0:00:00.000,0:00:01.485 Unataka kwenda kwanza? 0:00:01.668,0:00:03.019 Nani anaanza? 0:00:05.200,0:00:07.177 Kwa nini unapiga kura, mama? 0:00:07.757,0:00:11.236 Napiga kura kwa sababu ni muhimu kwangu kusikika 0:00:11.460,0:00:14.193 Ni hadhi ambayo nyanyangu mkuu 0:00:14.193,0:00:16.397 na mamake, na mamake 0:00:16.397,0:00:17.569 hawakuwa nayo 0:00:17.569,0:00:20.859 Nisipopiga kura basi hakuna atakayefikiria mambo yangu 0:00:20.859,0:00:22.136 upatakanaji wa huduma za afya 0:00:22.136,0:00:23.276 vurugu za polisi 0:00:23.276,0:00:24.358 mageuzi za uhamiaji 0:00:24.358,0:00:25.379 masuala ya mazingira 0:00:25.379,0:00:26.815 upatikanaji wa nyumba za bei nafuu 0:00:26.815,0:00:30.924 ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake, waliotofauti kijinsia, na wasio wazungu 0:00:30.924,0:00:33.805 Sera hizi zote zinaniathiri kibinafsi 0:00:33.805,0:00:37.481 nimechochewa sana na mwanamke huyu mrembo aliyeketi kando yangu 0:00:37.481,0:00:39.147 kwa sababu ana elimu. 0:00:39.147,0:00:44.312 Natizama wanawake kama yeye na ni wao walionifunza kujitetea 0:00:44.312,0:00:46.883 Tunaanza kuona kuwa tunaleta mabadiliko 0:00:46.883,0:00:48.956 Kupiga kura ni jinsi ya kuifanya 0:00:48.956,0:00:53.635 Kila mwanamke- tafadhali piga kura kwa ajili yako na dada zako 0:00:53.859,0:00:57.665 YWCA ipo katika harakati ya kuondoa ubaguzi wa rangi na kuwawezesha wanawake. 0:00:58.200,0:01:00.616 Tu voz, tu voto, tu futuro [siyo kiswahili] 0:01:00.616,0:01:03.170 Sauti yako, kura yako, kesho yako