POKEA KAZI ULIYOKUSUDIWA KWA JINA LA YESU!!!
-
0:00 - 0:05Chochote kinachosimama kati yako na kazi yako uliyokusudiwa -
-
0:05 - 0:07Iondolewe!
-
0:07 - 0:10Iondolewe kwa jina la Yesu!
-
0:10 - 0:15Chochote kitakachosimama kati yako na hatima yako ya kupandishwa cheo -
-
0:15 - 0:18Iondolewe!
-
0:18 - 0:20Iondolewe sasa hivi!
-
0:20 - 0:25Kazi yako uliyokusudiwa - ipokee sasa hivi!
-
0:25 - 0:29Mafanikio uliyokusudiwa - yapokee sasa hivi!
-
0:29 - 0:35Kupandishwa cheo kwako kulikokusidiwa - pokea sasa hivi!
-
0:35 - 0:43Ninatangaza katika maisha yako - mafanikio!
-
0:43 - 0:48Ninasema kwa imani - pokea aina ya mafanikio
-
0:48 - 0:52ambao itakufanya usahau uchungu wa zamani!
-
0:52 - 0:53Pokea hii leo!
- Title:
- POKEA KAZI ULIYOKUSUDIWA KWA JINA LA YESU!!!
- Description:
-
"Chochote kitakachosimama kati yako na kazi uliyokusudiwa - Iondolewe! Iondolewekwa jina la Yesu! Chochote kinachosimama kati yako na upandishaji cheo wako uliokusudiwa - kiondolewe! Iondolewe sasa hivi! Kazi yako iliyokusudiwa - ipokee sasa hivi! Mafanikio yako yaliyokusudiwa - yapokee sasa hivi! Upandaji cheo wako uliokusudiwa - upokee sasa hivi! Natangaza katika maisha yako - mafanikio! Nasema kwa imani - pokea aina ya mafanikio ambayo itakusahaulisha uchungu wa zamani! Upokee leo!"
Unaweza kutazama muda wote wa maombi hapa - https://www.youtube.com/watch?v=RLvxjwER2Fw
- Video Language:
- English
- Team:
- God's Heart TV
- Duration:
- 0:54
Stephenmigwi edited Swahili subtitles for RECEIVE YOUR DESTINED JOB IN JESUS' NAME!!! | ||
Stephenmigwi edited Swahili subtitles for RECEIVE YOUR DESTINED JOB IN JESUS' NAME!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for RECEIVE YOUR DESTINED JOB IN JESUS' NAME!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for RECEIVE YOUR DESTINED JOB IN JESUS' NAME!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for RECEIVE YOUR DESTINED JOB IN JESUS' NAME!!! | ||
georgejbudeba edited Swahili subtitles for RECEIVE YOUR DESTINED JOB IN JESUS' NAME!!! |