WEBVTT 00:00:06.823 --> 00:00:09.326 je umeelewa chochote? NOTE Paragraph 00:00:09.326 --> 00:00:10.725 (kicheko) 00:00:10.725 --> 00:00:13.318 hao ni takriban watu milioni 63 wasioweza kusikia hapa india 00:00:13.318 --> 00:00:17.001 wanao pitia haya kila mwaka siku baada ya nyingine 00:00:17.001 --> 00:00:19.896 kujaribu kuleta ufahamu kwa ulimwengu wasiousikia 00:00:20.436 --> 00:00:23.207 bila ufahamu na unyanyapaa kaitka jamii 00:00:23.207 --> 00:00:25.643 kwa kujaliwa na mtoto asiye na maumbile sawa 00:00:26.000 --> 00:00:27.919 wazazi hukimbia hapa na pale 00:00:27.919 --> 00:00:30.953 kujaribu kuelewa jinsi ya kumulea mtoto wao 00:00:30.953 --> 00:00:33.892 kisha wanapoelezwa hata kama mtoto wako han uwezo wa kusikia 00:00:33.892 --> 00:00:36.280 haina tatizo na sauti yake na koromeo 00:00:36.280 --> 00:00:38.396 hana shida na ala za kuwezesha sauti 00:00:38.396 --> 00:00:41.239 na anaweza fundishwa jinsi ya kuzungumza 00:00:41.239 --> 00:00:45.893 kisha unakua mwanzo wa safari ndefu ya miaka kujaribu kumfundisha 00:00:45.893 --> 00:00:50.163 huyu mtoto mdogo jinsi ya kuyatamka maneno ambayo hayasikii 00:00:50.893 --> 00:00:54.283 hata katika famila anakotoka huyu mtoto 00:00:54.283 --> 00:00:56.309 anapowasiliana na wazazi wake 00:00:56.309 --> 00:00:59.930 anapotamani kuhusika katika mazungumzo kaitka familia yake 00:00:59.930 --> 00:01:03.920 lakini hawezi. na haelewi ni kwa nini kila mmoja hamsikilizi 00:01:04.620 --> 00:01:06.732 hivo basi anaonekana kutengwa na kukosa 00:01:06.732 --> 00:01:09.923 maswala muhimu yanayo mwezesha kukua vyema 00:01:09.923 --> 00:01:14.464 anaenda shuleni akiwa na fikra,"labda mambo yatajakuwa tofauti." 00:01:14.464 --> 00:01:17.371 kisha ankutana na waalimu wakifungua vinywa na kufunga 00:01:17.371 --> 00:01:19.827 nakuandika maajabu ubaoni 00:01:19.827 --> 00:01:22.880 bila kuelewa kwa kuwa hana uwezo wa kusikia, 00:01:22.880 --> 00:01:26.997 anayaandika yote chini kisha kuyaweka kwa mtihanai yalivyo, 00:01:26.997 --> 00:01:31.474 na kwa hali hii na alama za neema anakamilisha masomo ,hadi kidato. 00:01:31.474 --> 00:01:34.704 Je, ananafasi ipi katika ajira? 00:01:34.704 --> 00:01:38.230 Hapa huyu mtoto ambaye hana masomo halisi. 00:01:38.230 --> 00:01:41.483 maneno ya kujionea,misamiati thelathini hadi arobaini. 00:01:41.483 --> 00:01:46.162 Hajihisi salama tena kihisia,na sasa anakerwa na dunia nzima, 00:01:46.162 --> 00:01:49.117 amabayo kwa sasa ,anadhani imesababisha kulemazwa kwake. 00:01:49.117 --> 00:01:53.283 Afanye ajira ipi? Kazi mza kijungu jiko,kazi zisizo za taaluma, 00:01:53.283 --> 00:01:56.172 kila wakati akiwa katika hali inayomkejeli. 00:01:56.179 --> 00:02:02.037 Na hapo ndipo safari yangu "ilipozaliwa" mwaka 2004.Sina kama alivyo nena Kelly, 00:02:02.037 --> 00:02:04.440 sina yeyote katika familia aliye na ulemavu wa kusikia. 00:02:04.440 --> 00:02:07.546 ila kwa hali geni tu na wala sio fikira bayana. 00:02:07.546 --> 00:02:09.992 niliingia katika dunia hii na kujifunza lugha ishara 00:02:09.992 --> 00:02:13.750 kwa wakati huo,ilikua ni changa moto,hakuna aliyetaka....hakuna aliyefahamu.. 00:02:13.750 --> 00:02:17.145 "Ni nini hicho wataka kusoma,Ruma? je hiyo ni lugha? 00:02:17.145 --> 00:02:22.285 Haya,kusomea lugha ishara ilifungua maisha mapya katika jamii hii 00:02:22.285 --> 00:02:24.905 ambayo ni kimya lakini inangaa 00:02:24.905 --> 00:02:28.477 na matamnio na ari ya wanfunzi wa kuona 00:02:28.477 --> 00:02:31.141 Na kisha nikasikia hadithi zao kile walichotaka kufanya 00:02:31.141 --> 00:02:38.612 Na kisha mwaka uliofuata,wa 2005, na kiasi ya akiba $5,000 00:02:38.612 --> 00:02:42.440 ya bima, nilianzisha kituo hiki 00:02:42.440 --> 00:02:46.120 kwa vyumba viwili na wanafunzi sita 00:02:46.120 --> 00:02:48.844 nami nikawa nawafundisha lugha ya kimombo kwa lugha ishara 00:02:49.597 --> 00:02:53.000 changamoto,na kwa wakati huo hitaji likawa 00:02:53.000 --> 00:02:56.116 naweza vipi kukutana na hawa watoto waliakamilisha shule ya upili 00:02:56.116 --> 00:02:58.360 kwa ajira halisi kwa makampuni? 00:02:58.360 --> 00:03:03.119 kazi za heshma.ajira zinazow eza kudhibitisha kua bubu si ujinga. 00:03:03.916 --> 00:03:08.393 Naikawa chamgamoto kuu.Na hawa bubu waliishia kuishi hivi miaka mingi. 00:03:08.393 --> 00:03:10.629 na miaka ya giza. 00:03:10.629 --> 00:03:14.094 Walihitaji wajiamini wenyewe.Wazazi walihitajika kushawishika. 00:03:14.094 --> 00:03:16.689 kuwa mtoto huyu si bubu na mjinga 00:03:16.689 --> 00:03:19.366 Na anuwezo wa kusimama kivyake kwa miguu yake miwili 00:03:19.366 --> 00:03:20.643 Basi cha muhimu zaidi 00:03:20.643 --> 00:03:23.519 itawezekana muajiri kuajiri mtu asiyeweza kuzungumza. 00:03:23.519 --> 00:03:26.987 kusikia,na hata kusona na kuandika pia 00:03:26.987 --> 00:03:30.735 Niliketi pamoja na marafiki kaitka nyanja hii, 00:03:30.735 --> 00:03:34.513 na nikawapa hadithi yangu ilivyokua maisha ya kutoweza kusikia. 00:03:34.513 --> 00:03:39.189 Na nilifahamu kuna sehemu wazi katika kampuni 00:03:39.189 --> 00:03:43.077 ambapo watu walio na ulemavu wakusikia wanaweza kufanya kazi,watu wasio na uwezo wa kisikia kuzidisha thamani. 00:03:43.077 --> 00:03:45.862 na kwa raslimali finye tulianzisha ya kwazna ya aina yake 00:03:45.862 --> 00:03:49.187 Mwito wa mtaala wa mafundisho ya watu wasio na uwezo wa kusikia nchini. 00:03:49.455 --> 00:03:54.240 Kupata waalimu ilikua vigumu.Basi niliwafundisha mwenyewe . 00:03:54.240 --> 00:03:56.800 niliwafudisha wanafunzi wangu kuwa waalimu wa watu wasio na uwezo wa kusikia. 00:03:56.800 --> 00:04:00.759 Na ni kazi walioichukulia kwa makini na wajibu wa hali ya juu. 00:04:00.759 --> 00:04:07.328 Lakini bado mwajiri alikua na wasiwasi.Masomo,na hatima ya kidato cah nne tu. 00:04:07.328 --> 00:04:09.053 "La, la, la, Ruma hatuwezi kummpa ajira." 00:04:09.053 --> 00:04:10.387 Hiyo ilikua shida kubwa 00:04:10.387 --> 00:04:12.492 " Na hata kama tunaweza kumpa ajira 00:04:12.492 --> 00:04:14.822 tutawasiliana naye vipi? Hawezi kuandika wala kusoma. 00:04:14.822 --> 00:04:16.352 hawezi sikia na kusema" 00:04:16.352 --> 00:04:19.880 Nami nikawasihi," tafdhali tuchukue haya hatua kwa wakati? 00:04:20.592 --> 00:04:23.086 Tunaweza kuzingatia yale anayoweza kutenda mwnazo? 00:04:23.086 --> 00:04:26.231 00:04:26.231 --> 00:04:29.950 00:04:29.950 --> 00:04:34.826 00:04:34.826 --> 00:04:39.132 00:04:39.132 --> 00:04:41.242 00:04:41.242 --> 00:04:44.756 00:04:44.756 --> 00:04:46.799 00:04:46.799 --> 00:04:49.791 00:04:49.791 --> 00:04:52.163 00:04:52.163 --> 00:04:54.471 00:04:54.471 --> 00:04:57.796 00:04:57.796 --> 00:05:02.830 00:05:02.830 --> 00:05:07.054 00:05:07.054 --> 00:05:10.704 00:05:10.704 --> 00:05:13.567 00:05:13.567 --> 00:05:16.416 00:05:16.416 --> 00:05:18.383 00:05:18.383 --> 00:05:22.777 00:05:22.777 --> 00:05:25.551 00:05:25.571 --> 00:05:28.498 00:05:28.498 --> 00:05:31.997 00:05:31.997 --> 00:05:34.880 00:05:34.880 --> 00:05:38.102 00:05:38.102 --> 00:05:42.284 00:05:42.284 --> 00:05:44.182 00:05:44.182 --> 00:05:46.371 00:05:46.371 --> 00:05:49.579 00:05:49.579 --> 00:05:52.637 00:05:52.637 --> 00:05:58.105 00:05:58.105 --> 00:06:00.785 00:06:00.785 --> 00:06:04.191 00:06:04.191 --> 00:06:07.600 00:06:07.600 --> 00:06:10.087 00:06:10.087 --> 00:06:15.465 00:06:15.465 --> 00:06:20.198 00:06:20.198 --> 00:06:24.379 00:06:24.379 --> 00:06:27.560 00:06:27.560 --> 00:06:30.531 00:06:30.531 --> 00:06:33.894 00:06:33.894 --> 00:06:35.676 00:06:35.676 --> 00:06:39.728 00:06:39.728 --> 00:06:42.053 00:06:42.053 --> 00:06:43.768 00:06:43.768 --> 00:06:48.174 00:06:48.174 --> 00:06:49.444 00:06:49.444 --> 00:06:56.138 00:07:02.046 --> 00:07:06.374 00:07:06.374 --> 00:07:08.144 99:59:59.999 --> 99:59:59.999