1 00:00:00,000 --> 00:00:01,320 Mwili wangu ulikuwa unatetema 2 00:00:01,320 --> 00:00:04,200 singejizuia mwenyewe 3 00:00:04,200 --> 00:00:07,680 sikujua ni nini ilikuwa inafanyika 4 00:00:07,680 --> 00:00:10,080 nilijikuta sakafuni 5 00:00:11,800 --> 00:00:17,920 katika jina kuu la Yesu Kristu 6 00:00:17,920 --> 00:00:20,760 Ongea Wewe ni nani? 7 00:00:20,760 --> 00:00:22,400 Wewe ni nani? Ongea sasa hivi! 8 00:00:22,400 --> 00:00:24,560 Umefanya nini maishani mwake? 9 00:00:24,560 --> 00:00:27,560 Nimempa maumivu mgongoni. 10 00:00:27,560 --> 00:00:31,320 sawa. Wewe ndiwe chanzo cha ugonjwa mgongoni mwake? 11 00:00:31,320 --> 00:00:32,560 Ndio. NI mimi. 12 00:00:32,560 --> 00:00:35,520 Wewe ni nani kwenye mwili huu unaosababisha magonjwa? 13 00:00:35,520 --> 00:00:39,400 mimi nimetoka upande wa kina baba.\ 14 00:00:39,400 --> 00:00:43,760 Sitaki afaulu. 15 00:00:43,760 --> 00:00:47,400 sasa hivi, muda wako umeisha mwilini huu umekamilika. 16 00:00:47,400 --> 00:00:51,400 uliingiaje ndani yake? vipi? 17 00:00:51,400 --> 00:00:53,640 niliingia kupitia ndoto. 18 00:00:53,640 --> 00:00:56,240 sasa hivi, wewe pepo mwovu, 19 00:00:56,240 --> 00:01:07,880 katika jina la yesu kristu - toka nje? katika jina la Yesu! 20 00:01:07,880 --> 00:01:11,680 inuka dada kutoka Zambia. 21 00:01:11,680 --> 00:01:14,160 umewekwa huru kutoka kwa huo pepo mwovu! 22 00:01:14,160 --> 00:01:18,440 inuka na ujiangalia kwa utukufu wa mungu. 23 00:01:18,440 --> 00:01:20,800 Amina. 24 00:01:20,800 --> 00:01:22,200 Asante Yesu 25 00:01:22,200 --> 00:01:23,840 Niko huru 26 00:01:23,840 --> 00:01:24,840 asante Yesu 27 00:01:26,480 --> 00:01:31,000 Dada yangu umekaribishwa katika jina la yesu Kristu 28 00:01:31,000 --> 00:01:33,800 Tafadhali, utuambie jina lako 29 00:01:33,800 --> 00:01:38,240 unaishi wapi na tafadhali toa ushuhuda wako kwetu? 30 00:01:38,240 --> 00:01:41,920 Kwa majina naitwa Linda, kutoka Zambia. 31 00:01:41,920 --> 00:01:47,600 nilikuwa naumia mgongoni karibu miaka miwili 32 00:01:47,600 --> 00:01:54,400 maumivu hayo iliendelea kuwa makali sana 33 00:01:54,400 --> 00:02:00,640 niliamua kwenda hospitali nyingine kutafuta matibabu 34 00:02:00,640 --> 00:02:07,120 nikaambiwa nipewe ratiba za tiba za mwili, 35 00:02:07,120 --> 00:02:12,880 niliyafanya lakini maumivu yaliongezeka 36 00:02:12,880 --> 00:02:21,840 madaktari waliamua niendelee lakini machungu yalizidi 37 00:02:21,840 --> 00:02:32,320 madaktari hatimaye wakasema niende wafanye usikivu wa sumaku na kuwaza lakini nilikataa 38 00:02:32,320 --> 00:02:38,720 maumivu yalinizuia kufanya mambo mengi 39 00:02:38,720 --> 00:02:44,040 mimi ni mwalimu kwa hivyo kufunza ilikuwa ngumu 40 00:02:44,040 --> 00:02:48,520 kwa sababu singeinama ama niketi kwa muda 41 00:02:48,520 --> 00:02:50,800 singesimama kwa muda mrefu 42 00:02:50,800 --> 00:02:57,800 singefunza vizuri kama hapo awali 43 00:02:57,800 --> 00:03:01,880 kuinama kuchukua kitu chini ilikuwa shida sana kwangu 44 00:03:01,880 --> 00:03:04,240 nigehisi maumivu mengi 45 00:03:04,240 --> 00:03:07,080 ningekuwa sawa tu 46 00:03:07,080 --> 00:03:09,200 ninapolala kwa mgongo 47 00:03:09,200 --> 00:03:13,880 singeketi kama ninavyokaa sasa. ilikuwa ngumu sana 48 00:03:13,880 --> 00:03:22,400 nilihisi uchungu kifuani na katikati ya uti wa mgongo pia 49 00:03:22,400 --> 00:03:25,200 iliathiri sana 50 00:03:25,200 --> 00:03:28,920 niamua kutazama televisheni ya Gods Heart 51 00:03:28,920 --> 00:03:37,040 kwa sababu niliona watu wakiwa na shida kama yangu wakiponywa 52 00:03:37,040 --> 00:03:38,920 nilipoongea na watu wa Gods heart tv 53 00:03:38,920 --> 00:03:45,920 nilialikwa kuungana na Ndugu chris kwa maombi ya pamoja 54 00:03:45,920 --> 00:03:48,800 tarehe 21 oktoba 2023 55 00:03:48,800 --> 00:03:51,520 wakati wa maombi ya pamoja 56 00:03:51,520 --> 00:03:56,480 nilianzakuomba na kuuliza mungu awe na huruma kwnagu 57 00:03:56,480 --> 00:04:01,000 kama mtumishi wa mungu Ndugu Chris alipokuwa akuhubiri 58 00:04:01,000 --> 00:04:04,800 nilihisi joto mwilini mwangu 59 00:04:04,800 --> 00:04:13,120 alipotuuliza tusimame tombe, nilipokuwa naamka mwili ulianza kutingika 60 00:04:13,120 --> 00:04:16,000 sikuweza kujizuia mwenyewe 61 00:04:16,000 --> 00:04:21,840 sikujua kilichokuwa kikitendeka - nilijikuta chini 62 00:04:21,840 --> 00:04:25,600 nguvu za mungu ilijaa chumbani niliyokuwa 63 00:04:25,600 --> 00:04:28,400 nguvu za mungu zilijaa chumbani 64 00:04:28,400 --> 00:04:34,040 nilianguka kwa nguvu za mungu 65 00:04:34,040 --> 00:04:37,920 nilipoamka niligundua kuwa machungu yalipotea mgongoni 66 00:04:37,920 --> 00:04:42,000 upande wa kuume mgongoni mwangu ilipotea 67 00:04:42,000 --> 00:04:47,560 nilijaribu kujinyosha kutoka chini 68 00:04:47,560 --> 00:04:50,240 niliamka bila shida yoyote 69 00:04:50,240 --> 00:04:55,080 wakati nilipokuwa na machungu hapo mbeleni 70 00:04:55,080 --> 00:04:59,680 singeweza kuvaa viatu ya juu ama kukaa kwa mikutano kwa muda mrefu 71 00:04:59,680 --> 00:05:02,720 madaktari waliniambia nafaa kufanya kazi tu masaa machache 72 00:05:02,720 --> 00:05:08,000 kwa sababu nilifaa kupumzika 73 00:05:08,000 --> 00:05:10,880 lakini baada ya maombi ya pamoja nimerudi kwa kazi yangu kawaida 74 00:05:10,880 --> 00:05:16,920 nafanya kazi masaa ya kawaida 75 00:05:16,920 --> 00:05:20,240 ninaweza kunyosha , kuinama na kufanya mambo ambayo singeweza kufanya 76 00:05:20,240 --> 00:05:24,240 nashukuru mungu kwa kupokea uponyaji 77 00:05:24,240 --> 00:05:28,240 naweza kuinama na kurudi kwa urahisi 78 00:05:28,240 --> 00:05:34,360 naweza kuinama upande zote na kurudi 79 00:05:34,360 --> 00:05:35,400 hakuna uchungu. yameisha kabisa. nashukuru mungu! 80 00:05:35,400 --> 00:05:39,920 twashukuru mungu 81 00:05:39,920 --> 00:05:45,520 je kuna wosia lolote ungependa kuwapa watazamaji wetu? 82 00:05:45,520 --> 00:05:49,200 wosia wangu kwao ni kuwa unapokumbana na matatizo magumu 83 00:05:49,200 --> 00:05:53,760 nataka nikutie moyo umtafute mungu 84 00:05:53,760 --> 00:05:59,120 anaweza kufanya lolote. kila jambo kwake linawezekana. 85 00:05:59,120 --> 00:06:03,960 hata unapoungana na pamoja nasi kwa maombi ya pamoja, na ndugu Chris 86 00:06:03,960 --> 00:06:09,120 amini kuwa mungu anaenda kuguza maisha yako - Mungu anaenda kukuponya 87 00:06:09,120 --> 00:06:13,080 mungu anaweza kubadili jambo lolote kwa kuwa anaweza kutenda.