WEBVTT 00:00:00.000 --> 00:00:01.485 Unataka kwenda kwanza? 00:00:01.668 --> 00:00:03.019 Nani anaanza? 00:00:05.200 --> 00:00:07.177 Kwa nini unapiga kura, mama? 00:00:07.757 --> 00:00:11.236 Napiga kura kwa sababu ni muhimu kwangu kusikika 00:00:11.460 --> 00:00:14.193 Ni hadhi ambayo nyanyangu mkuu 00:00:14.193 --> 00:00:16.397 na mamake, na mamake 00:00:16.397 --> 00:00:17.569 hawakuwa nayo 00:00:17.569 --> 00:00:20.859 Nisipopiga kura basi hakuna atakayefikiria mambo yangu 00:00:20.859 --> 00:00:22.136 upatakanaji wa huduma za afya 00:00:22.136 --> 00:00:23.276 vurugu za polisi 00:00:23.276 --> 00:00:24.358 mageuzi za uhamiaji 00:00:24.358 --> 00:00:25.379 masuala ya mazingira 00:00:25.379 --> 00:00:26.815 upatikanaji wa nyumba za bei nafuu 00:00:26.815 --> 00:00:30.924 ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, waliotofauti kijinsia, na wasio wazungu 00:00:30.924 --> 00:00:33.805 Sera hizi zote zinaniathiri kibinafsi 00:00:33.805 --> 00:00:37.481 nimechochewa sana na mwanamke huyu mrembo aliyeketi kando yangu 00:00:37.481 --> 00:00:39.147 kwa sababu ana elimu. 00:00:39.147 --> 00:00:44.312 Natizama wanawake kama yeye na ni wao walionifunza kujitetea 00:00:44.312 --> 00:00:46.883 Tunaanza kuona kuwa tunaleta mabadiliko 00:00:46.883 --> 00:00:48.956 Kupiga kura ni jinsi ya kuifanya 00:00:48.956 --> 00:00:53.635 Kila mwanamke- tafadhali piga kura kwa ajili yako na dada zako 00:00:53.859 --> 00:00:57.665 YWCA ipo katika harakati ya kuondoa ubaguzi wa rangi na kuwawezesha wanawake. 00:00:58.200 --> 00:01:00.616 Tu voz, tu voto, tu futuro [siyo kiswahili] 00:01:00.616 --> 00:01:03.170 Sauti yako, kura yako, kesho yako