1 00:00:01,560 --> 00:00:04,135 Hii si kwata. 2 00:00:04,375 --> 00:00:06,651 Jina langu ni Greta Thunberg. 3 00:00:06,852 --> 00:00:10,212 Tunaishi mwanzoni mwa uangamivu mkubwa 4 00:00:11,171 --> 00:00:13,612 Tabianchi yetu inakongoroka. 5 00:00:14,022 --> 00:00:18,217 Watoto kama mimi wanaacha masomo yao ili waandamane. 6 00:00:18,561 --> 00:00:20,897 Lakini bado tunaweza kurekebisha hili. 7 00:00:20,897 --> 00:00:22,963 Bado unaweza kurekebisha hili. 8 00:00:23,372 --> 00:00:26,577 Ili kuendelea kuishi, tuache kuchoma nishati ya visukuku, japo hili tu halitoshi. 9 00:00:27,217 --> 00:00:29,822 Masuluhisho mengi yanatajwa, lakini vipi suluhisho lililo mbele 10 00:00:30,112 --> 00:00:32,692 yetu? 11 00:00:32,692 --> 00:00:35,412 Nimwachie rafiki yangu George aeleze. 12 00:00:35,682 --> 00:00:38,112 Ipo mashine ya ajabu inayofyonza gesi ya ukaa hewani, ina gharama ndogo na inajijenga 13 00:00:38,211 --> 00:00:42,721 yenyewe. 14 00:00:42,721 --> 00:00:44,418 Inaitwa ... mti. 15 00:00:44,418 --> 00:00:46,466 Mti ni mfano wa suluhisho la asili la tabianchi. 16 00:00:46,576 --> 00:00:47,929 Mikoko, maeneo ya maozeo, mapori, maeneo chepechepe, sakafu za bahari, mwani, vinamasi, matumbawe, vina 17 00:00:47,929 --> 00:00:48,872 chukua gesi ya ukaa hewani na kuifungia. 18 00:00:48,952 --> 00:00:53,692 Maumbile asili ni zana ambayo tunaweza kutumia kurekebisha tabianchi yetu iliyokongoroka 19 00:00:53,692 --> 00:00:56,502 Masuluhisho haya asili kwa tabianchi yanaweza kuleta tofauti kubwa. 20 00:00:56,502 --> 00:00:58,772 Poa sana, sio? 21 00:00:58,772 --> 00:01:02,692 Lakini kama tu tutaacha nishati za visukuku ardhini. 22 00:01:03,212 --> 00:01:07,883 Na hii ndio balaa ... hivi sasa tunazipuuzia. 23 00:01:08,502 --> 00:01:12,325 Tunatumia mara elfu zaidi kwa ruzuku kwenye nishati za visukuku duniani kuliko kwenye masuluhisho 24 00:01:12,325 --> 00:01:14,012 ya asili. 25 00:01:14,222 --> 00:01:17,622 Masuluhisho asili ya tabianchi hupata 2% tu 26 00:01:19,702 --> 00:01:21,892 ya pesa zote zitumikazo kushughulikia kukongoroka kwa tabianchi. 27 00:01:21,892 --> 00:01:24,402 Hii ni pesa yako, ni kodi zako na akiba zako. 28 00:01:25,744 --> 00:01:30,548 Hata balaa zaidi, hivi sasa ambapo tunaihitaji asili zaidi 29 00:01:30,548 --> 00:01:32,842 tunaiharibu haraka kuliko wakati wowote. 30 00:01:32,842 --> 00:01:35,377 Hadi spishi 200 zinatoweka kila siku. 31 00:01:35,377 --> 00:01:39,053 Sehemu kubwa ya barafu ya Aktiki imetoweka. 32 00:01:39,394 --> 00:01:41,021 Wanyamapori wetu wengi wametoweka. 33 00:01:41,021 --> 00:01:43,468 Udongo wetu mwingi umetoweka. 34 00:01:43,773 --> 00:01:44,958 Sasa tufanye nini? 35 00:01:44,958 --> 00:01:47,211 Utafanya nini? 36 00:01:47,211 --> 00:01:50,094 Ni rahisi ... tunahitaji kulinda, kurejeza na kugharamia. 37 00:01:50,094 --> 00:01:54,228 Linda. 38 00:01:54,462 --> 00:01:57,050 Misitu ya tropiki inafyekwa 39 00:01:57,050 --> 00:01:59,029 kwa kiwango cha viwanja 30 vya mpira kwa dakika. 40 00:01:59,029 --> 00:02:01,012 41 00:02:01,012 --> 00:02:02,813 Pale asili inatekeleza jambo muhimu, lazima tuilinde. 42 00:02:02,813 --> 00:02:04,374 Rejeza. 43 00:02:04,374 --> 00:02:05,458 Sehemu kubwa ya sayari yetu imeharibiwa. 44 00:02:05,458 --> 00:02:06,225 Lakini asili inaweza kujirejeza 45 00:02:06,225 --> 00:02:07,429 na tunaweza kusaidia mifumo ya ikolojia kurudi tena. 46 00:02:07,429 --> 00:02:08,501 47 00:02:08,501 --> 00:02:09,513 Gharamia. 48 00:02:10,084 --> 00:02:11,198 Tunatakiwa kuacha kugharamia vitu vinavyoharibu asili 49 00:02:11,198 --> 00:02:13,325 na kulipia vitu vinavyoisaidia. 50 00:02:13,325 --> 00:02:16,153 Ni rahisi tu hivyo. 51 00:02:16,153 --> 00:02:18,679 Linda, rejeza, gharamia. 52 00:02:18,679 --> 00:02:20,505 Hili linaweza kufanyika kila mahali. 53 00:02:20,505 --> 00:02:21,878 Watu wengi tayari wameanza kutumia masuluhisho asili kwa tabianchi. 54 00:02:21,878 --> 00:02:24,581 Tunatakiwa kufanya hivyo kwa kiwango kikubwa. 55 00:02:24,581 --> 00:02:26,581 Unaweza kuwa sehemu ya hili. 56 00:02:26,581 --> 00:02:30,042 Pigia kura wale wanaolinda asili. 57 00:02:31,051 --> 00:02:31,881 Shirikisha video hii. 58 00:02:32,702 --> 00:02:36,172 Ongelea kuhusu hili. 59 00:02:36,172 --> 00:02:38,412 Dunia kote kuna vikundi vya kushangaza vinavyopigania asili. 60 00:02:39,112 --> 00:02:40,756 Ungana navyo! 61 00:02:40,756 --> 00:02:42,018 62 00:02:42,018 --> 00:02:43,044 Kila kitu ni muhimu. 63 00:02:43,044 --> 00:02:43,801 Ufanyacho ni muhimu.