je umeelewa chochote?
(kicheko)
hao ni takriban watu milioni 63 wasioweza kusikia hapa india
wanao pitia haya kila mwaka siku baada ya nyingine
kujaribu kuleta ufahamu kwa ulimwengu wasiousikia
bila ufahamu na unyanyapaa kaitka jamii
kwa kujaliwa na mtoto asiye na maumbile sawa
wazazi hukimbia hapa na pale
kujaribu kuelewa jinsi ya kumulea mtoto wao
kisha wanapoelezwa hata kama mtoto wako han uwezo wa kusikia
haina tatizo na sauti yake na koromeo
hana shida na ala za kuwezesha sauti
na anaweza fundishwa jinsi ya kuzungumza
kisha unakua mwanzo wa safari ndefu ya miaka kujaribu kumfundisha
huyu mtoto mdogo jinsi ya kuyatamka maneno ambayo hayasikii
hata katika famila anakotoka huyu mtoto
anapowasiliana na wazazi wake
anapotamani kuhusika katika mazungumzo kaitka familia yake
lakini hawezi. na haelewi ni kwa nini kila mmoja hamsikilizi
hivo basi anaonekana kutengwa na kukosa
maswala muhimu yanayo mwezesha kukua vyema
anaenda shuleni akiwa na fikra,"labda mambo yatajakuwa tofauti."
kisha ankutana na waalimu wakifungua vinywa na kufunga
nakuandika maajabu ubaoni
bila kuelewa kwa kuwa hana uwezo wa kusikia,
anayaandika yote chini kisha kuyaweka kwa mtihanai yalivyo,
na kwa hali hii na alama za neema anakamilisha masomo ,hadi kidato.
Je, ananafasi ipi katika ajira?
Hapa huyu mtoto ambaye hana masomo halisi.
maneno ya kujionea,misamiati thelathini hadi arobaini.
Hajihisi salama tena kihisia,na sasa anakerwa na dunia nzima,
amabayo kwa sasa ,anadhani imesababisha kulemazwa kwake.
Afanye ajira ipi? Kazi mza kijungu jiko,kazi zisizo za taaluma,
kila wakati akiwa katika hali inayomkejeli.
Na hapo ndipo safari yangu "ilipozaliwa" mwaka 2004.Sina kama alivyo nena Kelly,
sina yeyote katika familia aliye na ulemavu wa kusikia.
ila kwa hali geni tu na wala sio fikira bayana.
niliingia katika dunia hii na kujifunza lugha ishara
kwa wakati huo,ilikua ni changa moto,hakuna aliyetaka....hakuna aliyefahamu..
"Ni nini hicho wataka kusoma,Ruma? je hiyo ni lugha?
Haya,kusomea lugha ishara ilifungua maisha mapya katika jamii hii
ambayo ni kimya lakini inangaa
na matamnio na ari ya wanfunzi wa kuona
Na kisha nikasikia hadithi zao kile walichotaka kufanya
Na kisha mwaka uliofuata,wa 2005, na kiasi ya akiba $5,000
ya bima, nilianzisha kituo hiki
kwa vyumba viwili na wanafunzi sita
nami nikawa nawafundisha lugha ya kimombo kwa lugha ishara
changamoto,na kwa wakati huo hitaji likawa
naweza vipi kukutana na hawa watoto waliakamilisha shule ya upili
kwa ajira halisi kwa makampuni?
kazi za heshma.ajira zinazow eza kudhibitisha kua bubu si ujinga.
Naikawa chamgamoto kuu.Na hawa bubu waliishia kuishi hivi miaka mingi.
na miaka ya giza.
Walihitaji wajiamini wenyewe.Wazazi walihitajika kushawishika.
kuwa mtoto huyu si bubu na mjinga
Na anuwezo wa kusimama kivyake kwa miguu yake miwili
Basi cha muhimu zaidi
itawezekana muajiri kuajiri mtu asiyeweza kuzungumza.
kusikia,na hata kusona na kuandika pia
Niliketi pamoja na marafiki kaitka nyanja hii,
na nikawapa hadithi yangu ilivyokua maisha ya kutoweza kusikia.
Na nilifahamu kuna sehemu wazi katika kampuni
ambapo watu walio na ulemavu wakusikia wanaweza kufanya kazi,watu wasio na uwezo wa kisikia kuzidisha thamani.
na kwa raslimali finye tulianzisha ya kwazna ya aina yake
Mwito wa mtaala wa mafundisho ya watu wasio na uwezo wa kusikia nchini.
Kupata waalimu ilikua vigumu.Basi niliwafundisha mwenyewe .
niliwafudisha wanafunzi wangu kuwa waalimu wa watu wasio na uwezo wa kusikia.
Na ni kazi walioichukulia kwa makini na wajibu wa hali ya juu.
Lakini bado mwajiri alikua na wasiwasi.Masomo,na hatima ya kidato cah nne tu.
"La, la, la, Ruma hatuwezi kummpa ajira."
Hiyo ilikua shida kubwa
" Na hata kama tunaweza kumpa ajira
tutawasiliana naye vipi? Hawezi kuandika wala kusoma.
hawezi sikia na kusema"
Nami nikawasihi," tafdhali tuchukue haya hatua kwa wakati?
Tunaweza kuzingatia yale anayoweza kutenda mwnazo?