Unataka kwenda kwanza? Nani anaanza? Kwa nini unapiga kura, mama? Napiga kura kwa sababu ni muhimu kwangu kusikika Ni hadhi ambayo nyanyangu mkuu na mamake, na mamake hawakuwa nayo Nisipopiga kura basi hakuna atakayefikiria mambo yangu upatakanaji wa huduma za afya vurugu za polisi mageuzi za uhamiaji masuala ya mazingira upatikanaji wa nyumba za bei nafuu ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, waliotofauti kijinsia, na wasio wazungu Sera hizi zote zinaniathiri kibinafsi nimechochewa sana na mwanamke huyu mrembo aliyeketi kando yangu kwa sababu ana elimu. Natizama wanawake kama yeye na ni wao walionifunza kujitetea Tunaanza kuona kuwa tunaleta mabadiliko Kupiga kura ni jinsi ya kuifanya Kila mwanamke- tafadhali piga kura kwa ajili yako na dada zako YWCA ipo katika harakati ya kuondoa ubaguzi wa rangi na kuwawezesha wanawake. Tu voz, tu voto, tu futuro [siyo kiswahili] Sauti yako, kura yako, kesho yako