Mwili wangu ulikuwa unatetema singejizuia mwenyewe sikujua ni nini ilikuwa inafanyika nilijikuta sakafuni katika jina kuu la Yesu Kristu Ongea Wewe ni nani? Wewe ni nani? Ongea sasa hivi! Umefanya nini maishani mwake? Nimempa maumivu mgongoni. sawa. Wewe ndiwe chanzo cha ugonjwa mgongoni mwake? Ndio. NI mimi. Wewe ni nani kwenye mwili huu unaosababisha magonjwa? mimi nimetoka upande wa kina baba.\ Sitaki afaulu. sasa hivi, muda wako umeisha mwilini huu umekamilika. uliingiaje ndani yake? vipi? niliingia kupitia ndoto. sasa hivi, wewe pepo mwovu, katika jina la yesu kristu - toka nje? katika jina la Yesu! inuka dada kutoka Zambia. umewekwa huru kutoka kwa huo pepo mwovu! inuka na ujiangalia kwa utukufu wa mungu. Amina. Asante Yesu Niko huru asante Yesu Dada yangu umekaribishwa katika jina la yesu Kristu Tafadhali, utuambie jina lako unaishi wapi na tafadhali toa ushuhuda wako kwetu? Kwa majina naitwa Linda, kutoka Zambia. nilikuwa naumia mgongoni karibu miaka miwili