One fine day
-
0:05 - 0:08Sawa napenda kukuambia hadithi.
-
0:09 - 0:10Siku moja nzuri.
-
0:13 - 0:42Siku moja kulikuwa na mbweha kutembea na jua kali sana. Mbwaha ilikuwa na kiu sana kuona jar na kutembea hadi kwente chupa iliyojaa maziwa. Aliangalia kote na kuona akijua moja hoko na hivyo kunywa maziwa.
-
0:46 - 1:02Hapa kuna mtu mwenye hasira wanawake uliiba maziwa yangu! Mbwaha alisema sorry mimi silkujua ni maziwa yako tafahali kwa kunipa?
![]() |
Jannah05 edited English subtitles for One fine day |