Mwili wangu ulikuwa unatetema
singejizuia mwenyewe
sikujua ni nini ilikuwa inafanyika
nilijikuta sakafuni
katika jina kuu la Yesu Kristu
Ongea Wewe ni nani?
Wewe ni nani? Ongea sasa hivi!
Umefanya nini maishani mwake?
Nimempa maumivu mgongoni.
sawa. Wewe ndiwe chanzo cha ugonjwa mgongoni mwake?
Ndio. NI mimi.
Wewe ni nani kwenye mwili huu unaosababisha magonjwa?
mimi nimetoka upande wa kina baba.\
Sitaki afaulu.
sasa hivi, muda wako umeisha mwilini huu umekamilika.
uliingiaje ndani yake? vipi?
niliingia kupitia ndoto.
sasa hivi, wewe pepo mwovu,
katika jina la yesu kristu - toka nje? katika jina la Yesu!
inuka dada kutoka Zambia.
umewekwa huru kutoka kwa huo pepo mwovu!
inuka na ujiangalia kwa utukufu wa mungu.
Amina.
Asante Yesu
Niko huru
asante Yesu
Dada yangu umekaribishwa katika jina la yesu Kristu
Tafadhali, utuambie jina lako
unaishi wapi na tafadhali toa ushuhuda wako kwetu?
Kwa majina naitwa Linda, kutoka Zambia.
nilikuwa naumia mgongoni karibu miaka miwili
maumivu hayo iliendelea kuwa makali sana
niliamua kwenda hospitali nyingine kutafuta matibabu
nikaambiwa nipewe ratiba za tiba za mwili,
niliyafanya lakini maumivu yaliongezeka
madaktari waliamua niendelee lakini machungu yalizidi
madaktari hatimaye wakasema niende wafanye usikivu wa sumaku na kuwaza lakini nilikataa
maumivu yalinizuia kufanya mambo mengi
mimi ni mwalimu kwa hivyo kufunza ilikuwa ngumu
kwa sababu singeinama ama niketi kwa muda
singesimama kwa muda mrefu
singefunza vizuri kama hapo awali
kuinama kuchukua kitu chini ilikuwa shida sana kwangu
nigehisi maumivu mengi
ningekuwa sawa tu
ninapolala kwa mgongo
singeketi kama ninavyokaa sasa. ilikuwa ngumu sana