[Script Info] Title: [Events] Format: Layer, Start, End, Style, Name, MarginL, MarginR, MarginV, Effect, Text Dialogue: 0,0:00:01.56,0:00:04.14,Default,,0000,0000,0000,,Hii si kwata. Dialogue: 0,0:00:04.38,0:00:06.65,Default,,0000,0000,0000,,Jina langu ni Greta Thunberg. Dialogue: 0,0:00:06.85,0:00:10.21,Default,,0000,0000,0000,,Tunaishi mwanzoni mwa uangamivu \Nmkubwa Dialogue: 0,0:00:11.17,0:00:13.61,Default,,0000,0000,0000,,Tabianchi yetu inakongoroka. Dialogue: 0,0:00:14.02,0:00:18.22,Default,,0000,0000,0000,,Watoto kama mimi wanaacha masomo yao ili waandamane. Dialogue: 0,0:00:18.56,0:00:20.90,Default,,0000,0000,0000,,Lakini bado tunaweza kurekebisha hili. Dialogue: 0,0:00:20.90,0:00:22.96,Default,,0000,0000,0000,,Bado unaweza kurekebisha hili. Dialogue: 0,0:00:23.37,0:00:26.58,Default,,0000,0000,0000,,Ili kuendelea kuishi, tuache kuchoma nishati ya visukuku, japo hili tu halitoshi. Dialogue: 0,0:00:27.22,0:00:29.82,Default,,0000,0000,0000,,Masuluhisho mengi yanatajwa, lakini vipi suluhisho lililo mbele Dialogue: 0,0:00:30.11,0:00:32.69,Default,,0000,0000,0000,,yetu? Dialogue: 0,0:00:32.69,0:00:35.41,Default,,0000,0000,0000,,Nimwachie rafiki yangu George aeleze. Dialogue: 0,0:00:35.68,0:00:38.11,Default,,0000,0000,0000,,Ipo mashine ya ajabu inayofyonza gesi ya ukaa hewani, ina gharama ndogo na inajijenga Dialogue: 0,0:00:38.21,0:00:42.72,Default,,0000,0000,0000,,yenyewe. Dialogue: 0,0:00:42.72,0:00:44.42,Default,,0000,0000,0000,,Inaitwa ... mti. Dialogue: 0,0:00:44.42,0:00:46.47,Default,,0000,0000,0000,,Mti ni mfano wa suluhisho la asili la tabianchi. Dialogue: 0,0:00:46.58,0:00:47.93,Default,,0000,0000,0000,,Mikoko, maeneo ya maozeo, mapori, maeneo chepechepe, sakafu za bahari, mwani, vinamasi, matumbawe, vina Dialogue: 0,0:00:47.93,0:00:48.87,Default,,0000,0000,0000,,chukua gesi ya ukaa hewani na kuifungia. Dialogue: 0,0:00:48.95,0:00:53.69,Default,,0000,0000,0000,,Maumbile asili ni zana ambayo tunaweza kutumia kurekebisha tabianchi yetu iliyokongoroka Dialogue: 0,0:00:53.69,0:00:56.50,Default,,0000,0000,0000,,Masuluhisho haya asili kwa tabianchi yanaweza kuleta tofauti kubwa. Dialogue: 0,0:00:56.50,0:00:58.77,Default,,0000,0000,0000,,Poa sana, sio? Dialogue: 0,0:00:58.77,0:01:02.69,Default,,0000,0000,0000,,Lakini kama tu tutaacha nishati za visukuku ardhini. Dialogue: 0,0:01:03.21,0:01:07.88,Default,,0000,0000,0000,,Na hii ndio balaa ... hivi sasa tunazipuuzia. Dialogue: 0,0:01:08.50,0:01:12.32,Default,,0000,0000,0000,,Tunatumia mara elfu zaidi kwa ruzuku kwenye nishati za visukuku duniani kuliko kwenye masuluhisho Dialogue: 0,0:01:12.32,0:01:14.01,Default,,0000,0000,0000,,ya asili. Dialogue: 0,0:01:14.22,0:01:17.62,Default,,0000,0000,0000,,Masuluhisho asili ya tabianchi hupata 2% tu Dialogue: 0,0:01:19.70,0:01:21.89,Default,,0000,0000,0000,,ya pesa zote zitumikazo kushughulikia kukongoroka kwa tabianchi. Dialogue: 0,0:01:21.89,0:01:24.40,Default,,0000,0000,0000,,Hii ni pesa yako, ni kodi zako na akiba zako. Dialogue: 0,0:01:25.74,0:01:30.55,Default,,0000,0000,0000,,Hata balaa zaidi, hivi sasa ambapo tunaihitaji asili zaidi Dialogue: 0,0:01:30.55,0:01:32.84,Default,,0000,0000,0000,,tunaiharibu haraka kuliko wakati wowote. Dialogue: 0,0:01:32.84,0:01:35.38,Default,,0000,0000,0000,,Hadi spishi 200 zinatoweka kila siku. Dialogue: 0,0:01:35.38,0:01:39.05,Default,,0000,0000,0000,,Sehemu kubwa ya barafu ya Aktiki imetoweka. Dialogue: 0,0:01:39.39,0:01:41.02,Default,,0000,0000,0000,,Wanyamapori wetu wengi wametoweka. Dialogue: 0,0:01:41.02,0:01:43.47,Default,,0000,0000,0000,,Udongo wetu mwingi umetoweka. Dialogue: 0,0:01:43.77,0:01:44.96,Default,,0000,0000,0000,,Sasa tufanye nini? Dialogue: 0,0:01:44.96,0:01:47.21,Default,,0000,0000,0000,,Utafanya nini? Dialogue: 0,0:01:47.21,0:01:50.09,Default,,0000,0000,0000,,Ni rahisi ... tunahitaji kulinda, kurejeza na kugharamia. Dialogue: 0,0:01:50.09,0:01:54.23,Default,,0000,0000,0000,,Linda. Dialogue: 0,0:01:54.46,0:01:57.05,Default,,0000,0000,0000,,Misitu ya tropiki inafyekwa Dialogue: 0,0:01:57.05,0:01:59.03,Default,,0000,0000,0000,,kwa kiwango cha viwanja 30 vya mpira kwa dakika. Dialogue: 0,0:01:59.03,0:02:01.01,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:01.01,0:02:02.81,Default,,0000,0000,0000,,Pale asili inatekeleza jambo muhimu, lazima tuilinde. Dialogue: 0,0:02:02.81,0:02:04.37,Default,,0000,0000,0000,,Rejeza. Dialogue: 0,0:02:04.37,0:02:05.46,Default,,0000,0000,0000,,Sehemu kubwa ya sayari yetu imeharibiwa. Dialogue: 0,0:02:05.46,0:02:06.22,Default,,0000,0000,0000,,Lakini asili inaweza kujirejeza Dialogue: 0,0:02:06.22,0:02:07.43,Default,,0000,0000,0000,,na tunaweza kusaidia mifumo ya ikolojia kurudi tena. Dialogue: 0,0:02:07.43,0:02:08.50,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:08.50,0:02:09.51,Default,,0000,0000,0000,,Gharamia. Dialogue: 0,0:02:10.08,0:02:11.20,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kuacha kugharamia vitu vinavyoharibu asili Dialogue: 0,0:02:11.20,0:02:13.32,Default,,0000,0000,0000,,na kulipia vitu vinavyoisaidia. Dialogue: 0,0:02:13.32,0:02:16.15,Default,,0000,0000,0000,,Ni rahisi tu hivyo. Dialogue: 0,0:02:16.15,0:02:18.68,Default,,0000,0000,0000,,Linda, rejeza, gharamia. Dialogue: 0,0:02:18.68,0:02:20.50,Default,,0000,0000,0000,,Hili linaweza kufanyika kila mahali. Dialogue: 0,0:02:20.50,0:02:21.88,Default,,0000,0000,0000,,Watu wengi tayari wameanza kutumia masuluhisho asili kwa tabianchi. Dialogue: 0,0:02:21.88,0:02:24.58,Default,,0000,0000,0000,,Tunatakiwa kufanya hivyo kwa kiwango kikubwa. Dialogue: 0,0:02:24.58,0:02:26.58,Default,,0000,0000,0000,,Unaweza kuwa sehemu ya hili. Dialogue: 0,0:02:26.58,0:02:30.04,Default,,0000,0000,0000,,Pigia kura wale wanaolinda asili. Dialogue: 0,0:02:31.05,0:02:31.88,Default,,0000,0000,0000,,Shirikisha video hii. Dialogue: 0,0:02:32.70,0:02:36.17,Default,,0000,0000,0000,,Ongelea kuhusu hili. Dialogue: 0,0:02:36.17,0:02:38.41,Default,,0000,0000,0000,,Dunia kote kuna vikundi vya kushangaza vinavyopigania asili. Dialogue: 0,0:02:39.11,0:02:40.76,Default,,0000,0000,0000,,Ungana navyo! Dialogue: 0,0:02:40.76,0:02:42.02,Default,,0000,0000,0000,, Dialogue: 0,0:02:42.02,0:02:43.04,Default,,0000,0000,0000,,Kila kitu ni muhimu. Dialogue: 0,0:02:43.04,0:02:43.80,Default,,0000,0000,0000,,Ufanyacho ni muhimu.