1 00:00:00,000 --> 00:00:01,485 Unataka kwenda kwanza? 2 00:00:01,668 --> 00:00:03,019 Nani anaanza? 3 00:00:05,200 --> 00:00:07,177 Kwa nini unapiga kura, mama? 4 00:00:07,757 --> 00:00:11,236 Napiga kura kwa sababu ni muhimu kwangu kusikika 5 00:00:11,460 --> 00:00:14,193 Ni hadhi ambayo nyanyangu mkuu 6 00:00:14,193 --> 00:00:16,397 na mamake, na mamake 7 00:00:16,397 --> 00:00:17,569 hawakuwa nayo 8 00:00:17,569 --> 00:00:20,859 Nisipopiga kura basi hakuna atakayefikiria mambo yangu 9 00:00:20,859 --> 00:00:22,136 upatakanaji wa huduma za afya 10 00:00:22,136 --> 00:00:23,276 vurugu za polisi 11 00:00:23,276 --> 00:00:24,358 mageuzi za uhamiaji 12 00:00:24,358 --> 00:00:25,379 masuala ya mazingira 13 00:00:25,379 --> 00:00:26,815 upatikanaji wa nyumba za bei nafuu 14 00:00:26,815 --> 00:00:30,924 ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, waliotofauti kijinsia, na wasio wazungu 15 00:00:30,924 --> 00:00:33,805 Sera hizi zote zinaniathiri kibinafsi 16 00:00:33,805 --> 00:00:37,481 nimechochewa sana na mwanamke huyu mrembo aliyeketi kando yangu 17 00:00:37,481 --> 00:00:39,147 kwa sababu ana elimu. 18 00:00:39,147 --> 00:00:44,312 Natizama wanawake kama yeye na ni wao walionifunza kujitetea 19 00:00:44,312 --> 00:00:46,883 Tunaanza kuona kuwa tunaleta mabadiliko 20 00:00:46,883 --> 00:00:48,956 Kupiga kura ni jinsi ya kuifanya 21 00:00:48,956 --> 00:00:53,635 Kila mwanamke- tafadhali piga kura kwa ajili yako na dada zako 22 00:00:53,859 --> 00:00:57,665 YWCA ipo katika harakati ya kuondoa ubaguzi wa rangi na kuwawezesha wanawake. 23 00:00:58,200 --> 00:01:00,616 Tu voz, tu voto, tu futuro [siyo kiswahili] 24 00:01:00,616 --> 00:01:03,170 Sauti yako, kura yako, kesho yako