi umejisajilisha kwanza
hakikisha kutumia fungo hili
kuona kama umesajiliwa tiyari. Kama bado
ama kama ulihama au kubadli jina tangia
ulipopiga kura tumia hilo fungo kusajili
Kwa wale ambao wana leseni halali ya udereva ya Georgia
ingiza nambari ya hiyo leseni kenye fomu mtandaoni
Kama hauna leseni ya udereva ya Georgia, utaulizwa uipige chapa na kutia sahihi.
na hatimaye kuituma kutumia posta.
Najua inaudhi lakini ni muhimu kwa hivyo fanya tu.
Makataa ya kusajili ni tarehe 5 Oktoba
ukitaka kupiga kura katika uchaguzi mkuu wa Novemba 3
Ukishajisajili unaweza chagua jinsi kadhaa
ya kupiga kura. Yeyote aliye Georgia anaweza piga kura kwa njia ya posta
al maarufu kama kupiga kura kwa kutokuwa'
unachofaa kufanya ni kuyeyusha fomu kutoka kwenye fungo hili
lijaze kisha ulitume kwa ofisi ya mrajisi wa bodi ya gatuzi lako.
Hii hapa fungo la anwani zote maelezoni
Kimsingi, maombi ya kupiga kura kwa kutokuwa yanakubalika Georgia kabla ya OKtoba 30.
Pindi unapotuma ombi la kijisajili kama mpiga kura wa kutokuwa utapata
kura yako na kuchukua muda mrefu wa kufanya uamuzi mwafaka.
na kutuma kupitia posta kabla ya Novemba 3
Pia unaweza piga kura mapema kuanzia Oktoba 12 hadi November 3
Nyakati na maeneo yanatofautiana kutoka gatuzi moja hadi nyingine lakini zote zinakukubalia
kupiga kura mapema angalau Jumamosi moja ikiwa kupiga kura mwishoni mwa wiki inakufaa.
kuna fungo katika maelezo ambapo unaweza chagua gatuzi lako
na itakueleza lini na wapi unaweza piga kura mapema.
Ukitaka mbwembwe za kupiga kura binafsi Novemba 3
ingawa unaweza pata pa kupigia kura kutumia fungo uliotumia kujisajili.
Vituo vya kupiga kura inafunguliwa saa moja asubuhi hadi saa moja jioni nchini kote.
Watakubali leseni ya udereva, kitambulisho cha jimbo, paspoti, kitambulisho cha jeshi au kitambulisho cha kabila
Usipokuwa na aina yoyote ya hizo vitambulisho
unaweza pata kitambulisho cha kupiga kura cha bure katika ofisi ya mrajisi wa gatuzi lako au DMV
Saa ambazo ofisi hizo zimefunguliwa zinaweza tofautiana na pia unahitaji cheti cha kuzaliwa.
na thibitisho ya anwani kupata kitambulisho cha kupiga kura cha bure.
anza kuishughulikia sasa
Ukitaka kuona kila kitu utakacho kipigia kura
kuna fungo hapa chini kukuelekeza unapoweza kupata sampuli ya kura
ni fungo hilohilo utakalolitumia kujisajili na kuangalia eneo lako la kupiga kura
Hii inakupatia nafasi ya kutafiti wagombea
katika uchaguzi wako wa mitaa mapema
Si lazima upigie kura kila kipengee katika karatasi ya kura kama hautaki.
lakini ukitaka kuwa na semi katika kura hizo za maana za mitaa
ni muhimu kujua ni nini inaendelea huko
kabla ya kuingia katika kibanda cha kupiga kura
ukitaka unaweza kupiga moja chapa na kuja nayo kwa eneo la kupiga kura
hivyo, unaweza kumbuka unayetaka kumpigia kura
Cha mwisho, kama unaenda kupiga kura
fungua programu yako ya nakala au karatasi na ufanye mpango
andika lini na vipi unaenda kujisajili
ni wakati upi utapiga kura na ni vipi utafika huko
ni kitambulisho kipi utakitumia
na hata kukileta katika kituo cha kupiga kura
Kuwa na mpango ni nji mwafaka ya kuhakikisha
kuwa hakuna kitu usichokitarajia kitakacho kuzuia kupiga kura Novemba 3
Fungo zote unazohitaji kuangalia usajili wako
na vituo vya kupiga kura vitakuwa katika maelezo
Asante kwa kupiga kura
Jinsi ya kupiga kura katika kila jimbo inaandaliwa na Complexly
kwa usirikiano na mradi wa mpiga kura wa The MediaWise
inayoongozwa na taasisi ya Polynter na kuungwa mkono na facebook.